Kiwanja chenye ukubwa wa mita za mraba 400 kinauzwa kwa shilingi Milioni 12.
Kiwanja kiko wilaya ya Kinondoni eneo linaloitwa Mivumoni pia kiwanja kiko mita 700 kutoka Mivumoni Senta na kiko barabarani kabisa.
Huduma ya Maji na Umeme zipo.
Tuwasiliane inbox tufanye biashara.
Ukubwa wa Kiwanja 1000 sqm.
Kipo Goba, umbali wa kilomita moja kutoka barabara ya lami.
Vimepimwa na kina hati.
Bei ni Tshs 60,000,000 ( 60 Milioni )
Wasiliana nasi - 0742141467
Kiwanja kinapatikana eneo la mbopo-madale ndani ya wilaya ya kinondoni mkoa wa Dar es Salaam.
Kiwanja hakijapimwa,ila kina hati ya mauziano kutoka serikali za mitaa.
Kiwanja kiko eneo zuri lililojengeka na linalofaa kwa makazi.
Kiwanja kimezungukwa na huduma muhimu kama maji,umeme,shule na...
Habari wana JF,
Nina kiwanja changu nakiuza 4mil kipo Kigamboni kimbiji golani eneo la kidagaa kina hati toka ardhi 600sq ni km 35 kutoka Kigamboni Ferry ..
Kwa mawasiliano zaidi piga 0657940974
Kiwanja kinauzwa Igoma mwanza.
size ni 30*25 ft
kipo mtaa wa kilimo A, Igoma jijini Mwanza.
Umeme upo kiwanjani, maji yapo hapo pia.
Kiwanja ni kizuri sana njoo uone kwa macho.
Bei 6 million
mawasiliano 0713096076
0713096076
Kiwanja kinauzwa IGOMA
mtaa wa kilimo msikitini
SIZE YAKE NI HATUA 33*33
Kimepimwa (beacon zimewekwa)
Maji, umeme, barabara vipo tena uhakika muda wote.
kutoka kiwanjani kwenda igoma senta dakika 5-10 tu kwa pikipiki/gari. kwenda machinjioni/kijereshi ni dakika 3-5 kwa boda.
BEI NI 15 mil...
Wapendwa kama kichwa cha habari kinavyo sema kiti hicho kina panda na kushuka vizuri kabisa kina uzwa.
BEI 80000 MAONGEZI YAPO.
KITI KIPO DAR KIJICHI 0694185384
Nauza kisimbuzi changu cha Azamtv bila dish, tena kisimbuzi hiki ni cha Kenya yaani package ya kuangalia NBC Premier League wewe utatazama kwa kulipia 13,000/= tu badala ya elfu 20,000/= Na usiwaze jinsi ya kulipia kifurushi, utalipia kwa M-pesa Visa card kwenye simu yako.
Changamkia fursa hii.
Kiwanja kinauzwa Mwanza karibu na Dolphin Lodge.
Note: hizi picha ni za zamani kidogo sasa hivi majirani wamejenga.
Kwa mawasiliano zaidi pamoja na kuuliza maswali ili kujiridhisha piga simu namba 0753155934
Habari za leo wana JF.
Ninauza kiwanja changu ambacho kipo Chanika Zingiziwa. Kina hati ya serikali ya mtaa. Kina ukubwa wa sqm 406. Kipo eneo la tambarare, udongo wake ni kichanga.
Ni sehemu iliyozungukwa na makazi ya watu. Kipo karibu na Zahanati ya Zingiziwa. Bei ni milioni nne na laki...
Mahali: Iringa mjini, kata ya nduli Hadhi: Hakijapimwa.
Ukubwa: hatua 27*30
Nyaraka: Hati ya mauziano toka ofisi ya kata
Bei: 3.5 milioni
Mawasiliano: 0627089049
Kiwanja kipo katika mtaa wa Mapanda Umbali wa mita 400 toka barabara kuu ya Iringa-Dodoma.
Kiwanja kinauzwa Buhongwa mwanza mita 800 tu kutoka stendi ya daladala buhongwa.
Ukubwa ni Squaremeter 1200
Kiwanja ni tambalale na kipo barabarani kabisa, eneo limeendelea kwa makazi ya watu.... Huduma za umeme na maji zimefika.
Bei Tsh. 18,000,000. Hakina udalali ongea na mwenye nyumba...
Kiwanja kinauzwa. (HAKINA UDALALI)
Mahali: Bagamoyo vijijini
Kijiji cha WAMI STATION (MATIPWILI)
Ukubwa: Robo heka na ni TAMBARARE
Kipo kando ya barabara itakayojengwa ya EAST AFRICA.
Huduma za kijamii zote zinapatikana.
Usafiri ni wa Gari na Reli.
Umbali ni 40km kutoka Barabara kuu...
Habari wanajf kiwanja kinauzwa maeneo ya chanika nguvu kazi,upande ule wa pili wa hospital karibu na mjasiriamali (mfugaji wa kuku)
Mwendo wa nusu saa kutoka barabarani
Urefu 70 upana 35
Bei ni 4.5 milion
Hati bado haijalipiwa
0786180342
Note:mimi sio dalali bali mwanafamilia
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma katikati ya mji maeneo ya majengo kina ukubwa wa 35 kwa 17, kina offer.
Bei ni 230mil mwenye kuhitaji tafadhari tuwasiliane kwa namba 0622723082, naamini hutojuta kukinunua kama una mipango ya kuwekeza katikati ya mji.
Karibuni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.