Nilipokuwa nafuatilia msiba wa Magufuli, kwenye Television ya Taifa TBC, walikuwa wameweka maneno kumhusu Magufuli kuwa ni Shujaa wa Afrika lakini nikawa navuta fikra. Je, ushujaa wa Magufuli kwa Afrika ni upi?, Nikasema pengine ni kwa "Rhetoric" zake za kutukana Wazungu na kuwaita Mabeberu...