PostGE2025 Hit the Jugular: Je, waandamanaji waliipata wapi hii mbinu ya kijeshi?

PostGE2025 Hit the Jugular: Je, waandamanaji waliipata wapi hii mbinu ya kijeshi?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Jugular ni kaeneo kwenye shingo kwenye koromeo. Ukipigana na mtu akakutusua vizuri hiyo sehemu, lazima usalimu amri, kama sio, urudi kwa Mungu baba.

Falsafa ya kupiga Jugular huwa inatumiwa pia vitani, kwa kushambulia maeneo muhimu kama: uwanja wa ndege, depot za mafuta, madaraja ya viunganishi, bandari, na vituo vya mawasiliano ambavyo ni proganda machines za dola.

Mara nyingi Jugular ikishapigwa vizuri, uwezekano wa nchi kushindwa vita unakuwa ni mkubwa.

Kilichotokea MO29 nakifananisha kwa mbali ni hii approach ya hit the jugular. Baada ya masaa machache ya maandamano, waandamanaji walishaingia uwanja wa ndege wa JKNIA (ni suala la kushukuru hakukuwa na akili butu ya kuchoma uwanja au ndege, vituo vya mafuta vilikuwa under attack, jengo la mamlaka ya mawasiliano (napo ni kuombea kwamba hakukuwa na akili butu ya kuchoma).

Hichi ndo kitu nafikiri kiliwaogopesha dola kwamba hapa, hali ikiendelea hivi kwa masaa 72 zaidi, nchi ingeanguka.

Bado najiuliza kuna mengi sana ya kuandika na kuchambua kuhusu MO29.

Wenu,
MC
Mawzo yangu ni kwamba viongozi wetu wameruhusu mazingira ya watu watumiwe na vyombo vya nje.
Ukilitazama vizuri swala lenyewe unashindwa kuelewa kuwa :
Je? Ni kweli vombo vyetu havikunusa maandalizi ya haya matukio, huku mara nyingi ikijigamba kuwa wana intelijensia?
Je? Kwa mipango waliyofanya waandamanaji, ni vituo fulani fulani vya mafuta na si vyote vilivyotiwa moto!
Je? Hata Polisi wanaojigamba kulinda mali na maisha ya watu, hawakunusa yanayotarajiwa kujiri, na pale pale vituo vingi vya polisi kutiwa moto?

Haya nitaendelea kujiuliza kwa muda mrefu ujao.
Lazima kuna mkono wa mtu nje na panapofuka moshi pana dalili za moto!
 
Yalikua mapinduzi na probably yaliongozwa na raia wa nje wanaoionea wivu miundombinu ya tz,shaba zilizotembea ni halali
Embu taja kimoja cha kujivunia Tz.....!! Zaidi ya umaskini na ufisadi.

Toka uko porini tembeatemba uko duniani ujionee,..
 
Kwa hivyo unathibitisha walikuwa ilikuwa ni haki Yao, mkiamdamana TENA mtakufa kama nzige... Na mtafanga tarehe nyengine April 26
Wapi nimethibitisha? Acha kujitoa ufahamu! Soma hoja na kuielewa, acha kukurupuka kujibu!
 
Kweli kumbe upo nje ya nchi msenge wewee uliza toka juzi operation imeshaanza wale wanajeshi wote waliokuwa ubungo wameshasimamishwa kazi kwa taarifa yako kesi yao tarehe 14 mwezi huu na wanahukumiwa kifo na kunyongwa haraka na hakuna kukata rufaaa ni marshal court
actually hilo unaloliwaza haliwezi kutendeka coz mama la mama sio tahira kiasi hicho! Anajua akiwanyonga hatachukua hata dakika 30, nchi itakuwa mikononi mwa wajeda wazalendo! Kama hauamini, ombea wanyongwe uone!
 
Danganya wajinga Mimi Kuna wanangu sita wajeda na niliwaona hapo ubungo wengine walikua mbezi wakiwa na raia na Leo wanaendelea na movement zao kama kawaida na mmoja nimetoka kuongea nae mda huu hapa hapa temboni hamna mbwa yeyote aliowasimamisha usifikiri watu wote unaongea nao humu ni wajinga eti unyonge mwanajeshi unachekesha sana wewe ngedere🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Jeshini Huwa hawanyongi wanakutafutia vita wanakupeleka huko ukirudi hai ndio msamaha wako.. kuua wanajeshi kwa kunyonga tena kwa mambo yanayoonekana ni uonevu ni kutengeneza uasi
 
actually hilo unaloliwaza haliwezi kutendeka coz mama la mama sio tahira kiasi hicho! Anajua akiwanyonga hatachukua hata dakika 30, nchi itakuwa mikononi mwa wajeda wazalendo! Kama hauamini, ombea wanyongwe uone!
ndugu hawa wanajeshi wetu chokest kabisa mfumo unawafanya wawe wanyonge kupita kiasi , yaani tiss na wao wao wanachunguzana na kutesana mno na kuogopana , wametengenezewa mfuo wa kogopana kupita kiasi, ninavyooongea wanajeshi wameanza kuachishwa kazi na ukiachishwa ahuachwi mtaani unawekwa lockup ya kijeshi
 
Back
Top Bottom