kimya

Kimya Dawson (born November 17, 1972) is an American folk singer-songwriter, best known as one half of the anti-folk duo The Moldy Peaches. Dawson's work with The Moldy Peaches earned her a cult following and critical acclaim, with their 2001 song "Anyone Else But You" landing a spot in multiple acclaimed indie film soundtracks. "Anyone Else But You" as performed by Michael Cera and Elliot Page charted on the Billboard Hot 100 after its prominent inclusion in the 2007 film Juno, the soundtrack of which includes several songs by Dawson and her associated musical acts. The song remains Dawson's highest charting single to date. In addition to her work with The Moldy Peaches, Dawson has released seven solo studio albums and collaborated with various other artists from a diverse range of genres, including Aesop Rock, They Might Be Giants, The Mountain Goats, and Third Eye Blind.

View More On Wikipedia.org
  1. Kamata Kamata ya Wakosoaji wa Suala la Bandari: Nani anafuata kukamatwa?

    Jana wamekamatwa Mdude Nyagali na Mwabukusi. Leo kuna tetesi kukamatwa kwa Dr. Slaa tena akiwa nyumbani kwake. Naanza kupata wasiwasi wakosoaji wengi wa suala la bandari watawekwa kolokoloni. Je nani anafuata kukamatwa? Lakini pia hili sio la kwanza kufanyika hata Hayati Magufuli alifanya...
  2. D

    Kumbe mapenzi yana mambo! Kusachiana mifukoni na kupekuliana simu kimya kimya pasipo kujua, na hamkuniambia?

    Aisee nyie walimwengu mna siri! Kumbe mapenzi mnayoturingishia kuna na mambo kupekuana kimya kimya mifukoni na kupekenyuliana simu pasipo kujua! Mwanzo nilizani ni pombe inanichanganya kumbe huyu mwanamke huwa ananipekua bwana usiku (kuchunguza) lakini haniibii bali hii tabia imenishangaza...
  3. K

    Yanga inafanya balaa huko Avic Town kimya kimya

    Yanga imeendelea na maandalizi yake kuelekea msimu ujao ambapo leo itakuwa na mechi mbili za kirafiki za kujipima nguvu. Asubuhi ya leo Yanga imecheza na timu ya Friends Rangers ya jijini Dar es Salaam na mabingwa hao wa Ligi Kuu msimu uliopita wakishinda kwa mabao 6-1. Mabao ya Yanga...
  4. Kwa nini DP World ya Dubai wako kimya kweye hili suala la mkataba?

    Nimekuwa najiuliza hili swali lakini bado sijapata majibu. Huu mkataba ni baina ya sehemu mbili, The said Tanzania na DP World ya Dubai. Huku Tanzania viongozi wa nchi na CCM wanajitahidi kutotoa ukweli kuhusu huu mkataba, na wameshajiwekea uadui mkubwa na watu wanao oji uhalali wa mkataba...
  5. Zitto amekuwa kimya? Haikupaswa iwe hivi

    Najiuliza sana huyu kijana alikuwa machachari sana kipindi cha JPM. Alikuwa hapitwi na jambo nliwahi kuamini kuwa siku za usoni atakuwa na mchango mkubwa sana. Toka miaka ile anakuzwa na Chadema. Kipindi cha Kikwete na Kikwete akimtumia vizuri pia katika hoja mbalimbali ambazo zilikuwa...
  6. Watanzania wanashauriwa kukaa kimya kuhusiana na mkataba wa DP World mpaka pale Serikali itakapotoa ufafanuzi

    Watanzania wanashauriwa kukaa kimya kuhusiana na mkataba wa DP World kwasababu kauli zao hazina staha, hazifuati taratibu za kisheria katika uwasilishwaji wake hivyo ni sawa na kelele na usumbufu kwa wanchi hivyo basi hatua kali za kisheria zitachukuliwa kwa wale wote wenye nia ya kuikashifu...
  7. Raila Odinga: Rais Samia alikuja Kenya kutusuluhisha mgogoro lakini Rais Ruto akaingia mitini

    Akizungumza na waandishi wa habari jijini Nairobi nchini Kenya, Waziri Mkuu wa Zamani wa Nchi hiyo na Kiongozi wa Upinzani, Raila Odinga amesema jitihada za kutafuta suluhu ya mgogoro unaoendelea kulitafuna taifa zilifanywa sio tu na jamii wa Wakenya peke yao bali hata Matifa jirani ambapo...
  8. Vodacom yaendelea kuwa kinara idadi kubwa ya laini zilizosajiliwa, Airtel na Tigo mpambano wa kimya kimya!

    TCRA imetoa takwimu mpaka mwezi Juni 2023 ambapo jumla ya laini za simu zilizosajiliwa zimefikia 64,088,651 huku mtandao wa Vodacom ukiwa kinara. ORODHA 1. Vodacom - 19,116,166 2. Airtel - 17,505,139 3. Tigo - 17,484,387 4. Halotel - 8,410,029 5. TTCL - 1,559,090 6. Smile - 13,840
  9. Waziri Masauni, kaa kimya Watanganyika tunapolia juu ya urithi wa rasimali zetu

    Watanganyika tumedhulumiwa ardhi yetu, tumedhulumiwa maji yetu ya maziwani na ya baharini, ndugu zetu tulio waamini sana, tukawakaribisha chumbani leo wamempa Mwarabu kwa vipande vichache tu vya fedha. Leo Watanganyika tunalia machozi ya damu, Mzanzibari mmoja anatuzuia tusilie. Mara tukae...
  10. Vijana wetu wa IT huko vyuoni wanafanya nini? Mbona kimya sana?

    Kibongo bongo kozi za kompyuta tushazoea kuziita kozi za IT ikiwemo computer science, computer engineering, IT, n.k. Maisha ya sasa teknolojia ipo mbali sana na tunatembea, smartphones, internet, apps, n.k. zimekuwa sehemu ya maisha yetu. Hapa bongo pametulia mno utadhani hatuna wanafunzi wa...
  11. Spika Tulia aanza ziara ya kuwaelimisha wananchi wa Mbeya faida za mkataba wa bandari

    SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson ameanza ziara katika maeneo mbalimbali ya jimbo la Mbeya kuwaelimisha wananchi wa Mbeya juu ya faida ya mkataba wa Bandari uliopitishwa na Bunge Juni 10 2023 bungeni Dodoma.
  12. Kukaa kimya ni hekima na kuepusha madhara yasiyo ya lazima! Kusakwa kwa wanaharakati ni kukuza jambo na kuongeza joto la upinzani wa mkataba

    Ikiendelea hivi kama ambavyo wao wanaona ni busara kuwasaka na kuwakamata wanaharakati na wanapigia kelele mkataba! Ni kukuza joto la upinzani na kuongeza kelele zaidi na hata kuchochea vitu vingine visivyotarajiwa! Ilikuwa sawa kabisa kwa serikali kupuuza hizi kelele huku wao wakijikita...
  13. Kunani Yanga yetu mbona mpo kimya sana suala la usajili?

    Misimu miwili nyuma yanga walikuwa moto sana kwenye usajili msimu huu mbona kimya sana kunani?
  14. Baada ya kimya kingi nami nitie neno DP World, Mtazamo wangu ni Tofauti kidogo

    Habari za siku nyingi, nimekuwa kimya kidogo tokea sakata la bandari limeanza. Uwekezaji ni mzuri sana, hasa unapofuata misingi sahihi. Hasa kwa bandari zetu, hizi zinataka mapinduzi makubwa sana kutoa au kuondoa ukiritimba uliopo. Hivyo siwezi kupingana na aliyeleta hoja ya kuwakaribisha...
  15. R

    MO na GSM wako kimya suala bandari Rostam amewawakilisha

    Kuna mjadala nimeukuta mahali watu wanahoji kwanini Mfanyabiashara Maarufu Mohamed Dewji maarufu MO na Mfanyabashiara Maarufu Gharib Mohamed Maarufu GSM ambao ndiyo wadau wakubwa wa bandari kuingiza mizigo nchini kwamba mbona hawajasema chochote kuhusu mjadala wa DP Wold kuhusu Bandari. Mimi...
  16. M

    Mzee Mwinyi mbona upo kimya? Alipoingia madarakani Rais Samia ulimsihi afuate na kuendeleza mazuri ya hayati

    Nakumbuka ulienda Ikulu na moja ya kauli yako kubwa ilikuwa mazuri yenye tija na taifa hili yaendelezwe. Leo hii kuna mkataba tata wa bandari za Tanganyika. Upo kimya. Wewe ndio mzee wa taifa hili.
  17. Jaji Mugasha Apewe Maua Yake Kupinga Uvunjifu wa Katiba Ukomo wa CJ, ila Mbona Hili ni Dogo Tuu, Kubwa ni Katiba Yetu Imenajisiwa! Why Wako Kimya?!.

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huja na makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa. Makala ya leo ni pongezi kwa Jaji Stella Mugasha wa Mahakama ya Rufani Tanzania, kusimama kidete, kupinga uvunjifu wa katiba uliofanywa na Rais wa JMT, kumuongezea muda wa kuhudumu katika nafasi ya...
  18. TICTS mlipewa miaka 22 lakini mmechemsha sasa kaeni kimya tunaenda na DP World

    TICTS mmebembelezwa sana juu ya kuongeza ufanisi wa kazi zenu. Mliongezwa mkataba wa miaka mitano ili mboreshe lakini mmeshindwa. Mlipewa proposal muongeze winch za kupakia na kupakua mzigo badala yake mkaendelea kufanya kazi kienyeji. Yaani mnapata pesa nyingi lakini hamtaki kuwekeza...
  19. J

    Balozi Polepole: Wahuni ni Watu wa hovyo sana!

    Balozi Polepole anesema Wahuni ni Watu wa hovyo sana Polepole ambaye kwa sasa ni mwakilishi wa Rais Samia nchini Cuba alikuwa anahojiwa na East Africa Radio Jumaa kareem!
  20. S

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali kaamua kujikalia kimya kuhusu suala la Bandari?

    Nilitegemea Mwanasheria Mkuu wa Serikali ndio awe kinara wa kutetea Mkataba wa kumkabidhi Mwarabu bandari zetu, ila naona yuko kimya na hata Bungeni sidhani kama alisimama kutetea huu Mkataba. Binafsi nahisi atakuwa yuko against, kilichomshinda ni kujiuzulu tu. Kama niko sahihi, basi wakati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…