Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Edward Kichere leo tarehe 28 Machi, 2021 amemkabidhi Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ripoti za ukaguzi kwa mwaka wa fedha unaoishia tarehe 30 Juni 2020 katika halfa fupi iliyofanyika Ikulu...