Nasikia hati ni miaka 33, 66 na 99. Ni kama umekodi kiwanja toka serikalini kwa miaka hiyo. Nini kinafuata baada ya hati kuexpire?
Mtu anaweza fika dau serikalini na kukutoa?
Kiwanja kinauzwa Tegeta A. Square meter 400. Bei ni shs 15m. Kuna matofali mengi tu kama bonasi. PM au email tajirika@gmail.com. Mhusika mimi kwa hiyo hakuna udalali.
Hivi karibuni Waziri wa Ardhi alimshambulia aliyewahi kuwa Mkurugenzi Manispaa ya Dodoma, sasa ni mbunge, kwamba amesababisha migogoro ya ardhi Dodoma, Mbunge huyo aliomba muongozo wa spika, na spika alimuona Waziri alikosea.
Nadhani Waziri hakufurahi, hivi majuzi huko Mwanza, kaenda kutaja...
Kama wewe ni dalali uliobobea unaruhusiwa kushiriki nasi. Hii inakuhusu. Nyumba na kiwanja kikubwa karibu na shule ya renea Njiro inauzwa.
Ina kiwanja kinachojitosheleza kuendelea kuijenga au hata kuweka nyumba za kupangisha. Kuna Maji, umeme wa sola, na Nyumba ina vyumba viwili na sebule...
Habarini wadau, nauza kiwanja kipo Kata ya MAPINGA kijiji cha KIHARAKA mtaa wa SOWETO karibu na kambi ya jeshi MBWENI, huduma za kijamii zote zipo na kimeshapimwa tayar, Ukubwa 25x25..dk10 kutoka Bagamoyo rod bei ni ml9...hakina udalali.. kwa mawasiliano 0672875803
Habari wadau
Ukataji wa mibuyu au miti mikubwa umekuwa ikiambatana na changamoto nyingi sana kwa wamiliki na hata kwetu mafundi!
Ushauri huu tunautoa kwenu tukitambulika kama (SAMICO) ambao ni jopo la mafundi wazoefu katika sekita ya ujenzi, Umeme na gesi asilia! Unaweza kutufuatilia katika...
KIWANJA KINAUZWA, MBWENI DARE SALAAM
SIZE: 25m*25m
dakika 5 kutoka Bagamoyo Road
Miundombinu yote ipo na kumeshajengeka sana
Bei 8.million (milioni 8 tu za kitanzania)
Mawasiliano 0713096076
Ukitaka kujua ubora wa eneo unalofikiria kuhamia kwa kujenga makazi au kupanga tafuta eneo hilo wakati wa kipindi cha mvua. Itakusaidia kujua miundombinu kama inapitika au haipitiki. Kipindi cha ukame huwezi kujua na muda huo madalali hupata nafasi ya kuwachomekea wateja maeneo mabovu.
Khabari zenu ndugu zangu.
Naomba mnipe mawazo katika Hili.
Mimi ni kijana miaka 28 hivi, kipato changu sh 30k kwa siku but nikifanya matumizi yangu katika familia Yaweza baki 10 au 15 inategemea na siku.
Nataka kununua kiwanja nina mawazo na kiwanja huu ni mwaka sasa kinanitia mawazo. Nawaza...
Kiwanja Fumagila Kishili Jijini Mwanza
Bei: Laki 6 tu punguzo hakuna
Size: hatua 18 kwa 16 za miguu
Mawasiliano: 0713096076
Kiko karibu na barabara kuu ya Kishili-Nyanama-Fumagila-Bujingwa
Huduma za kijamii zote zipo senta ya nyanama
Mawe, mchanga simenti nondo vyote vipo senta ya karibu...
Info:
kiwanja kipo Igoma, mtaa wa Kilimo A.
0713096076
Umeme upo karibu na Beacon
Size ni hatua 35 kwa 25 za mtu mzima (sijapima Kwa mita tafadhali)
Beacon zimewekwa na kishapimwa zamani sana.
Maji Yapo unavuta mita chache kutoka kwa Jirani.
Barabara ipo kinaingilika vizuri hakijabanwa na...
Kipo ubungo riverside eneo la makoka, kipo karibu na barabara kubwa na kimejengwa mabanda mawili ya wapangaji yenye vyumba viwili viwili,,kinafaa pia kujenga flemu za biashara.
Mwenye uhitaji DM tafadhari kwa maelekezo zaidi
Ramani hii ni kwa nyumba ya pili ndogo.
Nyumba ya pili ndogo ni msaada mkubwa, unaweza kuweka wapangaji wakakupa hela ya mboga, au watoto wakikutembelea na familia zao unaweza kuwaacha wapate sehemu ya kujinafasi.
Hii ramani ni nzuri kwa nyumba ya shamba pia. Usijali kuhusu maji, unaweza...
Mfano wa jengo la Chadema makao makuu linalotarajiwa kujengwa hivi karibuni.
Hoja ilipitishwa na Baraza Kuu.
Jengo hili litakuwa na kumbi za mikutano, ofisi za kurugenzi, ofisi za viongozi wakuu, swimming pool, Heliport (kutua helcopter), lactation room (chumba cha kunyonyeshea) na mengine...
KIWANJA KINAUZWA
UKUBWA
MITA 28 KWA 18
TAMBALALE
LOCATION: KINYEREZI KWA DITOPILE.
MWENYEWE NDIO ANAEUZA.
MAUZIANO NI SERIKALI YA MTAA.
UKIHITAJI WASILIANA 0620593714
Bei Million 9
Nimemuuzia Mpemba mmoja Kiwanja hapa Kihonda Morogoro, hakuna kikwazo chochote alichopata kipindi cha kubadili umiliki wa kiwanja toka kwangu kwenda kwake. Sasa nataka namimi niende Unguja nikanunue kiwanja kwaajili ya makazi na biashara... Naamini sitakutana na kikwazo chochote maana hii ni...
Wakuu habarini za majukumu?
Kama kichwa cha habari kinavosema je, kwa ukubwa wa kiwanja hicho naweza jenga nyumba ya vyumba vinne kimoja masta public toilet pamoja na store kisha nikapata nafasi ya kuchimba kisima kirefu pamoja na parking?
Naomba kuwasilisha kwenu 🙏