Iyerdoy
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 4,090
- 5,248
Naye kachill.Kwani Allah wao anasemaje?
Naye kachill.Kwani Allah wao anasemaje?
Kwahiyo hizo nchi zimeshikwa akili na Wajinga Hamas wasiotaka kuachia mateka na maiti? Israel anawaambia kila siku achieni watu wao hamtaki mmekaza mioyo yenu kama Farao... hizi historia ni kama zimajirudia kwa namna fulani au nyingine... Achieni watu wao
Usiseme tu kwa mihemko.Hebu tupe elimu kidogo kuhusu miungu waliotaka kumuondoa na myahudi na wakashindwa.Hawa ndio zao, wakikutana huanza kupeana mzuka wa maushetani yao wanadhani watamuweza Myahudi, wasichokijua hata kabla ujio wa uislamu, Kuna miungu wengine waliojaribu kufuta Israel wakashindwa akina Baal wa wafilisiti.
nI kweli usemayoWaarabu ni wapumbavu sana kazi kula tende mipesa yote hawanajeshi imara kazi kubasi tu na mashuka! Wangekuwa na akili wangekuwa na jeshi lenye nguvu na vifaa vya hatari maana pesa wanayo yakununua, Mmarekani alijua Sadamu atakuwa tishio Mid East akamkata shingo! Sema Iran alimtrain mwenyewe sasa kawa na pembe n aye ni swala la muda! ila waarabu wangeungana wangetenda Jambo! kwa Islael wakiungana wanategeana!hovyo kabisa!