Mwaka jana mnamo mwezi Novemba, Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) liliipa heshima lugha ya Kiswahili kwa kutangaza rasmi kwamba kila ifikapo tarehe 7 Julai ya kila mwaka itakuwa ni siku ya Kiswahili duniani.
Heshima hii ya kipekee ikafanya Kiswahili kuwa lugha...
Mfano: kwa lugha ya malkia ukisema.
"I want to eat you"
Labda unamwambia kuku mfano
Ni sahihi kusema nataka nikukule?
Hilo neno nikukule naona halileti mtiririko mzuri
Kwenu wataalamu wa Lugha
Sasa Kiswahili ni lugha rasmi Uganda, na kitatahiniwa kuanzia shule za msingi hadi sekondari, hii fursa nzuri kwa walimu wetu hususan ale ambao ako vizuri kingereza maana lazima upate pakuanzia kuwafunza Kiswahili.....
Kampala. Uganda’s cabinet on Tuesday July 5, approved the implementation of...
Bazara la Mawaziri la Uganda limeidhinisha matumizi ya Kiswahili kutumika kuwa lugha rasmi nchini humo pamoja na kuwa somo la lazima katika Shule za Msingi na Sekondari.
Maamuzi hayo yamefikiwa ili kutekeleza mapendekezo ya Azimio la 21 wa viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, waliopitisha...
''Hii ni London. Leo kwa mara ya kwanza kabisa BBC inawapa salamu wakazi wa Afrika mashariki kwa lugha yao. Asalaam Aleikum,"sauti tulivu ya Oscar Kambona ilisikika hewani miaka 65 iliyopita.
Idhaa mpya ikawa imezaliwa - Idhaa ya Kiswahili ya BBC.
Kambona alikuwa mwanafunzi kutoka Tanzania...
Wakuu, hivi sasa BBC Swahili inaadhimisha miaka kama sikosei 67 ya kuanzishwa kwake. Tatizo nimeliona ni mtangazaji aliyejikita Zanzibar akisema Kiswahili ndipo kilipoanzia.
Mie, natambua Kiswahili chimbuko lake ni Lamu nchini Kenya sasa kama ni mwendelezo wa upotoshaji unaoendelea ni hatari...
Najua Prof. Shivji ni mwalimu wa sheria hapo school of Law.
Sina hakika kama huwa anapata muda wa kuielezea au kufundisha sheria kwa lugha ya kiswahili.
Mimi kiukweli baada ya kutoa somo lake la sheria ya umiliki wa ardhi kwa lugha ya kiswahili nimejikuta nakua mpya kabisa kichwani kuliko...
Ilianza rasmi kipindi cha mh. jpm (r.i.p) ambapo kiswahili kilitamalaki kufikia kutumika kisawasawa afrika.
Juzi hapa tena mh. Mwigulu alipokuwa anasoma bajeti, alikipromoti tena kwa kusema usaili fulani (nimesahau eneo rasmi alilolitaja) utakuwa unafanyika kwa kiswahili sasa na si kiingereza...
Huyu mwandishi wa ITV ana ripoti vizuri lakini kushindwa kuongea kiswahili sanifu kumenikera sana.
Huyu mwandishi anaitwa Silemu, katika kipindi cha kuwahoji hao vijana waliotapeliwa fedha na kampuni ya QNET.
Akimwuliza au kuhoji mtu, badala ya kumuuliza UMETOA KIASI GANI, yeye anauliza...
Wadau naleta hili kwenu, kwa sababu naona vyombo hivi siku izi watangazaji wake wengi ni wa Kenya, na wamekuwa na kiswahili cha ajabu ajabu sanaa sio kiswahili ichi chetu cha Tz
Hawa jamaa wana misamiati yao ajabu ajabu sanaa mfano mufti mufti, venye, n.k ...hii misamiati haipo kabisa hapa...
DAR ES SALAAM INDEPENDENT SCHOOL (DIS)
Registration Numbers S. 2544 and DS/02/7/037
English and Kiswahili Teachers
We need very experienced ENGLISH and KISWAHILI Teachers to join our well established Middle School Team Immediately.
English and Kiswahili Teachers Requirements
Experience of...
Habari Za Mchana,
Poleni na majukumu na mihangiko ya Kila Siku na Kwa wale watakaofanya Usahili kesho niwatakie Usahili Mwema.
Sasa nirudi Kwenye topic, hili suala nimekua nikiliangalia Sana kwenye Usahili ukienda lugha inayotumika kuwasahili ni kiingereza. Hivi wanavyofanya hawatendi haki...
Kiswahili chetu huwenda kuna maneno yumkini hayako sawa katika kuleta uwiano wa maneno na au kiko sawa Ila kuna maneno yakitamkwa huonekana ni kama yako sawa na ukija kwenye kuutafuta ukweli, mtu unajikuta neno hilo linalokataza kitu Fulani kisifanyike, basi pia neno hilo hilo linamkataza...
Google imeongeza Lugha mpya 24 zinazozungumzwa na watu zaidi ya Milioni 300 katika Jukwaa lake la Tafsiri za Lugha 'Google Translate'. Idadi hiyo itafanya Lugha zilizopo ikiwemo Kiswahili kufikia 133
Inaelezwa kuwa kati ya Lugha zinazoongezwa, 10 zinatokea Barani Afrika. Kampuni hiyo imesema...
Habari za asubuhi wakuu,
Planet Open School inahitaji mwalimu wa kiswahili na History mwenye uzoefu wa kufundisha kidato cha kwanza hadi cha sita.
Planet Open school inapatikana Mwanza Mjini barabara ya Balewa.
Kwa mawasiliano: 0737-988897/ 0752-137196
Pato la Taifa ni GNI/GNP au GDP? "Nominal" - itakuwa kinaganaga?
Ufafanuzi kwa Kiingereza:
GNP Gross National Product (kisawe = gross national income GNI): total domestic and foreign output claimed by residents of a country, consisting of gross domestic product (GDP), plus factor incomes...
Hamjambo je tunao hapa wataalamu wa uchumi? Pato la Taifa ni GNP au GDP? Nominal - itakuwa kinaganaga?
Ufafanuzi kwa Kiingereza:
GNP Gross National Product (kisawe = gross national income GNI) : total domestic and foreign output claimed by residents of a country, consisting of gross domestic...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.