kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Pre GE2025 Rais Samia akagua Maboresho ya Bandari Tanga, Bilioni 429 zatumika ikiwemo ujenzi wa gati mbili mpya

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Akitembelea Bandari ya Tanga na Kuzungumza na Wafanyakazi wa Bandari, leo tarehe 01 Machi, 2025. --- Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Machi 1, 2025, ametembelea Bandari ya Tanga kukagua maboresho...
  2. Waufukweni

    Pre GE2025 Rais Samia anamwaga tu pesa. Ampa TSh. Milioni 2 Dulla Mbabe licha ya kudundwa

    Knockout ya Mama: Rais Samia aguswa na Dulla Mbabe, ampa Tsh Milioni 2 kama zawadi. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametoa zawadi ya Tsh Milioni 2 kwa ajili ya Dulla Mbabe ambaye amepoteza pambano lake dhidi ya bondia kutoka Zambia. Akizungumza katika tukio hilo...
  3. Waufukweni

    Pre GE2025 RC Chalamila: Simameni imara kumwombea Rais wetu, huwa inaniuma sana viongozi wa dini kusemana

    RC Chalamila akiongea katika Kongamano la maombi ya kuliombea Taifa pamoja na kumuombea Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan linalofanyika katika viwanja vya leaders Jijini Dar es salaam usiku huu.
  4. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Sophia Simba: Wanawake waliokaa muda mrefu kwenye Viti Maalum waachie nafasi kwa vijana

    Mwanasiasa na Waziri Mstaafu, Sophia Simba, amesema ni wakati muafaka kwa wanawake waliokaa muda mrefu kupitia Viti Maalum Bungeni kuwaachia nafasi vijana ili kuendeleza harakati za uwezeshaji wa wanawake katika siasa. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo Ijumaa Februari...
  5. Mindyou

    Pre GE2025 Picha: CCM hawa Wachina ni wapiga kura wenu? Kwanini mmewavalisha Tshirt za Rais Samia?

    Wakuu, Baada ya wasanii na mashirika mbalimbali kuunga mkono juhudi sasa CCM wameanza kwenda hadi kwa raia wa kigeni. Kuna muda CCM wanapenda tu watu tuongee mseme watu wanakosoa kila kitu. Hapa ilikuwa ni kwenye ufunguzi wa Kiwanda cha Chokaa na Saruji cha Maweni huko mkoani Tanga...
  6. Waufukweni

    Pre GE2025 CCM Arusha yapinga Madiwani kumpigia Debe Makonda, yatoa Onyo kali

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Mkoa wa Arusha, Saipulani Ramsey, amewataka wanachama na viongozi wa chama hicho kuheshimu viongozi waliopo madarakani hadi muda wao utakapokamilika rasmi kwa mujibu wa kalenda ya chama. Ameyasema hayo hii leo February 28, 2025 alipozungumza na waandishi wa...
  7. Waufukweni

    Pre GE2025 Heche: Wapo wana CCM wanaounga mkono 'no reforms no election'

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema wapo baadhi ya wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wanaounga mkono kauli ya chama hicho ya bila mabadiliko hakuna uchaguzi inayojulikana kama 'no reforms no election'. Akizungumza katika mahojiano na chombo kimojawapo cha habari nchini Heche...
  8. upupu255

    Pre GE2025 Samia: Natamani kuirudisha Tanga ya Viwanda

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa moja ya matamanio yake makubwa ni kuufanya Mkoa wa Tanga kurejea kwenye hadhi yake ya zamani kama mkoa wa viwanda. Akizungumza leo Ijumaa, Februari 28, 2025, katika Uwanja wa CCM Mkwakwani, alipohitimisha ziara yake ya siku sita, Rais Samia amesema kuwa...
  9. Roving Journalist

    Pre GE2025 Rais Samia ahahidi miradi mikubwa ya maji, barabara na bandari mkoani Tanga

    Rais Samia akihutubia wananchi Uwanja wa Mkwakwani-Tanga Februari, 2025 https://www.youtube.com/live/Lqk6B8qSCoI?si=2Z5y6iUkJ_BXBm31 Mbunge wa Tanga Mjini, Ummy Mwalimu, amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kuangalia uwezekano kuvirejesha viwanda vya mkoa huo ili kuchochea ajira na maendeleo ya...
  10. upupu255

    Pre GE2025 Maimuna Pathan akabidhi milioni 2 kusaidia ujenzi wa nyumba ya mtumishi UWT na Mitungi ya Gesi 68 kwa Wakazi wa Liwale

    Maimuna Pathan, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Lindi, mapema jana Februari 27, 2025, amekabidhi kiasi cha shilingi milioni 2 kwa ajili ya Ujenzi wa Nyumba ya Mtumishi wa UWT Wilaya ya Liwale katika jitihada za kuhakikisha Watumishi wanaishi katika makazi bora. Vilevile Mheshimiwa Pathan (Mb)...
  11. T

    Pre GE2025 Heche asema CHADEMA wana mpango wa kujenga chuo cha siasa

    Heche amesema wana mpango wa kujenga miundombinu mbalimbali katika eneo lenye hekari 130 karibia na Kibaha. Miongoni mwa miundombinu hiyo ni kumbi na vyuo. "Tunataka watu wetu tuwa train pale kuhusu politics, policies za chama chetu, mabadiliko N.k" John Heche Kupata taarifa na matukio ya...
  12. T

    Heche: Tunataka kujenga taifa la watu wanaojitolea ili wawe na nguvu ya kuhoji

    Heche amesema lengo la kampeni ya Tone Tone ni kujenga jamii itakayokuwa na uwezo wa kuhoji na kusimamia vitu kwa sababu na wao wanakuwa na mchango katika kujenga chama "Tunataka kujenga jamii ya watu ambayo amabo wanajitolea, wanaifuatilia, wanaisimamia serikali, wanasimamia vyama vya saisa" -...
  13. upupu255

    Pre GE2025 UVCCM Geita, wamewataka Wabunge na Madiwani wasijihalalishie Mitano tena

    Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi UVCCM Mkoa wa Geita imewataka baadhi ya Wabunge pamoja na Madiwani wanaojipitisha katika Maeneo mbalimbali na kuhalalisha mitano tena kupitia nafasi zao kuacha mara moja kwani ni kosa kwa mujibu wa taratibu za Chama. Kupata taarifa na matukio yanayojiri...
  14. Mindyou

    Pre GE2025 Zanzibar: Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja awaomba wananchi wakajiandikishe kwenye daftari la kudumu la mpiga kura

    Wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja amewaomba wananchi wa mkoa huo kujitokeza kwa wingi katika zoezi la uandikishwaji wa Daftari la kudumu la wapiga kura lengo likiwa ni kuhakikisha wanakwenda kuwapigia kura viongozi wanaowahitaji katika jamii na nchi kwa ujumla Mhe. Ayoub ameyasema hayo leo...
  15. Mindyou

    Pre GE2025 Katibu wa UVCM Dar awaonya vijana wa CCM kuhusu kujigawa kimakundi wanapoelekea kwenye Uchaguzi

    Wakuu, Katibu wa UVCCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ndugu Hussein Egobano, amewasihi vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kujiepusha na makundi ya uchaguzi na badala yake waendelee kudumisha mshikamano na umoja ndani ya chama kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Egobano ameyasema hayo tarehe 26...
  16. The Watchman

    Pre GE2025 Mbunge wa Mbeya mjini Tulia Akson agawa Bima za Afya kwa Wananchi 9000

    Ikiwa ni msimu wa sita kwa Taasisi ya Tulia Trust inayoongozwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya mjini Dkt. Tulia Akson kugawa bima na mahitaji muhimu kwa kaya 1500 sawa na wazee 9000 wa Jiji la Mbeya, Dr Tulia amewataka wenyeviti wa mitaa ya Halmashauri ya...
  17. upupu255

    Pre GE2025 Rais Samia ametoa zaidi ya TSh. Milioni 26 kwa Wahanga wa ajali Mbeya

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Samia Suluhu Hassan amekabidhi shilingi milioni 20 kwa familia nne za marehemu wa ajali iliyotokea Februari 25, 2025 jijini Mbeya na kukabidhi milioni 6 kwa majeruhi sita wanaoendelea kupewa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya. Salamu...
  18. upupu255

    Pre GE2025 Aliyekuwa Katibu wa mtandao wa wanafunzi wa CHADEMA (chaso) Elia Mlewa atimkia CCM, apokelewa na Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu Dar

    Katibu wa Siasa na Uenezi wa CCM Mkoa wa Dar Es salaam ndugu Ally Bananga akimpokea kada wa Chadema aliyehamia CCM Ndugu Elia Benadin Mlewa alikuwa akihudumu nafasi ya katibu mtendaji wa Mtandao wa Wanafunzi Wa Vyuo Vikuu wa Chadema (CHASO) Mkoa wa Dar Es salaam pamoja na nafasi ya Katibu wa...
  19. The Watchman

    Pre GE2025 RC Kihongosi: Tunasimamia haki na kutatua kero za wananchi

    Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Kenani Kihongosi amewaeleza wananchi kufanya kazi na kushirikiana na serikali na kuongeza kuwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alipomteua alimuagiza asimamie haki za wananchi pamoja na kusimamia fedha za miradi ya maendeleo katika mkoa huo Kenani Kihongosi amesema hayo...
  20. kipara kipya

    Pre GE2025 Ni wakati sahihi Dkt. Slaa kutuambia nani alimpiga risasi Lissu

    Kipindi Mzee Slaa alipoulizwa ni nani alimpiga risasi Lissu, akasema ni Chadema wenyewe na Lissu anajua. Imepita takriban miaka nane Slaa anatuambia yupo tayari kurejea CHADEMA. Je, ni nani alimpiga risasi Lissu? Ni wakati mzuri wa Dkt. Slaa kutupa yale majibu yake. Pia soma Dkt. Slaa...
Back
Top Bottom