kiswahili

  1. Iwekwe siku ya kumbukumbu na kuenzi mchango wa Muziki wa Dansi katika kukuza lugha ya Kiswahili

    Katika kumbukumbu za siku ya kiswahili, sijawahi kusikia wakitajwa wasanii wa Muziki wa Dansi katika kukuza lugha ya kiswahili hasa wakati ule ambapo jamii nyingi zilikuwa Bado hazijafunguka na wengi walisthiriwa na vilugha vyao. Lakini wanamuziki wa enzi hizo kwa majitoleo na uzalendo mkubwa...
  2. Diamond Platnumz ni Msanii mkubwa duniani, BASATA pamoja TASUBA kuna haja ya kumpongeza kwa jitihada zake za kukuza lugha ya Kiswahili

    Diamond Platnumz ni Msanii mkubwa duniani, BASATA pamoja TASUBA kuna haja ya kumpongeza kwa jitihada zake za kukuza lugha ya Kiswahili Diamond ni kijana wa Tanzania mwenye kiu ya kufikisha mbali Muziki wa Tanzania kuna ulazima wa kila mtanzania kuunga mkono jitihada zake za kukuza muziki wa...
  3. Wanajeshi mlioko hapa JamiiForums tafadhali naomba neno sahihi la Kiswahili la 'Quarter Guard' nitawashukuruni sana

    Na nitaomba pia kama kuna Mwanajeshi yoyote yule hapa JamiiForums mwenye Kamusi Maalum ya maneno ya Kijeshi ya Kiswahili kwenda Kiingereza au Kiingereza kwenda Kiswahili aniwekee hapa au aniambie naweza kuipata wapia. Asanteni Maafande.
  4. Kiswahili

    Je Kiswahili ni Lugha yako ya Kwanza?
  5. Update: Naomba Neno Moja tu la Kingereza Ambalo Halina Tafsiri Rasmi ya Kiswahili.

    Kama kichwa cha Habari kinavyosema, zaidi ya wiki sasa imepita toka nilete hii changamoto iliyopo katika lugha yetu ya Kiswahili. https://www.jamiiforums.com/threads/naomba-neno-moja-tu-la-kingereza-ambalo-halina-tafsiri-rasmi-ya-kiswahili.2228322/page-9#post-50651130 Nashukuru kwa wale wote...
  6. Kwa Nini Tanzania Inapaswa Kubadilisha Jina Lake Kuwa la Kiswahili?

    Jina la nchi lina umuhimu mkubwa wa kitamaduni, kihistoria, na kitaifa. Linahudumia kama ishara ya utambulisho, umoja, na fahari kwa wananchi wake. Mfano wa orodha ya baadhi ya nchi na lugha zao:- zinazohusiana: Ufaransa - Kifaransa Ujerumani - Kijerumani Hispania - Kihispania Italia -...
  7. Baraza la Sanaa limfungie Bambo kazi zake. Anaharibu sana Kiswahili kwa makusudi

    Dickson Samson Makwaya (Bambo) Baraza la sanaa linashindwa vipi kumuita na kumuonya Bambo aache kuharibu lugha ya kiswahili kwa makusudi. Huyu kijana nje ya kuharibu lugha yetu ya kiswahili sidhani kama ana kitu anachochekesha. Ifike mahali sasa aonywe ikiwezekana afungiwe kabisa ,nakumbuka...
  8. Sitosahau mtihani wa kiswahili wa form 4 necta csee 2009

    Hello guys, Ule mtihani ulikuwa umesukwa, walioongoza kitaifa wenyewe walikuwa na B kwenye huo mtihani wa kiswahili. Hivi kwenye ule mtihani, nchi nzima kuna mtu alipata A kweli๐Ÿ˜, nahisi alietunga ule mtihani ni mzaramo pure. Na form 4 yangu nilikutana na misamiati ambayo sikuwahi iona tangu...
  9. Je, unaweza kuzungumza lugha ya kabila la mzazi/wazazi wako?

    Yaani hata kile cha kuombea maji au kusalimiana au kujitambulisha tu kwa walugha wenzio. Haya ni matokeo ya fikra na falsafa chanya ya Baba wa Taifa Mwl. Julius K. Nyerere katika kupiga vita na kutokomeza mipaka na ubaguzi wa kikabila nchini. Kwa mafanikio na matokeo haya, nadhani nia yake hii...
  10. L

    China yaungana na Waswahili kukikuza Kiswahili kwa kukitumia hadi kwenye tamthilia zake

    Kwa zaidi ya miongo miwili, sera ya China kwa Afrika ilijikita zaidi katika maendeleo na miundombinu. Lakini sasa imepanua mawanda yake na kuingia ndani zaidi hadi kwenye utamaduni na lugha, ikitumia njia ya kukikuza na kukieneza Kiswahili ili kujenga ukaribu zaidi na wenzao wa nchi za Afrika...
  11. Tangazo la Tasker lager la Kiswahili

    Hivi unakumbuka tangazo la TUsker klager, aliimba TID, linaongelea kuhusu "Twende Pamoja ni wakati wetu" Ni kama hili, ingawa hili ni la Kenye wamefanya kwa Kiingereza. https://www.youtube.com/watch?v=gJl_q_Twt34 Kama mtu anajua pa kulipata em tusaidie kuweka link. Asante
  12. Mhadhara wa Uprofesa: Machungu ya MV Bukoba, Dola na soko

    Katika tukio la kipekee ambalo linakipa Kiswahili nafasi iliyopokwa siku nyingi ni tukio la muhadhara wa uprofesa kuendeshwa Kwa lugha ya Kiswahili. Mchango mkubwa wa Profesa Mkandala katika hili siyo jambo dogo. Ni dhahiri kuwa ana mchango mkubwa yeye binafsi na kupitia historia yake ya...
  13. SoC04 Tanzania inavyoweza kunufaika na Lugha ya Kiswahili kama raslimali nyingine

    Katika makala hii tutajadili jinsi ya kukufanya kiswahili kuwa bidhaa, jinsi ya kukufanya kuwa na mashiko kiuchumi, mbinu mpya ya kukiendeleza na kuwavutia zaidi wazungumzaji na jinsi tunavyoweza kunufaika na Lugha hii katika muktadha wa kiuchumi. Ubidhaishaji wa lugha ya kiswahili tunaweza...
  14. Watanzania tujifunze Kiswahili tuache ujanja ujanja!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Nimekuwa nikishangazwa na maneno haya mawili (2) ambayo yamekuwa yakitumika sana na jamii mbalimbali ya watanzania!. Maneno hayo ni :- 1.Uzuri 2.Urembo Haya ni maneno mawili tofauti,lakini watanzania wengi wamekuwa wakidhani ni neno moja...
  15. Wimbo: Cavalier solitaire mwimbaji: JB Mpiana ft Papa Wemba tafsiri: Sule Mkandarasi

    ๐™’๐™„๐™ˆ๐˜ฝ๐™Š : Cavalier Solitaire ๐™ˆ๐™’๐™„๐™ˆ๐˜ฝ๐˜ผ๐™…๐™„ : J.B MPIANA ft PAPA WEMBA ๐™๐˜ผ๐™๐™Ž๐™„๐™๐™„: ๐™Ž๐™๐™‡๐™€ ๐™ˆ๐™†๐˜ผ๐™‰๐˜ฟ๐˜ผ๐™๐˜ผ๐™Ž ๐™’๐™–๐™จ๐™ฌ๐™–๐™๐™ž๐™ก๐™ž ๐™ฌ๐™–๐™ฃ๐™–๐™จ๐™š๐™ข๐™– "๐™๐™ข๐™—๐™–๐™ก๐™ž ๐™ฃ๐™ž ๐™จ๐™ฌ๐™–๐™ก๐™– ๐™™๐™ค๐™œ๐™ค ๐™จ๐™–๐™ฃ๐™– ๐™ ๐™ฌ๐™– ๐™ฌ๐™–๐™ฌ๐™ž๐™ก๐™ž ๐™ฌ๐™–๐™ฃ๐™–๐™ค๐™ฅ๐™š๐™ฃ๐™™๐™–๐™ฃ๐™–" ๐™ƒ๐™ž๐™ž ๐™ž๐™ฃ๐™–๐™ข๐™–๐™–๐™ฃ๐™– ๐™ฎ๐™– ๐™ ๐™ฌ๐™–๐™ข๐™—๐™– ๐™ž๐™ ๐™ž๐™ฌ๐™– ๐™ฌ๐™–๐™ฌ๐™ž๐™ก๐™ž ๐™ฌ๐™–๐™ฃ๐™–๐™ฅ๐™š๐™ฃ๐™™๐™–๐™ฃ๐™– ๐™ ๐™ฌ๐™– ๐™™๐™๐™–๐™ฉ๐™ž ๐™—๐™–๐™จ๐™ž ๐™๐™–๐™ฌ๐™–๐™ฉ๐™ค๐™ฌ๐™š๐™ฏ๐™– ๐™ ๐™ช๐™ฉ๐™š๐™ฃ๐™œ๐™–๐™ฃ๐™– ๐™ ๐™ช๐™ฉ๐™ค๐™ ๐™–๐™ฃ๐™– ๐™ฃ๐™– ๐™จ๐™–๐™—๐™–๐™—๐™ช ๐™ฎ๐™– ๐™ ๐™ช๐™ž๐™จ๐™๐™ž ๐™ข๐™—๐™–๐™ก๐™ž ๐™ข๐™—๐™–๐™ก๐™ž...
  16. Tujuzane maneno sahihi ya Kiswahili...

    Mada hii itakuwa ni mada maalum ya kujulishana usahihi wa maneno yakiswahili,sanasana uandishi wa maneno hayo au maana n.k Yapo maneno yanayotutatiza ama katika uandishi au matumizi yake,hapa pawe uwanja wakuchambua,kurekebisha nakuelimishana juu ya maneno hayo. Nikianza namimi binafsi maneno...
  17. L

    Natafuta shule ya msingi ya bweni ya binafsi inayotumia mtaala wa Kiswahili

    Naombeni msaada kwa anaefahamu shule ya msingi ya binafsi inayotumia Kiswahili. Nitafurahi nikioata mawasiliano ya shule husika. Natanguliza shukrani.
  18. Serikali Imeahidi Kufanya Jitihada za Kuhakikisha Mtandao wa Google Unakuwa na Tafsiri Sahihi na Sanifu kwa Lugha ya Kiswahili

    Serikali Imeahidi Kufanya Jitihada za Kuhakikisha Mtandao wa Google Unakuwa na Tafsiri Sahihi na Sanifu kwa Lugha ya Kiswahili "Lugha ya Kiswahili kwa sasa ni Lugha rasmi katika Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC), Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Umoja wa Afrika (AU). Kila tarehe...
  19. Tafadhali mwenye Ktabu chochote au Chapisho lolote la Kumfundisha Mtu vyema Lugha ya Kiswahili aniwekee hapa ili 'Nikidanlodi' haraka sana

    Huyu Mrembo wa Kinyankole hapa Uganda sitaki nimkose na anapenda sana Kujua Kiswahili hivyo nisaidieni nisimkose.
  20. Maana ya baadhi ya maneno ya kiingereza

    Hii misamiati yenu huwa mnaibuni kutoka wapi aisee 1. Charger โ€“ kimemeshi 2. Appetizers โ€“vihamuzi 3. Simcard โ€“ kadiwia/mkamimo 4. Memory card โ€“kadi sakima 5. Business card โ€“ kadikazi 6. Microwave โ€“tanuri miale 7. Cocktail party โ€“ tafrija mchapalo 8. Lift โ€“ kambarau 9. Toothpick โ€“ kimbaka 10...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ