kipanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kibonzo cha Kipanya: Watawala wanaiogopa Katiba Mpya

  2. Clouds Media, kuweni makini na kujiingiza kwenye siasa. Mtasuswa na watanzania!

    Joseph Kusaga ukitaka kujua kwamba CCM ina wenyewe rudi nyuma miaka zaidi ya 25 iliyopita wakati ule unapiga Disco coco beach ukiwa na DJ Bonny love, ilikuwa ikifika saa 6 balozi Ammy Mpungwe anaagiza polisi kuja kuzima disco lile lilojaza vijana kibao huku wakicheza kwa amani na utulivu, Hawa...
  3. Masudi Kipanya na Mohamed Said kinaga ubaga

  4. Mimi Masudi Kipanya na safari yetu ya miaka 100

    KUTOKA DHUHR HADI ALASIRI NA MASUDI ''MTU SPECIAL'' KIPANYA Leo ilikuwa siku makhsusi yaani special sana kwangu kwa kuwa katika chumba kimoja na Masudi Kipanya na vijana wake ''sharp'' wa Clouds Plus. Hiki kwa hakika si chumba kwa maana ya chumba kama tulivyozoea bali ni Maktaba ya Elite...
  5. Aliyemuelewa Kipanya atujuze

    Maana naona mwanamke kalala na kuna mkia wa nyoka. Anataka kutueleza nini KP?
  6. Kibonzo cha Kipanya; hekima ni kuwaacha wote watoe hisia zao

  7. Kibonzo cha Kipanya; mfungwa ni nani huyu?

  8. Kibonzo cha Kipanya; Diary au Notebook

    Imeguswa kidogo tu tumeona yaliyotokea. Ikifinguliwa tutakimbiana hapa.
  9. Kibonzo cha Kipanya; hali halisi ilivyo

  10. Kipindi cha Kipanya; tukishapiga nyungu tupewe vyeti

    Chanjo hamleti basi tupeni vyeti tukishapiga nyungu na sisi tuonyeshe tunavyopigana na COVID.
  11. Kibonzo cha Kipanya; mti umekatwa

    Huu mti ulikua imara na mizizi yake iliulinda mti huu usianguke. Aliyeukata mti huu ana nyenzo imara kama chainsaw.
  12. Kibonzo cha Kipanya; baada ya pesa kukosekana mtaani watu wameanza batter

    TRA mtasubiri sana tumeamua mwendo wa mali kwa mali.
  13. Kibonzo cha Kipanya leo kinamhusu kiongozi wa wale 19 walioaposhwa garage

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…