kiswahili

  1. S

    SoC02 Usanidi wa programu ya lugha ya Kiswahili

    Habari wana Jamii Forum. Naitwa Suzana, fani yangu ni uandishi wa habari mbali na hilo, ni mtunzi wa kazi za fasihi na zisizo za kifasihi. Moja kati ya changamoto zinazonikumba ni suala la kupata wahariri wazuri wa kuhariri kazi zangu kabla ya kuzisambaza kwa watumiaji. Wataalamu wa kazi ya...
  2. T

    Joramu Nkumbi mtaalamu wa Kiswahili

    Kuna huyu bwana mdogo J. Nkumbi nimepata kumfuatilia siku 2 tatu hizi nimefurahishwa sana na maneno yake. Kwa kweli kiswahili ni lugha nguvu kuliko hata kimombo ila huyu bwana mdogo anakipiga vizuri sana. Msikilize hapa.
  3. MAKA Jr

    SoC02 Tunahitaji majukwaa ya kukuza fasihi ya Kiswahili

    Picha. Chanzo: The Citizen (12/08/2022) UTANGULIZI Je, hatuwezi kutumia barua, insha, makala, hadithi, mashairi, tamthiliya, na riwaya za Watanzania katika kufanya utafiti wa masuala kadhaa yenye mustakabali muhimu kwa Taifa letu? Je, mtoto mdogo wa Shule ya Msingi au Sekondari hawezi kutoa...
  4. system hacker

    Wale wa Kiswahili nimekwama maswali hapa. Tusaidiane

  5. B

    SoC02 Kiswahili kitumike kama lugha rasmi ya kujifunza na kufundishia

    By Erick Mange Leo nakuja na maada hii nyeti kabisa katika maendeleo na kukua kwa lugha ya kiswahili katika nchi yetu na duniani kwa ujumla. Mara kadhaa nmekuwa nkijiuliza kwanini tumeamua kutumia kiingereza kama lugha ya kufundishia wakati lugha ya taifa ni kiswahili? Sipati majibu.. kuna...
  6. S

    SoC02 Nafasi ya Kiswahili

    Kiswahili ni nini? Kiswahili ni lugha ya Kibantu yenye asili ya ukanda wa pwani ya bahari ya Hindi katika bara la Afrika. Kiswahili ni lugha yenye mawanda mapana kimatumizi na katika mwendo wake. Lugha hii ina nafasi nyingi kitaifa, kikanda na kiulimwengu. Katika makala haya tutaangazia...
  7. S

    Mradi wa umeme uko asilimia 12 tu na umechelewa kwa miezi 8 Dk Mpango asema hataki kusikia kiswahili wala kisingizio

    Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango ameinyooshea kidole Wizara ya Nishati kutokana na kushindwa kusimamia mradi wa ujenzi wa njia kuu ya kusafirisha umeme wa msongo wa Kilovoti 132 kutoka Tabora hadi Katavi ambao umechelewa kwa takribani miezi 8 sasa. Ujenzi wa Mradi huo uko asilimia 12 tu...
  8. B

    SoC02 Nafasi ya elimu ya Tanzania katika kuzalisha wataalamu wa Kiswahili duniani

    Kiswahili ni miongoni mwa lugha za kibantu zinazokua kwa kasi barani Afrika na duniani kwa ujamla ikiwa na watumiaji zaidi ya milioni 120 Kama alivyosema Audrey Azoulay " ikiwa na wazungumzaji kati ya milioni 120 na 150 ,lugha ya kiswahili ni moja ya lugha zinazoshamiri kuvuka mipaka ya kule...
  9. Tonytz

    SoC02 Tudumishe Kiswahili kwa maendeleo endelevu na nyenzo ya kudai haki

    UTANGULIZI Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa pumzi ya uzima na uwezo wa kuniongoza katika kuandika Makala hii yenye kuleta tija hapa nchini Tanzania na duniani kwa ujumla. Pia, nawashukuru na kuwapongeza JF kwa kuweka shindano hili na jukwaa hili ili kuinua vipawa vy vijana wengi hapa nchini...
  10. TODAYS

    LEGACY: Kwanini hili kongamano kitumike kizungu badala ya Kiswahili?

    Wadau wa legacy leo tunalegacy yetu hapa Zanzibar inayotokana aliyekuwa rias wa awamu ya tatu Benjamin Mkapa inayofanyika kwa mara ya pili na sasa inafanyika nchini Zanzibar kisiwani Unguja. PHOTO: aliyekuwa Rais wa Msumbuji Joachim Chisano akiongea katika kongamano hilo. Rais wa Tanzania...
  11. The Sheriff

    Joaquim Chissano: Siwezi kuzungumza Kiswahili kama mnavyodhani

    "Ahsante sana kwa kukumbusha watu kuwa nilizungumza kwa Kiswahili kule Umoja wa Afrika, na ile ilikuwa tu kuwakumbusha watu kwamba Kiswahili ilikuwa ni lugha rasmi ya Umoja wa Afrika kipindi kile na watu wakaamini kuwa nilikuwa nafahamu Kiswahili vizuri. Lakini si kweli kwamba nafahamu Kiswahili...
  12. Kidagaa kimemwozea

    Kozi ya kufundisha kiswahili kwa wageni

    TANGAZO ! Kozi ya kufundisha Kiswahili wageni Asasi ya swahilispeaking.co.tz (Dar es Salaam, Tanzania), inayojishughulisha na ufundishaji wa Kiswahili kwa wageni inatarajia kutoa mafunzo mafupi kwa mtu anayependa kujua namna ya kufundisha wageni. Ni asasi binafsi ya KISWAHILI kwa WAGENI, ni...
  13. Tanzania Nchi Yetu Sote

    Maadhimisho ya kwanza ya siku ya Kiswahili Duniani 07/07/2022: Mustakabali wa Tanzania na Kiswahili ni upi?

    MAADHIMISHO YA KWANZA YA SIKU YA KISWAHILI DUNIANI 07/07/2022: MUSTAKABALI WA TANZANIA NA KISWAHILI NI UPI? (Muhtasari wa masuala muhimu niliyohojiwa katika kipindi cha Stimela cha TBC FM tarehe 07/07/2022 saa 10:00 -11:00 jioni) 1.0 UTANGULIZI Tarehe 23/11/2021 ndio siku ambayo Shirikika la...
  14. Roving Journalist

    Serikali: Tutaongeza nguvu kazi, miundombinu na bajeti kwa taasisi na vyuo vinavyofundisha Kiswahili

    Serikali imesema itaongeza nguvu kazi, miundombinu na bajeti kwa taasisi na vyuo vinavyofundisha Kiswahili ili viendelee kuandaa wataalamu zaidi watakaotumika duniani kote. Akizungumza kwa njia ya simu katika Maadhimisho ya Siku ya Kiswahili Duniani yanayofanyika Jijini Dar es Salaam, Mhe...
  15. L

    Matumizi ya Kiswahili katika usaili wa kazi

    Jamani Mnaonaje matumizi ya Kiswahili katika usaili wa kazi….toa maoni yako
  16. E

    Ni vitu Gani huvipendi katika Movie zilizotafsiriwa kwa Kiswahili?

    Habari ,Binafsi sio mpenzi za sana wa hizi movie zilizo tafsiriwa ila kuna kitu kimoja nlikiona siku moja nlipoangalia movie moja ya lugha ya kiingereza ni kwamba Tafsiri haiendani na kinachongelwa nilikereka sana . We je vitu gani huvipendi ? Ingawa kuna Madj wako poa
  17. T

    Kinana anashangaa Watanzania kutonufaika na Kiswahili

    Nimeona kwenye kichwa cha habari kwenye gazeti la leo likisema kwamba eti Makamu Mwenyekiti CCM bara anashangaa watanzania kutonufaika na Kiswahili. Huyu akishangaa sijui anamaanisha nini wakati yeye amekuwa kiongozi mkubwa kabisa mwenye kushawishi sera na mipango ya serikali eti Leo na yeye...
  18. Lycaon pictus

    Leo Julai 7 ni maadhimisho ya siku ya Kiswahili duniani

    Kiswahili kimekuwa na kinatambulika kimataifa. Kuadhimisha siku hii tunatoa ofa ya vitabu viwili vilivyofasiriwa kwa kiswahili. Tuone whatsapp(0715278384). Sema umetoka JF.
  19. beth

    Julai 7: Siku ya Kiswahili Duniani (Kiswahili Language Day)

    Shirika la Umoja wa Mataifa la elimu , sayansi na utamaduni UNESCO tarehe 23 mwezi Novemba mwaka 2021 lilitangaza rasmi tarehe 7 Julai ya kila mwaka kuwa siku ya Kiswahili duniani. Maudhui ya maadhimisho ya mwaka huu ni Kiswahili kwa amani na ustawi. Lengo hasa la maadhimisho haya ya mwaka ni...
  20. Analogia Malenga

    Membe: Tuwashirikishe UNESCO katika kukuza Kiswahili

    Mwanadiplomasia Bernard Membe ameshauri serikali kukuza kiswahili ili kiweze kuwa lugha inayotumika Afrika, kwa kuwa ushahidi upo kuwa lugha ya kiswahili inaweza kutumika bara zima. Amesema UNESCO wanahela wanaweza kusaidia kukuza lugha hiyo kwa kuanzisha chuo kikuu cha kiswahili ili watu...
Back
Top Bottom