Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Cuba zimesaini Hati za Makubaliano ya kushirikiana katika sekta ya elimu ya juu kwa kubadilishana wakufunzi na wanafunzi, kufundisha lugha ya kiswahili katika Chuo Kikuu cha Havana nchini Cuba pamoja na kutengeneza kamusi ya...
Wakiwa kwenye Mkutano mkubwa wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF), Rais Samia wa Tanzania na Rais William Ruto wa Kenya walitaniana kuhusu Matumizi Sahihi ya Lugha za Kiswahili na Kingereza
Swali la Utani: Kati ya Kenya na Tanzania, wapi Kingereza kinazungumzwa kwa ufasaha?
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Kimataifa, mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini , Bilionea Joseph Mbilinyi, jioni ya leo alikuwa Wilayani Chunya, akiwaelimisha wananchi kuhusu Umuhimu wa Katiba Mpya na Ubovu wa Mkataba wa Bandari.
Hapa ni Kata ya Makongorosi, ambapo...
Ngoja nitafute sasa Video Clips zake nione akiwa na Wazungu (Wenye Lugha yao hii ya Kiingereza) huongea nao kwa Kujiamini na Mikogo aliyonayo kama akiwa anasoma katika Karatasi kwa Kuandikiwa na huenda wanaoijua hiyo Lugha (Kiingereza) zaidi yake.
Binafsi nijiweke tu Wazi kuwa sijui Kiingereza...
Haya hapa ni majina ya Kiswahili ambayo herufi zake zote zinaumda maneno ya Kiswahili pia
NAOMI----MAONI
AMINA----AMANI
Tafadhalli ongeza maneno au majina mengine ya aina hii angalau mawili
Nimefanikiwa kupata Bachelor of Education, hivyo basi kwa yeyote mwenye uhitaji au connection itakayoniwezesha kupata kazi ya kufundisha au inayoendana na taaluma yangu.
Naomba kutanguliza shukrani.
Kitabu cha Rais Xi Jinping chenye jina la “The Governance of China” toleo la Kiswahili, kimetolewa kwa wasomaji kwenye hafla fupi iliyofanyika Agosti 14 mjini Nairobi. Hii ni juzuu ya kwanza ya mfululizo wa juzuu nne, kikiwa na mkusanyiko wa hotuba na maagizo mbalimbali ya Rais Xi Jinping katika...
Lugha ya kiswahili imetawaliwa.na herufi A tazama.
Uganda. Tanzania. Kenya.Botswana.
Kaka. Dada. Mama. Baba.
Chakula. Maisha....
Yaani karibia kila.kitu kimeishia na herufi a.
Hii ni Aburani na ahadi Iliyowekwa Siku za Nyuma na Umoja wa Mataifa, Kuwa Kutakuwa na Siku Maalumu ya Kusheherekea Lugha ya Kiswahili Duniani Kila Mwaka.
Hii ni Abra nzuri kwa sisi wazungumzao lugha hii Adhwimu ya Kiswahili kujadili Mustakabali mzima wa lugha yetu.
Basi na Sisi Waswahili Tuwe...
Akili Bandia ya Bard ambayo inamilikiwa na Google ili kushindana na Akili Bandia ya ChatGPT imefanya mabadiliko.
Google Bard imeongeza upatikanaji wake kwa lugha zaidi ya 40 ikiwemo lugha ya Kiswahili. Sasa hivi unaweza kuuliza akili bandia ya Google maswali yoyote kwa lugha ya kiswahili na...
Ni Jukwaa pendwa na watu wengi sana. Watumiaji wa kiswahili, lakini pia kiingereza.
Nimeanzisha uzi huu ili kupata maoni ya wanaJF kuhusu ambavyo jukwaa hili pendwa lilivyochangia kukuza kiswahili nchini, nje ya mipaka ya nchi na duniani kwa ujumla.
Karibuni kuchangia.
PENYE UZIA PENYEZA RUPIA: JINSI MSEMO WA KISWAHILI UNAVYOATHIRI UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA KATIKA JAMII
Imeandikwa na: MwlRCT
1. UTANGULIZI
Msemo wa "Penye uzia penyeza rupia" unatokana na neno la Kihindi "rupia" linalomaanisha sarafu ya fedha. Msemo huu ulianza kutumika katika jamii...
SIKU YA KISWAHILI DUNIANI: WAMAREKANI NA KISWAHILI
Nimefika Marekani kwa mwaliko wa Chuo Kikuu Cha Iowa, Iowa City mwaka wa 2011 aliyenialika ni Prof. James Giblin Mkuu wa Idara ya Historia ya Afrika hapo chuoni.
Visa ya Marekani ina tabu kidogo na nilipofika Consulate ya Marekani kuomba visa...
Wana JF,
Leo Tarehe 5/7/2023 asubuhi wakati nasikiliza BBC kupitia Radio Free Afr., nimeshangaa kusikia kwamba nchi moja wapo ya majirani zetu wameamua kufundisha lugha ya KISWAHILI katika primary schools zao.
Sasa, kilichokuja kunishangaza ni kusikia mwalimu shuleni akiwafundisha watoto...
Madai kuwa Watanzania hawajui lugha ya Kimataifa, "English", si sahihi kwa asilimia mia. Lakini nakubali kuwa kuna Watanzania ambao kwa nafasi zao, walipaswa kufahamu Kizungu kwa ufasaha lakini kwa "bahati mbaya", imekuwa kinyume chake.
Wapo Watanzania wenye Elimu ndogo sana lakini wanaongea...
Licha ya Umoja wa Mataifa UN kukitambua Kiswahili kama Lugha rasmi ,inashangaza EAC ambako ndio nyumbani Kwa Kiswahili kupuuzwa
My Take:
Hivi Kiswahili Bado kinafaa kufundishia Watoto Wetu ikiwa Bunge la Afrika Mashariki halikotaki?
==========
Arusha. Kiswahili, recently made an official...
Na Eleuteri Mangi, WUSM, Dar es Salaam
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Urusi nchini Mhe. Andrey Avetisyan ambapo wamejadili namna bora ya Tanzania na Urusi kushirikiana katika sekta ya Utamaduni na Sanaa kwa manufaa...
Huu wimbo wa Nimekuchagua Wewe - Bob Rudala kwenye harusi yangu kanisani nitawambia wanipigie huu,hata kama wataurudia mara 1000 ni sawa tu.
Huu wimbo ukipata binti ambaye mmpendana kama Romeo na Juliet-unaweza ukadhani hamna kifo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.