Nimesoma hii habari kutoka Bungeni, kabla sijazungumza ninachotaka kuzungumza, isome kwanza wewe mwenyewe uone....
****
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro amesema Sheria 212 kati ya sheria 466 zilizopo hapa nchini, zimetafsiriwa kutoka kwenye Lugha ya Kiingereza kwenda kwenye lugha...
Sioni sababu ya kujifunza kwa Kiswahili Shule ya msingi.
1: Walimu wao wanajifunza kozi kwa Kiingereza.
2: Kiswahili tayari tunakiongea nyumbani hata Mtoto akitoka Shule atakiongea hawezi kukisahau.
Hasara tunazopata
1: Watoto wa shuleza msingi wanakuwa wazito na hawaendani na kasi ya...
Kiswahili na Kiingereza, ni lugha mbili ambazo zipo kwenye mitaala ya elimu yetu nchini, lakini asilimia zaidi ya 80 ya watanzania hawajui lugha zote mbili Kwa ufasaha.
Au hata lugha Moja tu kwa ufasaha na usahihi.
Ni kwa sababu ya uwepo wa lugha mbili ambazo, hupokezana na huingiliana kwenye...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tannzania inathamini mchango wa vyombo vya habari katika kukuza na kueneza lugha ya Kiswahili duniani na kuifanya lugha hiyo kuwa yenye hadhi.
Hayo yamesemwa na Makamu wa Rais wa Jumhuri ya Muungano Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdori Mpango wakati wa ufunguzi wa...
Moja kwa moja..
Leo katika kuperuzi katika nikakuta adds ya app ya kujifunza kuongea kimalkia nikaamua kuipakua .
Nimestaajabu kikivyokuja kipengele cha kuchagua lugha yako unayoitumia Kiswahili kukuta imewekewa bendera ya Kenya wakati Tanzania ndiyo wazungumzaji wa Kiswahili kwa asilimia...
Kutokana na mgogoro uliopo hapo ulaya nimesikia kwenye vyombo vya habari mbalimbali lakini vikitaja majina tofauti.
VOA, Mwananchi,Milard Ayo wanasema,wanatamka au kuandika jina Russia lakini BBC,DW wanaripoti jina Urusi.
Sasa swali ni jina gani la kiswahili sahihi kutumika? Russia ni...
Lugha yoyote hunakshiwa kwa maneno ya kudumu na yale ya muda mfupi. Lugha ya Kiswahili imekuwa na bahati ya kupata maneno mengi ya misimu na baada ya muda hutokomea kusiko julikana.
Kupitia uzi huu tukumbushane maneno mbalimbali ambayo yanapotea kwa kasi hivi sasa.
Kula jiwe- kukaa kimya...
Jambo lakimaskini na kifukara la wanasiasa hafifu kifikra nikufikia hatua yakusifia lugha.
Nilichukizwa na Kiswahili kutumika kisiasa awamu ya Tano na watu wenye madaraka kuacha kushughulika na matatizo ya wananchi nakufungua mjadala wa kiswahili.Wasiojua kiswahili wakatuamunisha kutumia...
Ukiangalia kitu kama Kindle; biashara ya ebook ya amazon, hairuhusu uchapishaji wa vitabu vya kiswahili na hsli inakubali vitabu vya lugha nyingi ambazo ni ndogo kuliko kiswahili. Cheki hawa admob/adsense, hawakubali kufanya kazi na watu wenye content za kiswahili. Na hapo utashangaa wanasupport...
Kampuni ya meta iko mbioni kushusha whatsapp yenye menu za kiswahili ili kueleweka zaidi wa jamii ya watumiaji wa kiswahili.
Kiswahili cha kenya ndicho kitatumika maana kenya ndio inajulikana kwa kiswahili.
Ila mimi sijawahi penda kutumia kiswahili kwenye apps au social media au hata menu za...
Kiswahili ni moja ya lugha zinazoendelea kukua na kuwavutia wazungumzaji wengi duniani. Hivi sasa Kiswahili ni miongoni mwa lugha kumi zinazozungumzwa na watu wengi duniani ikiwa na wazungumzaji takriban milioni 200. Baadhi ya wazungumzaji hutumia Kiswahili kwa shughuli rasmi wengine wakitumia...
Muungano wa Afrika (African Union) umeipitisha lugha ya Kiswahili, kuwa lugha rasmi ya kikazi ndani ya Umoja huo. Lugha hiyo huzungumzwa katika nchi kadhaa za Mashariki mwa Afrika pamoja na jamii za Waswahili katika nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu na Oman.
Huu ni uamuzi ambao umekuwa...
Mkutano wa 35 wa Wakuu wa Nchi na Serikali umeridhia na kupitisha ombi la Tanzania la kutaka Kiswahili kuwa lugha ya kazi katika Umoja huo, Dkt. Mpango amewasilisha ombi hilo la lugha ya Kiswahili kuwa miongoni mwa lugha za kazi katika mikutano ya Umoja wa Afrika.
Dkt. Mpango ameongeza kuwa...
Lipi ni neno sahihi kwa matumizi.
Maneno kama Yuko na Yupo, Wapo na Wako, Sipo na Siko, Tupo na Tuko, Uko na Upo.
Baba yuko nyumbani au Baba yupo nyumbani.
Kesho sipo nitakwenda Moshi au Kesho siko nitakwenda Moshi.
Leo tupo Kanisa la Arusha Mjini au Leo tuko Kanisa la Arusha Mjini.
Kaka...
Rais Samia hii ni wiki ya Sheria. Waambie watanzania ni lini Hukumu zitaanza kuandikwa kwa lugha ya Kiswahili Ili watanzania waweze kukata rufaa kwenye kesi zao wenyewe.
Jaribu kutimiza yaliyoanzishwa na Hayati Rais Magufuli kwa faida ya Watanzania.
Pia soma
Profesa Ibrahim Juma: Muhtasari...
Wakati Mahakama Nchini ikielekea katika uzinduzi wa Waki ya elimu ya sheria Nchini kwa mwaka huu 2022.
Wananchi wengi wanashngazwa kwa nini Mahakama zetu bado zina kigugumizi/uzito wa matumizi ya Lugha yetu ya Kiswahili katika kutoa Haki za Wananchi?
Pamoja na Bunge kufanya marekebisho ya...
Wakenya hatujambo likija suala la kuchangamkia fursa duniani, huyu kuupiga mwingi maana hiki chuo kikuu cha Michigan ni mojawapo wa vyuo maarufu duniani na kipo ndani 100 bora.
Kuchaguliwa ufunze chochote pale lazima upitie ukaguzi sio haba.
A collage image of Paul Otieno (Left) and an aerial...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.