kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Wananchi wa Bumbuli: Hakuna wa kumtoa Januari Makamba labda aache mwenyewe

    Wananchi wa Jimbo la Bumbuli mkoani Tanga, linaloongozwa na Mbunge Januari Makamba, wameeleza shukrani zao kwa Serikali kwa kuwafikishia miradi mbalimbali ya maendeleo kupitia mbunge wao, ikiwemo huduma za umeme, maji, na ujenzi wa zahanati. Wakizungumza kwa nyakati tofauti, wananchi hao...
  2. Waufukweni

    Pre GE2025 Boni Yai aunga mkono jitihada za Lissu na CHADEMA, atinga kwenye Uzinduzi wa Mkakati wa Kidigitali 'Tone Tone'

    Boniface Jacob (Boni Yai) ni mmoja ya waliotokea kwenye tukio la uzinduzi wa mkakati maalumu wa Kidigitali 'Tone Tone' wa kuwezesha CHADEMA kupata fedha za kuendeshea shughuli za Chama. Fuatilia Uzinduzi hapa: CHADEMA wanazindua mkakati maalum wa kidigitali tone tone usiku huu, Februari 27, 2025
  3. P

    Rais Samia kuyaaga mashindano kwenye kinyang'anyiro cha Urais? Kakosea na kumuita waziri Mh. Rais, apata kigugumizi

    Chawa wa mama salamaaa? Bwana Rais Samia akakosea kumuita waziri na kumuita Mh. Rais wakati anahutubia baada ya kuweka jiwe la msingi katika uzinduzi wa mradi wa maji, Mkinga-Tanga. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na...
  4. J

    Pre GE2025 Je, Uchawa unazorotesha Uwajibikaji? Ipi ni namna bora ya kuhakikisha Uwajibikaji unakuwa sehemu ya Utamaduni wa Kisiasa?

    Usikose kujiunga nasi katika Mjadala wa "Je, 'Uchawa' unakwamisha Uwajibikaji?" Alhamisi hii ya Februari 27, 2025, kuanzia Saa 12 jioni hadi 2 usiku, kupitia Xspaces ya JamiiForums 'Washtue' ndugu, jamaa au marafiki ili wawe sehemu ya Mjadala huu muhimu kwa 'kesho' ya Nchi yetu. Washiriki...
  5. Waufukweni

    Pre GE2025 CHADEMA wazindua mkakati maalum wa kidigitali wa tone tone, Februari 27, 2025

    Wakuu Baada ya Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema, kudai kuwa chama hicho kimezuiwa kufanya mkutano wake uliopangwa kufanyika jioni ya leo, Februari 27, 2025, katika hoteli ya Sea Cliff, sasa maandalizi ya Mkutano huo Mkubwa wa chama hicho yanaendelea Makao Makuu, Mikocheni...
  6. upupu255

    Pre GE2025 Halmashauri ya Nachingwea yakabidhi Mifuko 91 ya Saruji kwa Mfiwa wa ajali ya Moto

    Ofisi ya mkurugenzi halmshauri ya wilaya ya Nachingwea februari 26,2025 imekabidhi mifuko ya saruji ipatayo 91 kwa Zuhura Mshana aliyepoteza watoto wawili na wajukuu wawili katika ajali ya moto iliyotokea febuari 15 mwaka huu wilayani Nachingwea mkoa Lindi. Akikabidhi saruji hiyo kaimu...
  7. Waufukweni

    Pre GE2025 CHADEMA yadai kuzuiwa kufanya Mkutano katika kumbi za Hoteli ya Sea Cliff, uliopangwa kufanyika leo, Februari 27, 2025 Dar

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema, amedai kuwa chama hicho kimezuiwa kufanya mkutano wake uliopangwa kufanyika leo, Februari 27, 2025, katika hoteli ya Sea Cliff jijini Dar es Salaam. Kupitia ujumbe wake kwenye mtandao wa X, Lema amesema walipata taarifa kuwa ukumbi waliokuwa...
  8. T

    Pre GE2025 Makonda: Dalili mojawapo ya umasikini ni majungu na fitina

    Vita ya makonda na Gambo inaendelea kupaba moto huko Arusha, Makonda adai dalili mojawapo ya umasikini ni fitina na majungu. Yanini kupanda fitina, fitina, fitina huu ushirikina mtaacha lini jamani? Sababu unajua dalili mojawapo ya umasikini ni majungu, fitina, yani ukikuta sehemu kuna fitina...
  9. Mindyou

    Pre GE2025 Dkt. Willibrod Slaa aachiwa huru, DPP hana nia ya kuendelea na kesi

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam imemuachilia huru Dkt. Wilbord Slaa baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini DPP kueleza kuwa hana nia ya kuendelea na shauri hilo. Shauri Na.993 la mwaka 2025 lilidai Dkt. Slaa ameshtakiwa kwa kuchapisha taarifa za uongo kupitia ukurasa wa X...
  10. T

    Pre GE2025 Arusha: Waziri mkuu awasema viongozi wanaojipanga na kugombania vyeo

    Kunazidi kuchangamka sasa, ni kama ujumbe umetumwa kwa machalii wa Arusha, Gambo na Makonda === Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amewataka viongozi wa kisiasa na wa dini kuwa mstari wa mbele katika kuhubiri amani na mshikamano, akisisitiza kuwa migogoro mingi ya...
  11. T

    Pre GE2025 CHADEMA Mara yaunga mkono, No reform No election

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mara kimetangaza msimamo wake wa kutoshiriki uchaguzi hadi pale masuala kadhaa yahusuyo haki na usawa wa uchaguzi yatakapotatuliwa. Akizungumza katika kikao cha Baraza la Mashauriano la Chadema Mkoa wa Mara kilichofanyika wilayani Butiama...
  12. Cute Wife

    Pre GE2025 Wanasiasa mnanyanyasa watoto kwa kuwamezesha uchawa na propaganda zenu. Watetezi wa haki za watoto mko wapi?

    Wakuu, Vitendo vya kuwaingiza watoto kwenye uchawa vinaongezeka kwa kasi sana, CHADEMA walianza kule Mbeya ila baada ya spana za wananchi naona walijifunza. Mbali na kuwaweka watoto kwenye chipukizi sasa watoto wanaaza kukaririshwa uchachawa na kupenyeza ajenda za wanasiasa, hii siyo sawa...
  13. Waufukweni

    Pre GE2025 Mwana FA na wana Muheza wamzawadia Rais Samia Ng'ombe 10 na vifurushi vya Hiriki, Mdarasini, Pilipili Manga kwa ajili ya kuogea

    Huko Tanga ni mashindano tu yakutoa zawadi kwa Rais Samia == Mbunge wa Muheza, Hamis Mwinjuma maarufu kama Mwana FA, pamoja na wananchi wa Muheza, wamemzawadia Rais Samia Suluhu Hassan Ng’ombe 10 pamoja na vifurushi vya viungo vya asili vya hiriki, mdarasini na pilipili manga. Kupata taarifa...
  14. Waufukweni

    Pre GE2025 RC Tanga: Tulianzisha kauli mbiu ya "Mtoto wa leo, Mama Samia wa Kesho" ili kuongeza ufaulu

    Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi Batilda Burian amesema walianzisha kauli mbiu ya "Mtoto wa leo, Mama Samia wa Kesho" ili kuongeza ufaulu na katika Wilaya ya Handeni
  15. Roving Journalist

    Pre GE2025 Tanga: Rais Samia agawa mitungi ya gesi (LPG) na kuzungumza na wananchi wa Muheza

    Tanga: Rais Samia akigawa mitungi ya gesi (LPG) na kuzungumza na wananchi wa Muheza, Tanga Februari 27, 2025. https://www.youtube.com/live/f7YdbNKOKTs?si=3P4VZ7EdvyNewX9Q Ester Barua ambaye ni mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Magila iliyopo Muheza mkoani Tanga akiwa kwenye kiti cha Rais Samia...
  16. Waufukweni

    Pre GE2025 Heche: Posho siku moja tu Bungeni tulikuwa tunalipwa laki nne, halafu Mwalimu kwa mwezi unamlipa laki 4!

    "Sisi posho siku moja tu bungeni tulikuwa tunalipwa laki nne, halafu Mwalimu kwa mwezi unamlipa laki 4" Soma, Pia: John Heche: Mbunge analipwa Milioni 20 kwa mwezi na posho ya laki 6 kwa siku. Nchi hii inaibiwa sana!
  17. T

    Pre GE2025 Waziri Mkuu Majaliwa asema vyeo havitafutwi kwa fitna Mungu ndiye anayetoa

    Kunazidi kuchangamka sasa, ni kama ujumbe umetumwa kwa machalii wa Arusha, Gambo na Makonda === Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amewataka viongozi wa kisiasa na wa dini kuwa mstari wa mbele katika kuhubiri amani na mshikamano, akisisitiza kuwa migogoro mingi ya...
  18. Waufukweni

    Pre GE2025 John Heche: Tumeamua kuhakikisha kwamba uchaguzi haufanyiki. Tutawashirikisha Viongozi wa dini, mashirika ya kimataifa, balozi na NGO's

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche akizungumza kupitia East Africa Radio leo Feb 27, amesema; "Katika mazingira yaliyopo hatutashiriki na uchaguzi hautafanyika, tumeamua kuhakikisha kwamba uchaguzi haufanyiki" Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa...
  19. Cute Wife

    Lissu na Gen Z humuwezi kutumia mbinu za mwaka 47 na kutegemea kufanikiwa wakati huu wa kidigitali, nyumbulikeni!

    Wakuu, Sasa tunashuhudia mwamko mkubwa hasa upande wa vijana kwenye masuala ya siasa na uchaguzi, japokuwa uchawa umetaradadi kwa kiasi kikubwa, kuna mwanga umeanza kuonekana na kuashiria huenda jua likaangaza baada ya kuwa kwenye kiza kwa muda mrefu. Wakati hayo yote yanatokea hatuwezi...
  20. Waufukweni

    Pre GE2025 John Heche: Mtu mwenye degree 2 aliambiwa hajui kusoma na kuandika, akapitishwa mgombea wa CCM wa elimu ya darasa la 7

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema kwamba mwaka 2019 wagombea wao wengi walikatwa akiwemo mgombea wao mwenye degree 2 aliyeambiwa hajui kusoma na kuandika lakini mgombea wa CCM, mwenye elimu ya darasa la 7 akapitishwa.
Back
Top Bottom