kiswahili

  1. Nelibaba

    Tusiogope au kuona aibu kutumia Kiswahili.

    Hivi kwanini viongozi wetu wa kitaifa wanakionea aibu Kiswahili? Tumeshuhudia viongozi wetu wakienda uko nje na wakati mwingine tukipata wageni kutoka nje kuja Tanzania, viongozi wetu wanakisaliti Kiswahili na kutukuza lugha ya mkoloni! Hii sio sawa na inatuuma sana sisi wazalendo wa Kiswahili...
  2. Ojuolegbha

    Wizara za Utamaduni, Elimu na Utumishi zakutana kujadili Maendeleo ya Kiswahili na Michezo

    Makatibu Wakuu wa Wizara za Utamaduni, Sanaa na Michezo, Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia pamoja na Ofisi ya Rais menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wamekutana kujadili maendeleo ya lugha ya Kiswahili na michezo Juni 8, 2023 Mtumba Jijini, Dodoma. Lengo la kikao hicho ni...
  3. Mag3

    Naomba wataalamu wetu wanisaidie kutafsiri kipengele hiki katika lugha yetu ya Kiswahili

    Kipengele hiki naambiwa kiko kwenye makubaliano kati ya Tanzania na Saudia kuhusu uendeshaji wa bandari ya Dar es Salaam. Naambiwaa ni mkataba si wa miaka 100 bali ule usio na kikomo...WOW! Nawaomba wataalam wetu wa lugha wanisaidie kutafsiri hii katika lugha yetu ya taifa Kiswahili.
  4. DON YRN

    SoC03 Upotoshaji wa kiuandishi unavyorudisha nyuma maendeleo ya lugha ya Kiswahili

    Lugha ya Kiswahili, ni lugha inayokua kwa kasi ikiwa ni miongoni mwa lugha zenye wazungungumzaji wengi duniani. Ni lugha inayozungumzwa sana kwenye nchi za Afrika mashariki na baadhi ya nchi kuifanya kuwa lugha rasmi katika shughuli za kiserikali na katika mazungumzo ya watu yaani lugha ya...
  5. M

    Nimemuuliza Mtaalam kwa Kiswahili tofauti ya Kufa Kiume na Kufa Kishujaa kasema ni maneno yenye maana sawa tu

    Kuna Wendawazimu nchi fulani Jumamosi walikuwa na Furaha ya Kazi bure iliyopelekea Kupokea Hirizi za Kuvaa Shingoni kutoka Uarabuni huku Wenzao wakibeba Ndoo yenye Madini na walivyorudi Makwao wanajisifia kuwa Wamekufa Kishujaa wakitaka Kujitofautisha na Wenzao ambao Wao walisema walikufa Kiume...
  6. Yahaya Abdallah Sadallah

    SoC03 Lugha ya Kiswahili katika kanuni ya 'Archemedes'

    Unamkumbuka Mwanafalaki na Mwanahisabati aliyekuwepo zaidi ya miaka elfu mbili na mia mbili iliyopita katika kisiwa cha Sisilia ambacho leo tunaita Italia. Mtaalamu ,huyu alikuwa anaitwa Archmedes mtoto wa Phidias ambaye pia alikuwa Mwanafalaki. Katika kipindi cha uhai wake kabla ya kuja...
  7. benjykulture

    Changamoto ya Kiswahili cha Tanzania

    Lakini kiswahili cha Tanzania hua vipi? Kuna maneno hutumiwa pale hata ujaribu kutafuta maana kwenye internet huwezi pata. Kama mnabuni maneno basi pia muweka maana pale kwa internet tujue maana yake. Kuna maneno mengi natafuta maana lakini sipati kamwe🤷🏽‍♂️.
  8. matunduizi

    Wakuu mwenye link ninayoweza kudownload biblia ya kiswahili (suv) kwa ajili ya PC msaada.

    wakuu kama kichwa japo juu. Naomba msaada wa link au software ya biblia ya kiswahili SUV au Standard Union Version. Natanguliza shukrani.
  9. Engager

    Kama lilikosekana Jina zuri la 'Bone Marrow' katika kiswahili, bora lingetoholewa hilo hilo la kingereza

    Ingekuwa nafuu hata tukisema 'Boni maro'. Yaani ndo UBOHO?! hivi aliyepitisha hili neno alikuwa mswahili kweli? Jamani Uboho inatia ukakasi kutamka. Ni nani mwenye mamlaka atuangalizie jina mbadala?
  10. Mparee2

    Kikokotoo kipya cha NSSF

    Nilikuwa nasikiliza clip ya ya mwaka jana (Jul) ya Afisa mafao wa mkoa wa Mwanza (James Oigo) akielezea ukokotoaji mpya wa mafao ya mstaafu na pension (33%). Akatolea mfano kwa Mstaafu aliyekuwa na mshara wa shs milioni mbili (2000,000) kwa mwezi; Akasema ataishia kulipwa shs Milioni 30...
  11. Allen Kilewella

    Kwa Kiswahili tofauti ya maneno ‘Kwenye’ na ‘Katika’ ikoje?

    Matumizi sahihi ya maneno haya kwa kweli huwa yananitatiza sana? Huwa napata shida sana kujua ni wakati gani wa kutumia kwa mfano neno "Kwenye " au wa kutumia neno "Katika" kwenye kuongea au kuandika Hebu wajuvi wa Lugha hii tupeni wengine darasa tuelewe jinsi ya kuyatumia maneno haya kwa usahihi!
  12. dosho12

    SoC03 Uwepo wa Vitabu na Makala kwa Lugha ya Kiswahili na Ongezeko la Maktaba Katika Kukuza Maendeleo

    UWEPO WA VITABU NA MAKALA KWA LUGHA YA KISWAHILI NA ONGEZEKO LA MAKTABA KATIKA KUKUZA MAENDELEO Elimu ni ufunguo wa maisha ni kauli ambayo wote tumezoea kuisikia, ila unajua asilimia kubwa ya elimu inapatikana kwenye vitabu. Vitabu hubeba historia na mitazamo mbali mbali ya watu ulimwenguni...
  13. LA7

    Hii ni kwa wale tulioanza shule tukiwa hatujui kabisa kiswahili,

    nkukumbuka 2006 ndo naanza darasa la awali huku kati yetu wengi tukiwa hatujui kabisa kiswahili yaani zaidi ya ndiyo, hapana, naomba, mpaka nafika darasa la pili nilikuwa napata sana shida maana nilikuwa nakubalika na vitoto vya kike vya walimu maana nilikuwa mtu wa hadithi nyingi ambazo...
  14. Lycaon pictus

    Huyu mnyama anaitwaje kwa kiswahili? Analiwa?

    Unapofungua kamusi ya kiingereza neno la kwanza kukutana nalo ni "Aardvark." Mnyama huyo ni huyu hapa chini na anapatikana Afrika yote kusini mwa jangwa la Sahara. Kwa kiswahili anaitwaje? Analiwa?
  15. Mohamed Said

    Idhaa ya Kiswahili ya BBC London 1991

    IDHAA YA KISWAHILI YA BBC 1991 Nimetanguliza picha ya Chama Omari Matata ambayo nimeipata kwenye Dira ya Dunia siku chache zilizopita. Ilikuwa kwenye kipindi cha Dira ya Dunia ambacho Salim Kikeke alituaga wasikilizaji wake kuwa anaondoka BBC baada ya utumishi wa miaka 20. Nilimjua Chama...
  16. Mcqueenen

    Wapendwa watanzania wenzangu, Tujifunzeni kiswahili

    Napenda kuwashauri ndugu zangu Watanzania kujifunza Kiswahili kwa bidii na azma thabiti. Ingawa Kiswahili ni lugha yetu ya asili, ina faida nyingi ambazo hazipaswi kupuuzwa. Kwanza kabisa, Kiswahili ni lugha inayotumiwa sana katika nyanja mbalimbali kama vile biashara, utalii na utamaduni. Kwa...
  17. DR HAYA LAND

    Naomba mnipe mbinu za kuingiza hela kupitia lugha pendwa ya Kiswahili kwa mtu mwenye taaluma ya ualimu wa Kiswahili

    Je, kupitia hii taaluma ya Kiswahili na kingereza, nawezaje Kupata Kipato? Hasa Kupata Kipato kupitia lugha yetu ya Kiswahili. Najua ntapata msaada hapa JF panapo Majaliwa.
  18. Poppy Hatonn

    Swali kwa wajuzi wa Kiswahili:"executioner" inatafsiriwa vipi Kiswahili.

    Mtu anayefanya kazi ya Mahakama ya kunyonga watu,anaitwa vipi? Jina lake limenitoka. Najiuliza miaka kumi sasa. (Kiswahili anaitwa vipi)." The hangman",siyo "assassin", just the hangman,anaitwa vipi Kiswahili? Naona tafsiri hapa;"mchinjaji","mnyongaji". Certainly ni "mchinjaji" na...
  19. K

    Ushauri: Tufundishe Kiswahili na English kuanzia darasa la kwanza kwa manufaa ya taifa

    Kiswahili kinakuwa sana na Tanzania tunapata heshima sana kwa lugha yetu hii. Hii naina maana tusifundishe watoto wetu kiingereza-English kuanzia darasa la kwanza. Inasikitisha sana viongozi wetu wana aminisha kwamba hakuna umuhimu wa kujua kufundisha English kwa elimu ya msingi wakati watoto...
  20. Gadafhi

    Serikali yetu ianze kutoa tuzo kwa watunza (wazungumzaji) Kiswahili kutoka mataifa ya nje

    Ni ukweli usiopingika kwamba dunia nzima inatambua lugha ya Kiswahili ina unasaba mkubwa na Tanzania. Kwa tafsiri fupi ni kwamba Tanzania tunaweza kuiita ardhi ya Kiswahili. Sasa nataka niongee kidogo kuhusu lugha hii adhimu na wizara yenye dhamana ya lugha hii kwamba lazima itumie mbinu...
Back
Top Bottom