Rais mstaafu wa Msumbiji, Joachim Chissano amesema utoaji wa Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu, ni matokeo ya juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan kuthamini, kukuza na kuendeleza Lugha ya Kiswahili nchini.
Alitoa kauli hiyo akiwa mkoani Dares Salaam alipokuwa mgeni katika hafla...
Kwenye vyombo vya habari viongozi mbalimbali wamekua wakisifia kiswahili yakua sasa kinafundishwa nchi za mbalimbali marekani hata uchina.
Ona hapa kwenye tangazo la ajira la tamisemi kiingereza ndo kimepewa kipaumbele kiswahili hata kidogo
Hatimae chaneli za Kiswahili zaanza kupatikana katika king'amuzi cha Canal+ ambacho pia kinarusha mechi mbalimbali za soka za ulaya kwa lugha ya kifaransa.
King'amuzi hiko ambacho kinapatikana kwa connection hapa Tanzania, kimetokea kujizolea umaarufu mkubwa kwa wapenda kandanda.
Wikiendi iliyopita yaani tarehe 18 na 19 Machi, lilifanyika Kongamano kubwa visiwani Zanzibar nchini Tanzania ambalo limeshirikisha vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi vinavyotangaza kwa lugha ya Kiswahili.
Kongamano hilo lililofanyika kwenye ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul-Wakil...
Unamuuliza Mwanamke au Mpenzi wako kuwa unapoenda Kumbandua au anapokuja Kubanduliwa Kwako angependa 'Umuweke' Bao / Goli ngapi anakushangaa au anaanza kuona aibu.
Wengine akina GENTAMYCINE tumetoka si tu Kanda ya Ziwa bali pia tumetoka Kanda Maalum Mkoa wa Wanaume wa Shoka wa Mara (Musoma)...
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imetoa taarifa ya kufunguliwa rasmi ofisi za Ubalozi wa Tanzania Jijini Windhoek, nchini Namibia.
Lililonivutia katika hatua hii muhimu katika kuimarisha uhusiano wa kidiplomasiani ni uamuzi wa ubalozi kufungua maktaba ndogo yenye...
Sijui tunakwama wapi. Ila deep inside Kiswahili ni lugha dhaifu sana yaani sio stable hata hivyo sio romantic hata kibiashara ni weak sana.
Hata ukitongoza demu kwa Kiswahili na jamaa mwingine akatongoza kwa English; yule wa Kiswahili ni likely kupigwa chini mara elfu zaidi na kukubaliwa wa...
Kikawaida hakuna mtu anayependa kujifunza lugha ya maskini au utamaduni wake isipokuwa tu labda kwa sababu za kiutafiti na kiakademia.
Hata masIkini mwenyewe huionea aibu lugha yake na utamaduni wake hivyo kuikwepa katika matumizi yake ya kila siku Kama vile elimu nakadhalika.
Hapantunaweza...
Maswali kwa Wizara ya Elimu Tanzania na kwa wadau wote humu Jamiiforums:
Kwa kuzingatia takwimu za matokeo ya kidato cha nne 2022.
1. Kwanini wizara haijaamuru matumizi ya lugha ya kiswahili katika kufundisha na kuondoa matumizi ya lugha ya kiingereza katika ngazi zote za kielimu hapa nchini...
William-Huitwa Bill. Jina la Bill Gates ni William Henry Gates. Siyo Wile
Robert-Huitwa Bob. Robert Mugabe na Robert Nesta Marley huitwa Bob. Siyo Roba
Elizabeth-Huitwa Lizzy, Siyo Beti
............................................................
Nimepitia matokeo ya NECTA kidato cha pili na kugundua jambo lifuatalo.
Shule za Kata zina ufaulu hafifu sana (mwingi ni wa daraja F) katika masomo yote isipokuwa somo la Kiswahili. Somo la Kiswahili ndo limezibeba shule za kata zisitumbukie shimoni kabisa.
Mifano michache ni hii hapa (ikiwemo...
Wapwa, habari za muda huu?
Kuna neno 'Onyesha' naona linatumika vibaya na mara nyingi limekuwa likitumika mahali ambapo si mahali pake.
Kuna maneno mawili watu tumekuwa tukiyachanganya 'Onesha' na 'Onyesha'.
'Onesha' likisimama kwa maana ya kumfanya mtu atazame kitu au jambo fulani, wakati...
Guangzhou!
Kwa wataalamu wa lugha adhimu ya kiswahil...Nini maana ya neno Mbwiga??
Nilisikia jana jirani anasema ''Mume wangu alirudi yupo mbwiga"
Pia naomba msaada wa maneno haya
1.Monde
2.Karandinga
3. Gida
"Waligida Monde wakajikuta ndani ya karandinga"
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imejizatiti kueneza lugha ya Kiswahili kwa kuimarisha ufundishaji wa Kiswahili katika nchi za Afrika na ulimwenguni kwa ujumla.
Akizungumza jijini Dodoma wakati wa kukabidhi bango la Kiswahili kwa watumishi watakaopanda Mlima Kilimanjaro kwa azma ya...
Yaani hapa bongo bhana tuna vipaji vingi sana tena watu wa maana umewahi kufikiria kwanini hatuvumi sana kimataifa na dunia kiujumla.
Hii ni kwasababu ya lungha tunayotumia kama Lungha ya taifa umewahi kufikiria labda ENGLISH ingekuwa ndo lugha yetu ya taifa yaani Kwanza tungekuwa na lafuzi...
Rais Paul Kagame alikuwa anaapisha mawaziri wapya hapo jana mapema. Alianza kutoa hotuba yake kwa lugha ya Kinyarwanda, lakini baadae akahamia kwenye lugha ya Kiingereza na baadaye akatoa kitisho kizito kwa lugha ya Kiswahili. Wengi wetu tumeona hicho kipande chenye lugha ya kiswahili kikisambaa...
Huyu mtangazaji wenu anapayukapayuka na hata haieleweki anaongea nini. Kila wakati anapaza sauti na kuongea vitu visivyoeleweka wala kuhusiana na mechi iliyopo mubashara.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.