Forrest Gump
JF-Expert Member
- Jul 2, 2021
- 797
- 2,314
Mimi sijawahi kuwa na pesa na sijawahi kusumbuliwa na watoto wazuri. Sijui vijana wa siku hizi wanakwama wapi?Wanakuja kusema “tall & dark guys”
Ongeza hapo sauti & usafi..
Umepiga kwenye mshono madamUmaarufu
Wacheza mpira, Wanasiasa, Waimbaji etc
Bado umerudi kulekule kwenye pesa.Umaarufu
Wacheza mpira, Wanasiasa, Waimbaji etc
Akishakuwa na pesa anakuwa tall, dark and handsome hata kama yuko kama kitunguu swaumu.Wanakuja kusema “tall & dark guys”
Ongeza hapo sauti & usafi..
Mimi sijawahi kuwa na pesa na sijawahi kusumbuliwa na watoto wazuri. Sijui vijana wa siku hizi wanakwama wapi?
Brains. I'm a sucker for brains
Brains. I'm a sucker for brains
Duh wewe binti upo?Brains. I'm a sucker for brains
NipoDuh wewe binti upo?
Pacha. Missed me?Duh wewe binti upo?