Kujua kama mpenzi wako ana uume mdogo au la, njoo ujifunze hapa kimya kimya bila ugomvi

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
18,201
Reaction score
17,563
Jana nimekaa zangu home mara akaja binaadam na stori zake za town

Binaadam: unajua money penny, naona wadada wengi wanalalamika kibamia kibamia kwa wanaume zao, ila shida ni moja hawajui kuwapima size ya mwanaume akiwa hajatembea nae

Money penny: upimaji huo ndio ukoje

Binaadam: wanawake wote wangejua hii siri wasingelalamika kwenye mitandao na kujiaibisha

Money Penny: aisee, siri gani?

Binaadam: UKITAKA KUJUA MWANAUME WAKO AU MPENZI WAKO KAMA ANA KIBAMIA AU HOGO NI RAHISI SANA

MWULIZE SIZE YA KIATU CHAKE ANACHOVAA

KAMA ANAVAA 45 NA KUENDELEA, HUYO HOGO
KAMA 43 NDIO INAPUNGUA IVYO
KAMA 40 HAPO UTAANGALIA KAMA UNARIDHIKA

KAMA 38 KUSHUKA CHINI NDIO IVYO TENA BAMIA

MONEY PENNY: DU, hadi wewe mtoto wa miaka 25 unajua hili, kweli watoto wa 2000 mmetisher
 
Ukumbuke kuwaambia pia HAKUNA KIBAMIA KWENYE UCHI ULIOTUNZWA VEMA....! Na kwa kukuongezea tu huko kikaoni kwenu, kwamba! UKUBWA NA UDOGO inategemea na Msufuria utakaopikia 😁
 
Me naona ni kelele tu umeandika mdogowangu
Hakuna reality kwenye ume comment
Darasa la matumizi ya kibamia subscribe youtube channel yangu
 
Back
Top Bottom