Waliotaka kuijenga Gaza wakaa kimya wakati Netanyahu akivunja na kuua zaidi.

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
10,509
Reaction score
16,734
Nchi kadhaa za kiarabu zilizokubaliana kutoa mabiloni ya dola za kimarekani kuijenga upya Gaza ni kundi la watu waoga sana ambalo Netanyahu na Trump wanalidharau sana.

Siku chache tu tangu azimio la kuijenga upya Gaza likiwa na mchoro mzuri sana kutolewa waziri mkuu wa Israel amerudia kuvunja majengo machache yaliyobaki kusimama ndani ya Gaza na kuua zaidi ya watu 300 kwa siku moja.

Wakati unyama huo ukifanyika nchi zote hizo pamoja na jumuiya zilizounga mkono azimio hilo kama vile OIC na jumuiya ya Ulaya wote kwa pamoja wamekaa kimya.Hawajaweza kutoa matamko hata ya kulaani mashambulio hayo ambayo kimsingi yanavunja makubaliano yaliyofikiwa ya kusitisha vita.

LIVE: Israel strikes Gaza, killing over 300 including many children​

Kwahiyo hizo nchi zimeshikwa akili na Wajinga Hamas wasiotaka kuachia mateka na maiti? Israel anawaambia kila siku achieni watu wao hamtaki mmekaza mioyo yenu kama Farao... hizi historia ni kama zimajirudia kwa namna fulani au nyingine... Achieni watu wao
 
Kwani Iran na Houthis wao wanasemaje?😁😁😁😁 Hakuna kulia lia.
 
Hukuelewa vizuri, ile michango ya kujenga upya Gaza, hawakumaanisha itoke kwao tu, walitaka itoke zaidi mataifa ya Ulaya, ndiyo maana, kama ulifuatiliia kwenye mjadala wao, walisema kuwa itabidi Hamas wasiongoze Gaza, maana wakiruhusiwa kuongoza Gaza, baadhi ya mataifa hayatakubali kuchangia kuijenga upya Gaza.

Yale maamuzi yalikuwa maneno tu ya mdomoni, lakini kwenye kuchangia, waarabu ni zero. Miaka yote Palestina imekuwa ikipokea pesa nyingi toka Ulaya na Australia kuliko kutoka nchi za kiarabu.
 
Kwahiyo hizo nchi zimeshikwa akili na Wajinga Hamas wasiotaka kuachia mateka na maiti? Israel anawaambia kila siku achieni watu wao hamtaki mmekaza mioyo yenu kama Farao... hizi historia ni kama zimajirudia kwa namna fulani au nyingine... Achieni watu wao
Uachie halafu hakuna faida yoyote.
Si umeona makubaliano yamefikiwa halafu yanavunjwa hadharani.Lazima utekelezaji ufanyike hatua kwa hatua.
 
Hukuelewa vizuri, ile michango ya kujenga upya Gaza, hawakumaanisha itoke kwao tu, walitaka itoke zaidi mataifa ya Ulaya, ndiyo maana, kama ulifuatiliia kwenye mjadala wao, walisema kuwa itabidi Hamas wasiongoze Gaza, maana wakiruhusiwa kuongoza Gaza, baadhi ya mataifa hayatakubali kuchangia kuijenga upya Gaza.

Yale maamuzi yalikuwa maneno tu ya mdomoni, lakini kwenye kuchangia, waarabu ni zero. Miaka yote Palestina imekuwa ikipokea pesa nyingi toka Ulaya na Australia kuliko kutoka nchi za kiarabu.
Pesa wamejaza tele lakini hawajui wapi pa kuzipeleka.
Bilioni 53 si chochote kwao.
 
Nchi kadhaa za kiarabu zilizokubaliana kutoa mabiloni ya dola za kimarekani kuijenga upya Gaza ni kundi la watu waoga sana ambalo Netanyahu na Trump wanalidharau sana.

Siku chache tu tangu azimio la kuijenga upya Gaza likiwa na mchoro mzuri sana kutolewa waziri mkuu wa Israel amerudia kuvunja majengo machache yaliyobaki kusimama ndani ya Gaza na kuua zaidi ya watu 300 kwa siku moja.

Wakati unyama huo ukifanyika nchi zote hizo pamoja na jumuiya zilizounga mkono azimio hilo kama vile OIC na jumuiya ya Ulaya wote kwa pamoja wamekaa kimya.Hawajaweza kutoa matamko hata ya kulaani mashambulio hayo ambayo kimsingi yanavunja makubaliano yaliyofikiwa ya kusitisha vita.

LIVE: Israel strikes Gaza, killing over 300 including many children​

Sasa ndo muda wa kuona Hamas wakidhurula mitaani na magwanda yao kupambana na wazayuni.
Maana kipindi vita ilipositishwa walionesha dunia walivyo imara na namna walivyowashinda wazayuni. Hatutaki kusikia sijui nani hajasaidia au kakaa kimya
 
Huu ni wakati wa kujificha kadri wanavyoweza ili wabaki hai kuongoza taifa lao siku Mungu atakapoipokonya Israel nguvu za kuendelea na vita ambayo kwa uwezo wa Allah haiko mbali.
Hamas wasitegemee kupata msaada wa maana kutoka kwa waarabu wenzao.
 
Wanajua hata wakisema hakuna kitu watafanya kwani huko nyuma hawakuwahi kusema?kilifanyika nini!!!

Wao jukumu lao ni kujenga palipovunjwa habari za Mzayuni amepiga tena haziwahusu hao subiri ahadi yao ya kujenga wasipoitimiza ndiyo uwaulize.
 
Huu ni wakati wa kujificha kadri wanavyoweza ili wabaki hai kuongoza taifa lao siku Mungu atakapoipokonya Israel nguvu za kuendelea na vita ambayo kwa uwezo wa Allah haiko mbali.
Hamas wasitegemee kupata msaada wa maana kutoka kwa waarabu wenzao.
😂😂😂
Wanajificha wanaacha wanachi wanakufa hili waje waongoze taifa la magogu au?
 
Huu ni wakati wa kujificha kadri wanavyoweza ili wabaki hai kuongoza taifa lao siku Mungu atakapoipokonya Israel nguvu za kuendelea na vita ambayo kwa uwezo wa Allah haiko mbali.
Hamas wasitegemee kupata msaada wa maana kutoka kwa waarabu wenzao.
Mkuu, umemtaja na Allah kabisa kwamba Allah atawapa ardhi "yao" Wapalestina? Wana ahadi yoyote kutoka kwa Allah ju ya ardhi ile? Don't think so.
 
Nchi kadhaa za kiarabu zilizokubaliana kutoa mabiloni ya dola za kimarekani kuijenga upya Gaza ni kundi la watu waoga sana ambalo Netanyahu na Trump wanalidharau sana.

Siku chache tu tangu azimio la kuijenga upya Gaza likiwa na mchoro mzuri sana kutolewa waziri mkuu wa Israel amerudia kuvunja majengo machache yaliyobaki kusimama ndani ya Gaza na kuua zaidi ya watu 300 kwa siku moja.

Wakati unyama huo ukifanyika nchi zote hizo pamoja na jumuiya zilizounga mkono azimio hilo kama vile OIC na jumuiya ya Ulaya wote kwa pamoja wamekaa kimya.Hawajaweza kutoa matamko hata ya kulaani mashambulio hayo ambayo kimsingi yanavunja makubaliano yaliyofikiwa ya kusitisha vita.

LIVE: Israel strikes Gaza, killing over 300 including many children​

Wewe usijitoe Ufahamu, nchi zote hizo, ukitoa Qatar ambayo ni muslim brotherhood viongozi wao wanajua tatizo liko wapi kwenye huo mgogoro. Tatizo ni Quran imeudanganya umma wa kiislam kuwa wao waabudu wa kaallah yule Shetani mwenyewe ati ndiyo wataifutilia mbali Israel na wayahudi na ndipo kiyama ije. Sasa kwakuwa wananchi wao bado ni mambumbumbu wa kiquran, ndiyo maana in public wanasema hivi na in private wanasema jingine. Kiujumla wapalestina kwa kujitanabaisha na muslim brotherhood hawawataki ndiyo maana Misri wakajenga Ukuta Mkubwa. Jordan mwaka 1970 king Hussein aliwaua wapalestina wapatao 25,000 ktk ile inaitwa Black September. Mtafutiliwa mbali na wapalestina wenu. Huko Israel kuna waislam wenzenu wapatao 2,000,000 waliachana na ujinga wenu na sasa wanaishi wakiwa na full freedom in Israel
 
Mpango moya Arabs wa Gaza wanahamishiwa Syria..
 
Kwahiyo hizo nchi zimeshikwa akili na Wajinga Hamas wasiotaka kuachia mateka na maiti? Israel anawaambia kila siku achieni watu wao hamtaki mmekaza mioyo yenu kama Farao... hizi historia ni kama zimajirudia kwa namna fulani au nyingine... Achieni watu wao
Kiburi si maungwana. Hicho Kiburi, Ujeuri, Dharau na Ufedhuli wao wa kushikilia watu wao (Dead or Alive) ndo vimegeuka na vimekuwa ndo kamba ya kuwanyongea.
 
Magaidi wa Hamas wanatakiwa warejeshe mateka wote waliobakia na wanatakiwa wasalimu amri.
 
Wao wanajua sana wanachokipigania na wanayepigana naye.Sidhani kwamba kwa kuuliwa na kuvunjiwa majumba kutawafanya wanaobaki hai kubadili msimamo.
 
Magaidi wa Hamas wanatakiwa warejeshe mateka wote waliobakia na wanatakiwa wasalimu amri.
Very simple. Sijui ni kwa nini wanashindwa kutekeleza hayo mambo mawili tu (2)tena marahisi mno; Just a one activity na mchezo wa vita unakuwa umehitimishwa.
1. Rudisha mateka wote (wazima na wafu)
2. Jisalimishe/Salimu Amri i.e. Weka silaha chini na jikabidhi mikononi kwa Mtoa amri. baaas.
Eti hilo nalo limewashinda. Dah!
 
Wao wanajua sana wanachokipigania na wanayepigana naye.
Wanapambana ili waendelee kuwa hai. Wanamjua fika Myahudi kwamba hacheki na kima hata ukiwa ni POW
Sidhani kwamba kwa kuuliwa na kuvunjiwa majumba kutawafanya wanaobaki hai kubadili msimamo.
Ndiyo. Hayo majumba hayawasaidii chochote katika mustakabali wa uhai wao. Hata yakiporomoshwa yote ni sawa tu. Bora wao kama watu waendelee wakiwa hai - majumba yatajengwa mengine baadaye.
 
Very simple. Sijui ni kwa nini wanashindwa kutekeleza hayo mambo mawili tu (2)tena marahisi mno; Just a one activity na mchezo wa vita unakuwa umehitimishwa.
1. Rudisha mateka wote (wazima na wafu)
2. Jisalimishe/Salimu Amri i.e. Weka silaha chini na jikabidhi mikononi kwa Mtoa amri. baaas.
Eti hilo nalo limewashinda. Dah!
Netanyahu alishasema anachotaka ni total victory dhidi ya Hamas.
 
Back
Top Bottom