Yaani nakutana na mfanyakazi wangu mmoja leo namuuliza ulikuwa wapi time niliyokuwa nakutafuta ananiambia boss nilitoka kuhemea nikamuuliza kuhemea ndio maana yake nini maana tayari kichwani nilishawaza mambo ya hovyo akaniambia kuhemea ni kwenda kununua mahitaji ya nyumbani yaani sikumuelewa...
Mhe. Jenista Mhagama, Waziri wa Afya, na Mbunge wa Jimbo la Peramiho, mkoani Ruvuma, Tanzania
I. Usuli
Kwa mujibu wa Dokezo la Kisera (Policy Brief) linalojadiliwa hapa, ninyi Waziri wa Afya, Jenista Mhagama, na Mkrugenzi Mkuu NHIF, Irene Kisaka, mnakumbushwa kutekeleza majukumu yenu vizuri...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali amesema kuwa zoezi lililo kuwa linaendelea la kuzitafasiri sheria mbalimbali kutoka lugha ya Kiingereza kwenda kwenye lugha ya Kiswahili zoezi hilo litakamilika Mwezi Novemba mwaka huu 2024.
Sisi wananchi tunaipongeza Wizara ya Katiba kwa kazi nzuri inayo ifanya...
Hongera kwa watunzi wa vitabu, hongera kwa wahakiki .
Vitabu vile vya Lugha ya Kiswahili darasa la pili mpaka darasa la nne vinatosha kabisa kufanya kumfanya mtu ajue kuzungumza na kuandika Kiswahili fasaha.
Nyie ambao mnatia aibu hebu nendeni mkatafute hivyo vitabu viwatoe tongotongo.
Ni...
Nimekuwa mhanga wa kutafsiriwa Mihutasari ya mashitaka iliyoandikwa Kwa lugha ya Kingereza.Mara nyingi Huwa najiuliza maana ya hii kitu Huwa ni Nini...Kwa nini isiandikwe Kwa kiswahili kama ilivyosikilizwa Mahakamani...au lugha ya maandishi ya mahakama ni kingereza hata kama asilimia 99 ya...
Katibu Tawala Mkoa wa Simiyu, Prisca Kayombo amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meatu kutumia lugha mbili ya Kiswahili na Kisukuma ili kuweajengea Wananchi wasijua lugha ya Kiswahili uelewa wa namna ya kukabiliana na ugonjwa wa kipindupindu.
Aidha amemuagiza Mkurugenzi...
Mzuka wanajamvi!
Jamani tujivunieni kiswahili chetu. Ni lugha nzuri tamu kuongea kuliko lugha zote.
Leo nimekutana na m Vietnam hajui kiingereza nilipomuongelesha akanijibu emahuuuu yashoodhaa dah nikabaki kushangaa wtf!
Inakuwaje wanajamvi!
Huyu mwamba namsifu sana kwa kukitukuza na kukitangaza Kiswahili.
Lakini badooo tena sana yani bado tu. Analazimisha. Yani levo yake ni shallow balaa chini kabisa.
Nimemchunguza dogo Kiswahili chake cha kawaida tu ila anajitahidi na kujitutumua kwenye hii lugha adhim...
Hili neno huwa nasikia linatamkwa tu ila sijawahi kuelewa maana yake kwa Kiswahili au Kingereza,
Dola ya Kirumi
Dola ya Kimarekani
Vyombo vya dola
Kushika dola
Kingereza cha "dola" ni nini?
Mambo mengi tunayosoma huku tunaona hayana ajira kwa sababu ya soko la ndani lilivyo bovu.
Fikiria mtu amesoma kiswahili na anakomaa kubaki Tanzania, utamfundisha nani na wote wanajua Kiswahili tena wengine wanakuzidi kabisa. Chukulia mfano yule dogo wa UDOM alivyokuwa anaongea kiswahili kizuri...
Utunzi huu (wa M. Mpoto) ni kielelezo cha ubora na uzuri wa lugha yetu ya Kiswahili. Kila neno na kifungu ndani yake kinaakisi utajiri wa tamaduni na maadili ambayo tumerithi. Ni jukumu letu kama jamii kuhakikisha tunalitunza na kulienzi hili tunu.
Kiswahili ni zaidi ya lugha; ni kiungo muhimu...
Nilifika mpakani mwa Tanzania na Rwanda - Rusumo, Jana Usiku!
Baada ya kuzunguka kidogo kwa ajili ya kutafuta pa kulala, niliamua kumwuliza mtu mmoja anioneshe gesti iliyopo karibu. Aliniponipeleka alikopaita gesti, japo nilimshukuru lakini sikukubali kulala hapo! Kwa nini?
1. Tulikutana na...
Nimemuona Chama akikizungumza vizuri kweli kweli, pia nimemuona na Aucho nae akikizungumza vyema tu ila Kubwa kuliko Mtu ambaye sikutegemea kutokana na kuwa na mambo mengi Bernard Morisson nae akikizungumza vizuri tu. Hawa ni wachache sana ila najua wapo Wachezaji wengi wa Kigeni ambao kwa sasa...
Nimeona mjadala mrefu huko mtandaoni wanawake kwa wanaume watu wazima kabisa wako busy wanabishana na kusutana kama inapaswa kuaga au kuomba ruhusa waume/wapenzi wao wanapotoka nyumbani!
Kuna mambo mengine ni mijadala ya kitoto au ki- teenager sana kama ile ya "education is better than money"...
Leo nimepata mgeni toka nchi ya urusi kaja kupumzika.ila alicho niambia watu wengi huko wanajua lugha kiswahili inatoka kenya.
ili jambao bado nauliza sana kwa nini si watanzania tumelala sana.kesho kutwa Falme za kiarabu zitakuwa na mbuga kubwa ikitambulika asili yake ikitoka tanzania.
watu...
Nimetengeneza Mgahawa, napenda kufanya Biashara ya vyakula, nahitaji mtu mwenye ujuzi wa kupika, nawekeza mtaji, kazi yake ni kuleta ujuzi wake, tunagawana faida. Awe mvumilivu, Biashara inaanza wateja watapatikana Kwa misingi ya ubora wa huduma zetu na utafutaji wa masoko.
Vijana wanalalamikia...
Ukweli ni kwamba kumekuwa na uharibifu mkubwa sana wa lugha ya kiswahili miaka ya karibuni. Tatizo hili lipo haswa kwa kizazi hiki kinachoitwa cha 2000 aka Gen Z. Imefika wakati hadi hawa vijana/watoto wanapoandika jambo au kuongea na wakafanya hivyo kwa usahihi ndio unashangaa. Sio unashangaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.