kiswahili

  1. Rozela

    Gamondi anapenda mambo ya Kiswahili

    Sikuile tumepigwa 2 na wale wa Sudan, yeye akapost kutuaga na kuonesha kuwa anaikubali sana Yanga. Leo saa chache kabla ya mchezo kaposti eti anacheza golf ila ukiangalia kwa makini nikama anacheka na ukitumia jicho la kiroho ni kama anamzomea mtu. Namsihi master Gamond asipost tena mpaka...
  2. Friedrich Nietzsche

    Uganda sasa Kuongea kiswahili rasimu: Kalibu wagand kwene mtanange wa the Titans of East Africa!

    Waganda sas wametangaza kuanza kuongea kiswahili na kuiacha lugha yao ya kikabila https://youtu.be/UKg4ZWlxKCI?si=9c_kWE1a5lZm8Mgl Karibu sasa rasmi:
  3. Sauti ya amani

    Mwalimu wa Geography, History na Kiswahili nipo

    Kipindi Cha likizo hiki hasa kwa advance kujiandaa kuingia form 6 na kuingia form 5 mzazi au mlezi niite nikufundishie mwanao akiwa hapo hapo nyumbani kwa bei nafuu kabisa ,nipo Dar mbagala kwa wakazi wa kijichi,mbagala kuu, mgeninani,vikunai pote nafika. Nichek 0749442229 au WhatsApp 0744983130
  4. B

    Walimu wa kiswahili wa shule za sekondari kuna mahali mnafeli pakubwa

    Hivi mtoto wa fomfour miaka 17 hadi 20 inakuwaje hawezi kutofautisha Kati ya "r" na "l" "Karibu" mtoto anaandika " kalibu" 👉Kwenye matamshi ya lugha binafsi siwezi tupa lawama hii ni kutokana na athari za kimakabila/kilugha Lakini swala zima la maandishi imekuwa ni changamoto sana 👉Matumizi...
  5. Shanily

    Walimu wa kiswahili chukueni hatua kabla hatujaondoa ladha ya kiswahili chetu

    Binafsi sio Mwalimu kwa taaluma lakini Huwa nafundisha wanafunzi Masomo ya ziada baadhi ya nyakati. Katika wanafunzi nilonao wengi hawajui matumizi sahihi ya herufi na matamshi yake. Mtu yupo darasa la 4 , la 5 na kuendelea , unajiuliza inamaana shuleni hawafundishwi na walimu wa kiswahili...
  6. Nyani Ngabu

    Kwa wajuzi na wajuvi wa Kiswahili, nini Kiswahili cha haya maneno?

    1. President-elect; kwa Kiswahili tafsiri yake ni Rais mteule. Rais aliyechaguliwa anakuwaje rais mteule? Mteule si yule anayeteuliwa? President - rais. Elect-chagua/ chaguliwa. Kwa nini huyo anayeitwa rais mteule asiitwe ‘Rais-mchaguliwa’, badala yake? 2. Nini Kiswahili cha haya maneno...
  7. Nkuruvi

    Nini Kiswahili sanifu cha Majina ua watu hawa?

    Wadau, nifahamisheni watu hawa waweza kuwaita kwa jina gani kwa uhusiano huu. 1. Mwanaume ambaye tumeoa familia moja. (Yaani ameoa mdogo wa mke wangu), mimi namuitaje? 2. Mdogo wa kike wa Mwanaume ambaye tumeoa familia moja. 3. Wanawake ambao wameolewa familia moja (Yaani wanawake wawili...
  8. Brojust

    Wanasaikolojia najua elimu yenu ni kubwa sana ila punguzeni kusema Hallucinations ni mawenge kwa kiswahili

    Bakita ndugu zangu jamiiforum ni jukwaa huru, so natoa maoni yangu. So kama itawezekana naomba myajibu kitaalamu kwa kutoa kufanya research ya neno sahihi mbadala wa Hallucinations kwa kiswahili Ingawa swali sijauliza kwa kitaalamu. Unaposema Hallucinations ni mawenge huwezi amini watu wengi...
  9. Waufukweni

    LGE2024 Mbunge Byabato atumia salamu za Kichina, Kijerumani, Kifaransa, Kiingereza, Kiswahili na Kihaya kuwanadi wagombea wa Serikali za Mitaa

    Wakuu Mbunge wa Bukoba mjini Stephen Byabato ametumia lugha za kichina, kijerumani, kifaransa, kiingereza, kiswahili na kihaya kuwanadi wagombea wa serikali za mitaa mbele ya katibu wa Jumuiya ya Wazazi Ally Hapi.
  10. P

    Salamu kutoka US: Bunge tumieni Kiswahili, Kiingereza kinawaabisha

    Ndugu zangu watz, niko pamoja nanyi kwenye kipindi hiki kigumu tukiendelea cha kuomboleza ndugu zetu waliofukiwa na jengo huko Kariakoo. Poleni watu wote mliofiwa, mlionusurika na majeruhi. Kwa kweli nafurahishwa daima na umoja ambao daima unaonekana wakati wa majanga kama haya. Nirudi kwenye...
  11. The Watchman

    Idd Amin Nduli Dada alikipenda kiswahili hivi?

    Wakuu wa JamiiCheck msaada tafadhali tupate uhalisia wa hii video kama imetengenezwa au ni ya kweli
  12. JMWAKA

    Mwalimu wa English & Kiswahili natafuta kazi

    Hello everyone I have a Bachelor degree of Art with Education specialized in English and Kiswahili from University of Dar es Salaam Nipo Dar es Salaam natafuta kazi ninao uwezo wa kufundisha na uzoefu madarasa ya sekondari kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita. Kwa mawasiliano 0710358330...
  13. Ojuolegbha

    Waziri Kombo: Wizara ya Mambo ya Nje kuendelea kuongeza fursa za Kiswahili

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amesisitiza kuwa Wizara yake itaendeleza jitihada za kutafuta fursa za Lugha ya Kiswahili duniani kupitia Balozi zake nje. Msisitizo huo umetolewa wakati akitoa salamu kwenye hafla ya ufunguzi wa...
  14. Natafuta pesa

    Ninatafuta kazi ya kufundisha Kiswahili na Historia

    Habari za muda huu. Mimi ni kijana wa kitanzania. Nina umri wa miaka 25, natafuta kazi ya kufundisha kwenye taasisi ya elimu kwa ngazi ya kidato cha kwanza hadi kidato cha sita. Nina uzoefu wa kufundisha shule ya sekondari kwa kipindi cha muda wa mwaka mmoja na nusu, somo la Kiswahili na...
  15. Mwafrika mmoja

    Natafuta mtu wa Kutafsiri lugha ya Kihadzabe kwenda Kiswahili

    Habari !!! Natafuta mtu anayeweza kutafsiri lugha ya Kihadzabe kwenda Kiswahili !!! Nitafte: 0683535699 kwa maelewano.
  16. Mhaya

    Majina ya watu ya Asili kama vile ya kikabila na ya kiswahili uenda yakatoweka

    Ukifanya utafiti utagundua siku hizi watu wengi hawawapi watoto wao majina ya Kiasili kama vile ya kikabila au ya kiswahili. Siku hizi majina mengi yanabaki kuwa ya kizungu kwa wakristo au ya kiarabu kwa waislamu. Zama za kale watu walipewa majina kulingana na vitu mbalimbali au matukio...
  17. L

    Rais Samia Mgeni Rasmi Kongamano la Kiswahili Havana Cuba Novemba 7-10, 2024

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan, Anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi katika kongamano la kwanza la kiswahili kimataifa litakalofanyika Havana Nchini Cuba kuanzia Tarehe 7 November hadi 10 November. Ambapo kongamano hilo...
  18. Stephano Mgendanyi

    Rais Samia Kuwa Mgeni Rasmi Kongamano la Kiswahili Nchini Cuba

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Kongamano la Kwanza la Kiswahili la Kimataifa litakalofanyika jijini Havana, nchini Cuba, kuanzia Novemba 7 hadi 10, 2024. Kongamano hilo linatarajiwa kuhudhuriwa na washiriki takriban 600...
  19. Mtoa Taarifa

    Lugha ya Kiswahili imeongezwa kwenye huduma za Tafsiri, Utafutaji wa Sauti na GBoard kupitia Google

    Kiswahili kimekuwa kati ya Lugha 15 za Afrika zilizoongezwa kwenye huduma za 'Voice Search', Kuandika kwa Sauti kwenye Gboard pamoja na huduma ya Kutafsiri Lugha nyingine kupitia 'Google Translate'. Nchini Kenya na Afrika Mashariki, Google inasema inapanua toleo lake kwenye Utafutaji wa Sauti...
  20. J

    Mwenye riwaya soft copy za kiswahili naomba

    Habari ndugu zangu, nilikua nahitajii mwenye RIWAYA zozote zile Za kiswahili naomba anisaidie, natanguliza shukrani 🙏
Back
Top Bottom