Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,201
- 17,563
- Thread starter
- #41
Aje aone wowowo langu sio?Unaitwa chocho uka sabuskraibu
Aje aone wowowo langu sio?Unaitwa chocho uka sabuskraibu
Msisahau ku subscribeHivi sasa ni saa saba kamili
Hana kazi ndio maana kaambiwa dawa iko kwa kiatu
Preach PreacherKila mmoja ataelewa ni suala la muda tu.
KiruNamba 45😂
Usisahau ku susbcribeSie wenye size 42 vibamia au ndio inakuwaje pale kwenye moja na mbili?
HogoSisi tunao vaa 47 ndio tuko kundi gani?
Hii kweli kimya, kimya!Jana nimekaa zangu home mara akaja binaadam na stori zake za town
Binaadam: unajua money penny, naona wadada wengi wanalalamika kibamia kibamia kwa wanaume zao, ila shida ni moja hawajui kuwapima size ya mwanaume akiwa hajatembea nae
Money penny: upimaji huo ndio ukoje
Binaadam: wanawake wote wangejua hii siri wasingelalamika kwenye mitandao na kujiaibisha
Money Penny: aisee, siri gani?
Binaadam: UKITAKA KUJUA MWANAUME WAKO AU MPENZI WAKO KAMA ANA KIBAMIA AU HOGO NI RAHISI SANA
MWULIZE SIZE YA KIATU CHAKE ANACHOVAA
KAMA ANAVAA 45 NA KUENDELEA, HUYO HOGO
KAMA 43 NDIO INAPUNGUA IVYO
KAMA 40 HAPO UTAANGALIA KAMA UNARIDHIKA
KAMA 38 KUSHUKA CHINI NDIO IVYO TENA BAMIA
MONEY PENNY: DU, hadi wewe mtoto wa miaka 25 unajua hili, kweli watoto wa 2000 mmetisher
Usisahau ku subscribekwanini utumishi wanatumia mda mrefu kuita watu kazini?
Sababu wako jamii forum wanauza viatukwanini utumishi wanatumia mda mrefu kuita watu kazini?
Usisahau ku susbcribeHapana mkuu nipo salama
Sio hii
Sio kweliNasisi tunajua kuangalia mabwawa, angalia dole gumba la mguuni na kidole jilani,kama Kuna uwazi mkubwa we jua ni bwawa.
MdomoNa kwa wanawake wenye maumbile makubwa unaangalia nini?
Uje youtube uone size ya money pennyJiko la Shamba kila kuni ishaingia.
Atakosa kujua ule mninga huu mlunda ?
KiruWadada siku hizi wanatumia vyupaa lazima ataona vibamia haha
Kiatu namba ngapi bro?Naanza kuwaamini wale majamaa , kila siku wanaosisitiza humu tuoe mabikra🤔
Ivyooo?Hii kweli kimya, kimya!
Usisshau ku susbcribeMoney Penny katika ubora wake.