PostGE2025 Hit the Jugular: Je, waandamanaji waliipata wapi hii mbinu ya kijeshi?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Jugular ni kaeneo kwenye shingo kwenye koromeo. Ukipigana na mtu akakutusua vizuri hiyo sehemu, lazima usalimu amri, kama sio, urudi kwa Mungu baba.

Falsafa ya kupiga Jugular huwa inatumiwa pia vitani, kwa kushambulia maeneo muhimu kama: uwanja wa ndege, depot za mafuta, madaraja ya viunganishi, bandari, na vituo vya mawasiliano ambavyo ni proganda machines za dola.

Mara nyingi Jugular ikishapigwa vizuri, uwezekano wa nchi kushindwa vita unakuwa ni mkubwa.

Kilichotokea MO29 nakifananisha kwa mbali ni hii approach ya hit the jugular. Baada ya masaa machache ya maandamano, waandamanaji walishaingia uwanja wa ndege wa JKNIA (ni suala la kushukuru hakukuwa na akili butu ya kuchoma uwanja au ndege, vituo vya mafuta vilikuwa under attack, jengo la mamlaka ya mawasiliano (napo ni kuombea kwamba hakukuwa na akili butu ya kuchoma).

Hichi ndo kitu nafikiri kiliwaogopesha dola kwamba hapa, hali ikiendelea hivi kwa masaa 72 zaidi, nchi ingeanguka.

Bado najiuliza kuna mengi sana ya kuandika na kuchambua kuhusu MO29.

Wenu,
MC
Siku si nyingi tutalipua ile bandari, mitambo ya Tanesco (hasa inayopeleka Umeme Zanzibar) na zile depot kubwa za mafuta...

Ngoja vijana wa kitanzania wajue kuunda Drones
 
Jugular ni kaeneo kwenye shingo kwenye koromeo. Ukipigana na mtu akakutusua vizuri hiyo sehemu, lazima usalimu amri, kama sio, urudi kwa Mungu baba.

Falsafa ya kupiga Jugular huwa inatumiwa pia vitani, kwa kushambulia maeneo muhimu kama: uwanja wa ndege, depot za mafuta, madaraja ya viunganishi, bandari, na vituo vya mawasiliano ambavyo ni proganda machines za dola.

Mara nyingi Jugular ikishapigwa vizuri, uwezekano wa nchi kushindwa vita unakuwa ni mkubwa.

Kilichotokea MO29 nakifananisha kwa mbali ni hii approach ya hit the jugular. Baada ya masaa machache ya maandamano, waandamanaji walishaingia uwanja wa ndege wa JKNIA (ni suala la kushukuru hakukuwa na akili butu ya kuchoma uwanja au ndege, vituo vya mafuta vilikuwa under attack, jengo la mamlaka ya mawasiliano (napo ni kuombea kwamba hakukuwa na akili butu ya kuchoma).

Hichi ndo kitu nafikiri kiliwaogopesha dola kwamba hapa, hali ikiendelea hivi kwa masaa 72 zaidi, nchi ingeanguka.

Bado najiuliza kuna mengi sana ya kuandika na kuchambua kuhusu MO29.

Wenu,
MC
Alinisimulia askari mmoja kuwq baadhi ya waandamanaji walidaka bomu la machozi kabla halijalipuka na kumrudishia askari aliyerusha
 
Shaba hazikua halali, waliwaonea tu raia wasio na hatia.

Jeshi lilizidiwa mbinu na hivyo vikosi vya nje, zigo la nnya likawqqngukiq vijana wa kiume wote nchi nzima.
Wanasema volcano iliyolala ikulipuka inakuwaga hatari sana. Nadhani ndo MO29, intensity was brutal, kwasababu hawa watu wamefungiwa miaka 60 wasiandamane
 
Yalikua mapinduzi na probably yaliongozwa na raia wa nje wanaoionea wivu miundombinu ya tz,shaba zilizotembea ni halali
tumia akili japo kidogo we malaya tunakuja tena hao raia mnao waita wa nje mwambieni huyo malaya mwenzenu hakuna kumpumzika ajiandae tena kuuwa tena tatutochoka mpaka aikimbie bara
 
Alieshauri huu ujinga wa 29 Oct kutoka dora hana akili

Sasa leo watu wanadai mili ya ndugu zao kuzika ziko wapi? Yanni kwa maoni yangu , tatizo kubwa sasa limeenda kuwa tatizo kuu , wapeni mili wazike wapendwa wao wenda wenda ikawa njia ya kutulizana , kama kweli kimefanyika kile nahisia , hali bado ngumu ,

Wenda twaenda kulitelekeza Taifa kwa mambo ya kijinga tu.

Pamoja na umri huu sikuwahai ona Rais anarushiwa mawe nje ya mzee Mwinyi (Rip) aliepigwa kabao , so Gz kwa sasa naona wamevurugwa wakuu, wasikilizwe
Upo sahihi na nakuunga mkono kwamba: wazo hai halifi kwa risasi. Bila haki na mabadiliko, maandamano yatakuwa kitu cha kawaida Tanzania, na kwasababu hii nchi tumefungiwa miaka 60, kila maandamano lazima yatakuwa na collateral damage kwasababu intensity itakuwa ni kubwa.
 
Kuna tatizo kwa idara ya usalama taifa,muajiri vijana wenye weledi,haiwezekani uharibufu mkubwa wa mali na maisha ya watu yatokee bila kuwa na habari au taarifa ya kiintelenjisia. Zuieni tatizo kabla ya kutokea sio kupambana na tatizo liloshatokea
 
kuna watu walituuuza kwenye mfumo na wote watapotea sasahivi kwa sababu haiwezekani magari ya polisi yaliwa stationed kwenye kila eneo ghafla yote yakaondoka lisaaa kabla ya uhalifu kuanza, pili kuna wanajeshi wasio waaminifu ambao wote watanyongwa kabla ya pasaka waliiiwatisha polisi na kuwaongoza wahalifu kutenda uhalifu
 
We ****** kweli huna ubavu wa kunyonga mwanajeshi hata mmoja na raia wataingia rodi mpaka ikulu na huna utakalofanya utaishia kubweka humu tu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Aliyewafanyia mapinduzi ni yule aliyewapa ushindi huo wa 97.66% na si mwengine
Absolutely, najiuliza ni kwanini mama hakutaka hata kushinda kwa 54%, huo ushindi wa kishindo wa 100% umemsaidia nini? Mi sijui
 
We ****** kweli huna ubavu wa kunyonga mwanajeshi hata mmoja na raia wataingia rodi mpaka ikulu na huna utakalofanya utaishia kubweka humu tu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kweli kumbe upo nje ya nchi wewee uliza toka juzi operation imeshaanza wale wanajeshi wote waliokuwa ubungo wameshasimamishwa kazi kwa taarifa yako kesi yao tarehe 14 mwezi huu na wanahukumiwa kifo na kunyongwa haraka na hakuna kukata rufaaa ni marshal court
 
Back
Top Bottom