Katika igamimg industty tunaona kwamba kampuni nyingi sana zinakuja kwa kasi hasa katika nchi yetu hapa Tz, kuna vivutio vingi sana kwa wateja ili kubet na haya makampuni.
Ukiachia mbali michezo yenye kulipa kama hii Live casinos na online slots nahitaji kufahamu kama kuna kampuni inatoa ziada...