Mfalme Leopold Philippe, nina uhakika yupo kuzimu, meza moja na Henry Morton Stanley. Wanapokaa, unaliona pembe la kushoto la shetani kiangavu zaidi. Najua watakua wanacheka. Ndio, kuna moto unawasubiri; lakini, kazi yao duniani inameremeta mpaka leo. Wanacheka kwa sababu kuna kijana atachomwa...