Kiwanja kipo kibaha kwa Mathias kidenge.vipo viwili
Kila kimoja ukubwa squire meter 400.
Bei kwa kimoja milioni tatu.
Kwa vyote viwili milioni 5.
Km 5 kutoka morogoro road
Barabara nzuri ya lami,bajaji 1000.
Huduma zote za kijamii zipo,umeme na maji ya dawasco.
Mawasiliano :+255766042214
Kiwanja kipo eneo la Chonga wilalya ya Chake chake
Kina ukubwa sqm 850
Kipo mita 30 kutoka barabara kuu
*Kiwanja kipo karibu msikiti na hospital ya Chonga
Umeme ushafika hauhitaji nguzo
Madrasa ya Qurani yapo hapohapo
Kuna miti (3) ya mikungu, mshelisheli (1) na muembe ng'ongo (1)
Bei Tsh...
Kiwanja kinauzwa tegeta wazo ,sehemu inaitwa Kontena.500m kutoka barabara kuu
Ukubwa:Sqm 2879
Number ya kiwanja 201
Bei :90m
Mazungumzo ruksa
Hati ipo
Njoo DM kwa ambaye yupo serious.
Mm
Wakuu Kiwanja kinauzwa.
Kipo Kibamba Shule kituo kinaitwa Bwawani kama unaelekea Kibwegele.
Ukitembea kwa mguu ni mwendo wa dakika 3 hadi 4 kutoka barabara kubwa.
Ukubwa ni 20 × 20.
Bei ni 5.5M. Haipungui hata mia.
Kiwanja ni cha kwangu mwenyewe, mi sio dalal.
Kama unahitaji, comment hapa...
Ukubwa wa kiwanja: 650 Sqm.
Eneo: Goba Kulangwa, barabara mpya ya lami ya Kuelekea Madale.
Bei: Tshs 25,000,000 (Milioni 25)
Kina hati ya wizara.
Contact : 0742141467
Size sqmt 877.
Bei 100m, aliye serious mazungumzo yapo.
Muhusika anasafiri kwenda Marekani mwezi ujao, so anahitaji mteja kabla hajasafiri.
Eneo ni Mbweni JKT, ni pazuri mnoo, njoo mwenyewe ujionee.
Umeme upo.
Mpangilio wa nyumba ni mzuri sana
Eneo lina utulivu na upepo mzuri.
Lipo 100m kutoka...
Kutokana na utata wa kuandama Kwa mwezi pamoja na ukuaji wa technology naomba kufahamu endapo kipo kifaa maalum chakuangalia kuandama Kwa mwezi na gharama yake NI kiasi gani ili tuweke mikakati yakukinunua na kukiweka kwenye mamlaka husika.
Tanzania tuna wadau wengi wanapenda kufanikisha ibada...
A plot for sale Kibaha Kwa Mathias.
Ukubwa: Mita 20 kwa 20.
Umbali: Km 5
Bara bara ya lami.
Usafiri piki Piki 1500, bajaji 1000.
Umeme na maji ya dawasco yapo.
Huduma za kijamii zote zipo.
Kipo jirani na shule. Bei milioni tatu na nusu
+255766042214
Kiwanja nikizur Sana
Kinauzwa kipo kimara suka
Ukubwa ni mita 20 kwa 22
Kimepimwa na serikali yamtaa bado Hati. Bei milioni 👉 12 maongezi yapo
Usafili upo mwingi tu bajaji Tsh. 700
Pkpk Tsh. 1000
Barabara safi.
📞 📲 call/whatsapp: 0689859495
no cheni namaliza biashara
Kipo Kibaha kwa Mathias karibu na kambi ya jeshi nyumbu mtaa unaitwa mita 50, kimejengwa vyumba viwili na choo. Vyumba vimewekewa umeme tayari, maji pia yamefika maeneo hayo.
Kimepimwa kwa hatua za miguu tu hatua 30 urefu na 10 upana . Pamejengeka tayari, ni eneo lililochangamka.
Bei Milioni 15.
Nauza kiwanja Kibaha miembe
Ukubwa mita 54 kwa mita 23
Nimepunguza bei ya awali ilikua Mil.13 sasa nauza kwa Mil.9.5, WhatsApp au kupiga kawaida 0674 223 223.
Kitanda chenye ukubwa wa tano kwa sita kinauzwa, bei ni Tshs 75,000 maongezi kidogo yapo.
Napatikana Mbezi Makabe, kama unahitaji piga simu 0712268434 tufanye biashara.
Karibuni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.