Wakuu
Mbunge wa Viti Maalum, Sylvia Sigula, amezindua kituo cha mafunzo ya ushonaji, urembo, mapambo, na ujasiriamali kwa vijana wa Mkoa wa Rukwa, ikiwa ni hatua ya kuwawezesha kujiajiri na kupunguza changamoto ya ajira.
Kituo hicho kipo chini ya Taasisi ya Sigula Wezesha Foundation, ambayo...
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Zainab Telack amewataka Halmashauri ya Mtama kuhakikisha wanawasimamaia fedha za miradi ya ujenzi wa shule na miundombinu ya elimu.
Telack ametoa wito huo mapema alipotembelea kukagua ujenzi wa shule na miundombinu hiyo ya elimu yenye thamani ya Bilioni 7.8
Soma pia: Pre...
Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 03 Machi 2025, Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam ametoa taarifa ya kiasi kilichokusanywa tangu kuzinduliwa kwa mkakati maalum wa TONE TONE uliolenga kushirikisha umma kukichangia Chama, ambapo mpaka...
Wakuu,
CHAMA cha National League for Democrats (NLD) ,leo jumapili kimetangaza kuanza kwa mchakato wa ndani ya chama wa kuwapata wagombea wa nafasi za Udiwani, Ubunge na Rais kuelekea Uchaguzi Mkuu, utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
Aidha chama hicho kimetangaza neema kwa wagombea...
Mhe. Dkt. Florence George Samizi, Mbunge wa Jimbo la Muhambwe amekua Mgeni Rasmi kwenye uzinduzi wa kuelekea maadhimisho ya kumi na moja {11 ya siku ya Wanyamapori Duniani ambayo kitaifa yanafanyika leo Tarehe 3 Machi 2025, Kitaifa Jijini Dodoma.
Uzinduzi huo umefanyika shule ya sekondari...
Kuna namna nchi yetu ipo jalalani tena pakubwa mno.
Jana nilipoona mjadala kati ya Chadema na wahariri wa vyombo vya habari nikajikuta nakumbuka haya:
1. Hivi mara ya mwisho kuwa na mjadala wa aina hii ilikuwa lini? Ipo wapi mijadala ya Enzi za Ukumbi wa Nkurumah, enzi za kina Shivji kina Slaa...
Wakuu,
Nimekutana na hii video clip ya Mjumbe Wa Baraza Kuu La Umoja Vijana Wa CCM Taifa Victor Makundi akizungumzia ajenda ya No Reform No Election ya Tundu Lissu.
Kijana mdogo kama huyu anapata wapi nguvu ya kuiita CHADEMA chama cha Kicoba? Confidence hii anatoa wapi...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kibiti mkoani Pwani Juma Kassim Ndaruke ametoa rai kwa wa Umoja wa wanawake wa Chama cha Mapinduzi Kibiti kusimama kidete na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan katika kutafuta kura za Urais kwenye kila eneo la Wilaya Kibiti.
Ndaruke ametoa rai hiyo...
Wanabodi,
Tukisema kwamba huyu anakula posho za bure na mishahara ambayo hajaifanyia kazi tutakuwa tumemuonea?
Kuna huyu Mbunge wa Viti Maalum anaitwa Wanu Afidh AMeir who also appears to be the daughter wa Rais Samia.
Tangu ameingia bungeni mwaka 2020 hajatoa mchango hata mmoja. An mchango...
Hamjamboni wote!
Unapokuwa Mwanasiasa watu ni sehemu ya mtaji katika Kazi yako hiyo. Watu kukukubali ni jambo kubwa na la muhimu kwenye siasa na utawala.
Pesa zinaweza zisiwe na umuhimu Sana mbele ya Kukukubalika kwa Watu.
Sasa kwenye Kukubalika hapa ndipo andiko langu lilipo.
Hapa kuna...
Wima FC kutoka Mburahati Barafu imeibuka bingwa wa Kitila Jimbo Cup baada ya kuifunga Baruti FC kutoka Kimara kwa magoli 3-1 kwenye mchezo wa Fainali uliochezwa uwanja wa Kinesi, Shekilango, Ubungo.
Kitila Jimbo Cup ni mashindano yaliyoandaliwa na Mbunge wa Jimbo la Ubongo ambaye pia ni Waziri...
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba, amesema kuwa maridhiano ndani ya vyama vya upinzani yamekuwa yakileta madhara na kuwajeruhi, na kwamba wamejifunza kutokana na yaliyotokea kipindi cha nyuma.
Akizungumza na Wanahabari Lipumba amesema kuwa kuna watu wanaotafuta...
Waziri wa maendeleo ya jamii, jinsia,wanawake na makundi maalum Doroth Gwajima amesema kuwa serikali inampango wa kuifanya siku ya wanaume duniani 19 november kuwa rasmi kwa maadhimisho ya siku hiyo.
Dkt Gwajima ameyasema hayo mkoani Geita katika kongamano la kuelekea kilele cha maadhimisho ya...
Hivi kuweka free and fair election ni kitu kimewashinda KABISA?
KWAMBA hii nchi Ina milikiwa na CCM?
Huwa napata mashaka sana ndani ya icho chama kama Kuna wasomi walio eleweka na walio na ubinadamu
Mkifanya uchaguzi fair sio tu mtashindwa msiogope kushindwa mtaleta maendeleo Wananchi...
Wakuu
Machawa wa Samia hawapoi
Msanii wa Bongo Fleva, Alikiba, ametangaza kuanzisha mashindano maalum yanayojulikana kama Samia Celebrities and Companies Cup, yenye lengo la kuunga mkono juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan katika maendeleo ya michezo na burudani nchini.
Kupata taarifa na...
Salaam Wakuu,
Toka kampeni ya Tone Tone izinduliwe kumekwa na changamoto ya mtandao ambao haieleweki eleweki.
Wakati wameshazindua na wakawa wanaitana mbele kila mmoja kuhamasisha watu wake, commentszilikuwa zinapita chini baadhi wakisema miamala inakataliwa, mara inakaa pending muda mrefu...
Baada ya mkuu wa mkoa wa Arusha, Paul Makonda kuele mbunge Mrisho Gmbo ahojiwena TAKUKURU kuhusu upotevu wa Ths. Milioni 400 zilizochangwa na wadau kwa ajili ya kusaidia bodaboda.
Hatimaye viongozi wa boda boda na wao wamaeeleza kuwa wana mashaka na Gambo kwenye upotevu wa pesa hizo na kwamba...
Taasisi ya Joel Nanauka Foundation, chini ya Muasisi wake Dkt. Joel Arthur Nanauka, imeendesha zoezi la ugawaji wa kadi za Bima ya Afya kwa Wazee 204 katika Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara-Mikindani.
Zoezi hilo limefanyika katika Kata ya Chuno, Mtaa wa Ligula B, likihudhuriwa na Wazee kutoka...
Wizara ya Katiba na sheria imetuma Mawakili wa serikali takribani 50 ambao kwa siku nane mfululizo watakuwa Mkoani Arusha, kusikiliza na kutoa msaada wa kisheria kwa wananchi wa Mkoa huo kupitia kampeni ya Kitaifa ya msaada wa kisheria ya Mama Samia inayokwenda sambamba na maadhimisho ya siku ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.