Waliotaka kuijenga Gaza wakaa kimya wakati Netanyahu akivunja na kuua zaidi.

Waliotaka kuijenga Gaza wakaa kimya wakati Netanyahu akivunja na kuua zaidi.

Wao wanajua sana wanachokipigania na wanayepigana naye.Sidhani kwamba kwa kuuliwa na kuvunjiwa majumba kutawafanya wanaobaki hai kubadili msimamo.
Sasa waache kujificha nyuma ya raia wanawake na watoto.
 
Hadi mchana huu vifo vimeongezeka na kuifikia 400 pia taadhari imetolewa Kwa wapalestina kuondoka kwenye maeneo Yao
 
Netanyahu alishasema anachotaka ni total victory dhidi ya Hamas.
Kwa uwezo wa Allah mwaka huu atapata total defeat na matarajio hilo halitotoka kwa Hamas.Wao ni kama waanzilishi tu wa mchakato.Mengine Allah anajua zaidi.
 
Magaidi wa Hamas wanatakiwa warejeshe mateka wote waliobakia na wanatakiwa wasalimu amri.
Hamas Jana walitishia kuwauwa mateka wote waliobakia endapo Israel itaendelea kupiga Gaza na Leo asubuhi Israel wametoa orodha ya majina ya wafungwa ambao watanyongwa kama mateka watauawa
 
Kwa uwezo wa Allah mwaka huu atapata total defeat na matarajio hilo halitotoka kwa Hamas.Wao ni kama waanzilishi tu wa mchakato.Mengine Allah anajua zaidi.
Allah mwenyewe naona kachemka.
 
Total victory dhidi ya HAMAS kwa maana ya To wipe out (eliminate) all HAMAS combatants ??? au
Nadhani wakitangaza hata kesho kwenye vyombo vya habari kuwa wanasalimu amri na wanarejesha mateka nadhani viongozi wao watafungwa.
 
Nadhani wakitangaza hata kesho kwenye vyombo vya habari kuwa wanasalimu amri na wanarejesha mateka nadhani viongozi wao watafungwa.
Kwa hiyo viongozi wanaogopa hilo tu la kufungwa au lipo ambalo halisemwi?
 
Wao wanajua sana wanachokipigania na wanayepigana naye.Sidhani kwamba kwa kuuliwa na kuvunjiwa majumba kutawafanya wanaobaki hai kubadili msimamo.
Wasipobadili msimamo kiyama kinawangoja.!! Wanajidanganya kuwa Israel wataishinda wajinga hao!!!
 
Nchi kadhaa za kiarabu zilizokubaliana kutoa mabiloni ya dola za kimarekani kuijenga upya Gaza ni kundi la watu waoga sana ambalo Netanyahu na Trump wanalidharau sana.

Siku chache tu tangu azimio la kuijenga upya Gaza likiwa na mchoro mzuri sana kutolewa waziri mkuu wa Israel amerudia kuvunja majengo machache yaliyobaki kusimama ndani ya Gaza na kuua zaidi ya watu 300 kwa siku moja.

Wakati unyama huo ukifanyika nchi zote hizo pamoja na jumuiya zilizounga mkono azimio hilo kama vile OIC na jumuiya ya Ulaya wote kwa pamoja wamekaa kimya.Hawajaweza kutoa matamko hata ya kulaani mashambulio hayo ambayo kimsingi yanavunja makubaliano yaliyofikiwa ya kusitisha vita.

LIVE: Israel strikes Gaza, killing over 300 including many children​

Tatizo lenu nyie Wafuga Midevu na Majini ni wajinga mno mnadanganya sana na kujifanya victims wakati vita mliianzisha wenyewe!! Anyway acheni kulalamika na kulaumu watu mlilikoroga wenyewe linyweni ninyi wenyewe!!
 
Waarabu ni wapumbavu sana kazi kula tende mipesa yote hawanajeshi imara kazi kubasi tu na mashuka! Wangekuwa na akili wangekuwa na jeshi lenye nguvu na vifaa vya hatari maana pesa wanayo yakununua, Mmarekani alijua Sadamu atakuwa tishio Mid East akamkata shingo! Sema Iran alimtrain mwenyewe sasa kawa na pembe n aye ni swala la muda! ila waarabu wangeungana wangetenda Jambo! kwa Islael wakiungana wanategeana!hovyo kabisa!
 
W
Wanajua hata wakisema hakuna kitu watafanya kwani huko nyuma hawakuwahi kusema?kilifanyika nini!!!

Wao jukumu lao ni kujenga palipovunjwa habari za Mzayuni amepiga tena haziwahusu hao subiri ahadi yao ya kujenga wasipoitimiza ndiyo uwaulize.
Watajengaje mahali panapoendelea kuvunjwa?

Zayuni kaunga mkono kujengwa upya na utawala mpya wa kidemokrasia wa Gaza.

Lakini kaapa na kamwe hataki kusikia habari za utawala wa Hamas tena kwa eneo hilo maana wanadai ni kirusi kibaya kwa mustakabali wa usalama wa Israel!
 
Waarabu ni wapumbavu sana kazi kula tende mipesa yote hawanajeshi imara kazi kubasi tu na mashuka! Wangekuwa na akili wangekuwa na jeshi lenye nguvu na vifaa vya hatari maana pesa wanayo yakununua, Mmarekani alijua Sadamu atakuwa tishio Mid East akamkata shingo! Sema Iran alimtrain mwenyewe sasa kawa na pembe n aye ni swala la muda! ila waarabu wangeungana wangetenda Jambo! kwa Islael wakiungana wanategeana!hovyo kabisa!
Wakitaka wanatengeneza kila kitu wenyewe.Kununua kila kitu kutoka Marekani nao pia ni ujinga.
Teknolojia ni uwanja huru ambao Mungu humwezesha kila mwenye kujitahidi kama walivyokuwa waislamu katika karne ya 7 mpaka ya 14
 
Huu ni wakati wa kujificha kadri wanavyoweza ili wabaki hai kuongoza taifa lao siku Mungu atakapoipokonya Israel nguvu za kuendelea na vita ambayo kwa uwezo wa Allah haiko mbali.
Hamas wasitegemee kupata msaada wa maana kutoka kwa waarabu wenzao.
Mungu yupi huyo maanake Israel wana Mungu wao ambaye ndie aliyewapatia hiyo ardhi.
 
Una ushahidi gani kuhusu hilo?
 
Ni kinyume chake. Aliyeahidiwa ardhi ni akina Netanyahu na ukoo wote wa Yakobo Isaak na Ibrahim. Mwanzo 13:15.
Jamani; Hivi katika Mkataba wowote ule; si huwa kuna Shahidi atakayethibitisha makubaliano hayo yaliyobainishwa ndani ya Hati ya Makubaliano(Mkataba) husika??
Kama jibu ni ndiyo, Je; hizo ahadi za kupewa ardhi nani shahidi? Tuwe makini na yaliyoandikwa vitabuni.
 
Very simple. Sijui ni kwa nini wanashindwa kutekeleza hayo mambo mawili tu (2)tena marahisi mno; Just a one activity na mchezo wa vita unakuwa umehitimishwa.
1. Rudisha mateka wote (wazima na wafu)
2. Jisalimishe/Salimu Amri i.e. Weka silaha chini na jikabidhi mikononi kwa Mtoa amri. baaas.
Eti hilo nalo limewashinda. Dah!
Kwani Allah wao anasemaje?
 
Back
Top Bottom