Habari zenu nyote,
Natafuta Migahawa ya Vyakula vya Kiswahili London au mtu anayepika nyumbani na kuuza chakula kwa mtu mmoja mmoja.
Napika lakini siyo siku zote kutokana na majukumu ya kazi.
Waswahili wa London tafadhali nijuzeni, ahsanteni sana.
Wakuu natafuta dictionary newe version ya kutoka TUKI ninayo soft copy ya hii dictionary lakini imekua ya zamani sana.
Kuna mtu anayo au inauzwa wapi? Asanten
Kwa mujibu wa Waziri wa Mambo ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Rebecca Kadaga, Mawaziri watafundishwa Kiswahili kila Jumatatu kabla ya Kikao cha Baraza chini ya Rais Museveni.
Waziri Kadaga amesema hatua hiyo inalenga kuwawezesha Mawaziri kufanya mikutano ya ndani na ya Jumuiya kwa lugha ya...
Kwenye mfumo wa Elimu Yetu tuna matatizo mengi sana ambayo kwa haraka haraka inawezekana ikatuchukua hata miaka zaidi ya 20 kuyarekebisha, tena kama tukiwa makini na tuliodhamiria kufanya marekebisho yanayotakiwa.
Kwenye Mfumo wetu wa Elimu watu waliofundishwa kuwa Maafisa Elimu kwenye vyuo...
Ndugu waamini wa dini mbalimbalini nawasalimu kwa jina la bwana muumba wetu.
Siku ya Ijumaa ni siku ya ibada na mara nyingi inakuwa kama ni siku nusu ya kazi kutokana na waamini wengi wa dini ya Kiislam kwenda kusali.
Sasa hata kwenye redio zetu ambazo ni nyingi sana kwa sasa hapa Tanzania...
Ingekuwa enzi za mwendazake Maguful maneno yangekuwa mengi oooh hajui kiinglish.....oooh sijui nini lakin pale Ikulu leo waalikwa wamemuomba Rais Ruto azungumze kwa Kiswahili
Ruto amesema Gesi ya Mtwara itapita Dar es salaam hadi Mombasa kisha Nairobi na hilo atalisimamia kikamilifu
J3...
Vijana wamechaguliwa tena UDOM kusoma hizi course
Bachelor of Arts in English,
Bachelor of Arts History,
Bachelor of Arts Kiswahili😭😭😭
Ni huzuni kwa kweli.
Kuna hizi za sayansi pia
Bachelor of science in chemistry
Bachelor of science in physics
Bachelor of science in biology
Mm siyo muandishi...
Mwandishi wa kitabu: Peter Charlz
Mchoraji: Peter Charlz
Instagram / Twitter / Facebook: petercharlz255
Email: petercharlz255@gmail.com
Shukrani za dhati kwa kila alieshiriki kuandaa kitabu hiki.
Mhakiki : Augustino Peter
Instagram : babadenze
BOBOtheBEST Studios
Instagram: bobothebeststudios &...
Tarehe 30 september kila mwaka ni siku ya utafsiri duniani. Tunaotafsiri vitabu tunapata shida sana kwa kukosekana kwa maneno rasmi ya kuelezea maana fulani.
Lakini mtaani utakuta kuna maneno mazuri yanayoelezea jambo hilo vizuri sana. mfano.
1. Neno la kiingereza MEAN/MEANNESS. Halina tafsiri...
Muda huu natazama uapisho wa Rais mteule wa Kenya Dkt. William Ruto.
Lakini pia kabla ya leo nimefuatilia sana kampeni zake na za mpinzani wake mkuu Mh. Raila Odinga ila katika kampeni zao wametumia sana lugha ya Kiswahhili kuliko Kiingereza
Lakini katika hii shughuli ya kumuapisha Mh. William...
Kiingereza hatujui na lugha yetu adimu na adhimu kila siku tunaiharibu kwa kuingiza maneno ya kihuni. Tunakosa nafasi za kufundisha nje ya nchi pamoja na kazi za kutafsiri.
Tutumie lugha moja ili tupate nafasi za kufundisha Uganda, Rwanda, South Africa na kwingineko!
Uganda, Rwanda na South...
Adhabu ya kaburi aijua maiti, The touture of the grave is only known by the corpse
Akiba haiozi, A reserve will not decay
Asifuye mvuwa imemnyea. He who praises rain has been rained on.
Akili nyingi huondowa maarifa. Great wit drives away wisdom
Asiye kubali kushindwa si mshindani. He who does...
KISWAHILI NA MAENDELEO YA MTANZANIA
Kiswahili ni lugha ya Taifa letu pendwa Tanzania, lugha hii inazungumzwa maeneo mengi ulimwenguni lakini chimbuko lake likiwa ni wabantu wanaopatikana maeneo ya Afrika ya mashariki hususani Tanzania.
Ushahidi wa kihisimu(sayansi ya lugha) unathibitisha asili...
SABABU ZA KUKUA KWA LUGHA YA KISWAHILI KIMATAIFA NA KUDUMAA NCHINI
Kiswahili ni Lugha inayozidi kukua barani Afrika na duniani kote kadri siku zinavyozidi kusogea hili likidhihirishwa na maboresho na mabadiliko ya mitaala ya elimu katika mataifa mbalimbali barani Afrika ili kutoa mwanya wa...
Hivi kweli Afrika ni masikini? Na kama ni kweli Afrika ni masikini kwanini Afrika ni masikini? Hili ni swali ambalo waafrika wengi na watanzania wamekuwa wakijiuliza, lakini je kwanza tujiulize ni kweli Afrika ni masikini?
Licha ya bara la Afrika kuwa na utajiri mwingi wa rasilimali na amali...
Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imeipongeza kampuni ya Multichoice kupitia DStv kuamua kutangaza kwa Kiswahili Mashindano ya Kombe la Dunia yanayotarajiwa kufanyika baadae mwaka huu nchini Qatar.
Akizungumza Septemba 01, 2022 Dar es Salaam katika hafla ya Maonesho kwa Vyombo vya Habari...
Nilikua nacheza game moja hivi linaitwa #swahiliwordcross, nimefanikiwa kutoka na haya maneno machache nikaona ngoja nilete huku tuendelee kuchambua Kiswahili kwa njia zote.
VIJULANA WENZANGU MSISAHAU KUPATA SHARUBATI NA UDOHOUDOHO SIKU MOJA MOJA.
nimeounda sentensi hio, mwenye maana yake kwa...
Wawe wanashirikisha wadau bana.
Na hata kama hawashirikishi wengine watunge basi majina ama maneno mazuri. Sasa kama hili kishkwambi Yani unaltamka huku umekunja uso. Angalau wangeita tu tableti.
Mengine yanayokera jokofu wangeacha tu friji. Smart phone Eti simu janja. Eti password nywila...
Nimecheka sana ITV karne hii kuna watu hawajui Kiswahili.
Karani wa sensa amekuwa katika wakati mgumu leo kuelewana na mwananchi.
Kila akiulizwa anajibu nahene jawiza mayo. Hapo ni Kisesa, ndani ya manispaa kabisa; nauli 600 kwenda mjini, sio kijijini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.