Nalia juu ya kizazi changu,nalilia kizazi changu,Nalilia kizazi cha taifa langu,hakuna mzazi afurahiaye kuharibika kwa binti au kijana wake wa kiume.Ulimwengu unapoenda hakuna ajuaye,Watoto wengi na vijana wengi wamekuwa wakiendeshwa na ulimwengu wa sasa.
Nani apendaye kumuona kijana wake wa...