kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    Mtandao umekuwa wa kimagumashi mpaka utumie VPN kuna nini?

    Wakuu, Aisee sasa hivi mtandao unakuwa slow sana au hamna kinachofanyika kabisaaa mpaka uwashe VPN, kunani? Wameanza kutest mitambo kutokana na vuguvugu la uchaguzi ama? Nilizima VPN, kuingia hivyo hivyo hamna kitu kinafanyika mpaka nimewasha tena. Hii ni kwa mtandao wa Yass.. kuna...
  2. Waufukweni

    Pre GE2025 Makonda: Kuanzia kesho (Machi 3) kila Mwanaume hapa Arusha am-post mpenzi wake

    Wakuu Huko Arusha, Mkuu wa Mkoa huo, Paul Makonda amesema kuanzia Jumatatu Machi 3, mpaka Machi 7 kila Mwanaume wa Arusha am-post mpenzi au mke wake kwenye mitandao ya kijamiii kuonesha upendo. Na ukiona haujapostiwa basi uende ukafanyiwe maombi tarehe 8 siku ya Wanawake. Wazee wa Challenge...
  3. Ileje

    Pre GE2025 Lissu amwambia Balile "Maswali yako ni Nonsense"

    Maswali ya hovyo ya Balile katika mkutano wa Chadema na wahariri wa vyombo vya habari yapelekea kuambiwa anauliza nonsense jambo ambalo limemkera sana na kuanza kutafuta kanuni za mkutano. Balile ambaye ndiye alikuwa anaongoza mkutano huo alitumia muda mwingi kuvuruga mkutano badala ya...
  4. milele amina

    Pre GE2025 No Reforms, No Election, kabla, wakati na baada ya uchaguzi Mkuu 2025

    Katika siasa za Tanzania, mada ya uchaguzi na mabadiliko ya kisera inaendelea kuwa na umuhimu mkubwa. Chadema, chama kikuu cha upinzani, kimekuja na kauli mbiu inayosema "No reforms, No election." Hii ni hatua ambayo imejidhihirisha kuwa ni mradi mzuri lakini una changamoto nyingi ambazo...
  5. B

    Pre GE2025 Machawa kuna ujumbe wenu huku

    Hawa watu wamekua kero sana.
  6. T

    Pre GE2025 Lindi: Zaidi ya watu 120,000 wanufaika Samia Legal Aid

    Kamati ya msaada wa Kisheria imewasilisha taarifa ya utekelezaji wa shughuli hiyo iliyodumu kwa muda wa siku 10 ndani ya mkoa wa Lindi tangu ilipozinduliwa Februari 19, 2025 wilyani Ruangwa na Mhe. Kassim Majaliwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kupata taarifa na matukio...
  7. Waufukweni

    Pre GE2025 Singida kusherehekea siku ya wanawake duniani kwa kugawa mitungi ya gesi

    Jumapili MKOA wa Singida unatarajia kuyatumia maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yanayofanyika kila mwaka Machi 8, kwa kugawa mitungi ya gesi 29,000 yenye bei ya ruzuku kwa wanawake ikiwa ni hatua kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia mkoani hapa. Mkuu wa Mkoa wa Singida, Halima...
  8. T

    Pre GE2025 Tanga: REA waendelea kusambaza mitungi za gesi ya kilo sita kwa bei ya ruzuku

    Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeingia mkataba na mtoa huduma kampuni ya Manjis Logistics Limited ambaye atahudumia wilaya zilizopo ndani ya Mkoa wa Tanga kwa kuuza kwa bei ya ruzuku mitungi ya gesi ya kilo sita pamoja na vifaa vyake katika maeneo ya vijijini na pembezoni mwa miji. Hayo...
  9. Waufukweni

    Pre GE2025 CCM kuwashughulikia wanaojipitisha majimboni kutaka ubunge. Rais Samia na Dkt. Mwinyi pekee nafasi zao zimejazwa

    Chama cha Mapinduzi (CCM), kimetoa onyo kwa watu wote wanaojipitisha katika majimbo kutaka ubunge kabla ya muda sahihi, hivyo kitawashughulikia. Akizungumza katika uzinduzi wa ofisi ya CCM Wilaya ya Newala mkoani Mtwara Machi 1, 2025, Katibu wa Organizesheni wa chama hicho, Issa Ussi Gavu...
  10. Bezecky

    Pre GE2025 Chadema yapigilia msumari masharti ya kushiriki kwao, wakisisitiza 'No reform, no election'

    https://www.youtube.com/live/OFc_2MInLSo?si=01-pw3HvWrVbJbkX Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, ametoa maoni yake kuhusu hali ya ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), akisisitiza kuwa chama hicho kilikumbwa na majeraha makubwa wakati wa kampeni za...
  11. Waufukweni

    Pre GE2025 Mshindi wa Pilau la 'Mama Samia' Kigamboni apewa zawadi ya Mtungi wa Gesi na Kiwanja

    Wakuu Katibu Tawala Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mahida Waziri Amekabidhi zawadi ya Mitungi ya Gas kwa kutoka kampuni ya Taifa Gas na Kiwanja kwa washindi wa shindano la Kupika Pilau la Mama Samia Ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono Kampeni ya Mama Samia ya Kumtua mama mzigo wa kuni...
  12. OKW BOBAN SUNZU

    Pre GE2025 Rais Samia hazijui 4R zake mwenyewe, Reform anayosema Mh.Lissu ni kati ya zile 4R!!

    Hii nchi na viongozi wake wanasikitisha sana. Moja kati ya 4R alizokuja nazo Rais Samia ni Mabadiliko (Reforms). Samia alisisitiza mabadiliko katika sekta mbalimbali ili kuboresha maisha ya wananchi. Katika maendeleo na maisha ya wananchi huwezi kuweka pembeni Siasa. Siasa ndio inaamua hatma ya...
  13. Chance ndoto

    Pre GE2025 Je! Kuchangia chama ni lazima?

    Mimi ni mwanachama wa CCM na najivunia uanachama wangu, lakini sijawahi kuchangia chama kwa njia yoyote. Najiuliza, je, mchango wa mwanachama unatakiwa kuwa wa kifedha tu, au kuna njia nyingine za kusaidia chama? Naamini kuwa uanachama sio tu kuhusu pesa, bali pia kushiriki mijadala, kutoa...
  14. upupu255

    Pre GE2025 Mbunge Katambi ashiriki na Wananchi ujenzi wa Zahanati Ibanzamata, achangia milioni 10

    Mbunge wa Jimbo la Shinyanga Mjini Patrobas Katambi, ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu,Kazi,Ajira,Vijana na watu wenye ulemavu,ameshiriki na wananchi ujenzi wa msingi wa Zahanati ya Ibanzamata,pamoja na kuchangia Sh.milioni 10. Ameshiriki ujenzi wa msingi huo leo akiwa...
  15. upupu255

    Pre GE2025 Shule mpya 71 zajengwa Geita miaka minne ya Rais Samia

    Serikali imejenga shule mpya 171 na vyumba vya madarasa 3,300 kwa Mkoa wa Geita kwa kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan lengo likiwa kuwaondolea wanafunzi adha ya kutembea umbali mrefu kutafuta elimu. Mkuu wa Mkoa wa Geita Martine Shigella, ameyasema hayo wakati...
  16. upupu255

    Pre GE2025 Vijana Kilosa waitwa kujiandikisha kwenye daftari la wapiga Kura

    Zaidi ya watu 140,000 wanatarajiwa Kuandikishwa katika Daftari la kudumu la Mpiga kura Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar...
  17. sonofobia

    Pre GE2025 Wenje: Tunahitaji kuwa kama Zelensky, tutapinga udikteta uchwara ndani ya CHADEMA

    Je, ndani ya Chadema kuna dikteta uchwara? Kama yupo ashughulikiwe mara moja kwa maslahi ya taifa.
  18. Cute Wife

    Pre GE2025 Zanzibar: Polisi wakanusha taarifa ya Mjumbe wa Kamati Kuu ACT kudaiwa kutekwa na vyombo vya ulinzi, wasema alikamatwa na kuachiwa kwa dhamana

    Wakuu, Mapema leo Naibu Katibu Mkuu wa ACTWazalendo -Zanzibar Omar Ali Shehe alidai kuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho Hadija Anuwar alitekwa na watu wasiyojulikana wakati wa uandikishaji katika Daftari la kudumu la Tume ya Uchaguzi Zanzibar -ZEC. Kupata taarifa na matukio yanayojiri...
  19. figganigga

    Pre GE2025 Ummy Mwalimu (Odo) wa sasa si wa miaka ya Kikwete. Maisha ni mafupi sana

    Nimeamini msemo wa Vunja mifupa ungali meno iko. Huyu ni aliyekuwa Waziri wa Afya Ummy Mwalimu. Adabu kama zote. Hadi Jokate anamshangaa Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania...
  20. Roving Journalist

    Pre GE2025 Rais Samia aweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa LPG Terminal GBP GAS-Tanga Machi 1, 2025

    Rais Samia akiweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa LPG Terminal GBP GAS-Tanga, leo tarehe 01 Machi, 2025. https://www.youtube.com/live/yU7aLIfGklo?si=e92RxILwhAd_xAwv Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi...
Back
Top Bottom