Mwanasiasa mkongwe na aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Wilbrod Slaa, ametoa ufafanuzi kuhusu kauli ya No Reform, No Election, akisema kuwa si msimamo wa CHADEMA kususia uchaguzi bali kuzuia uchaguzi, na ni wananchi wenyewe ndio watakaoongoza zoezi...
Paul Makonda ni kama anaendelea kujitengenezea jina huko Arusha kwa ajili ya ubunge.
===
Mkuu wa Mkoa, Paul Makonda, akimshika mkono kijana mjasiriamali anayeuza nyanya mitaani, ishara ya kutambua na kuthamini juhudi za vijana katika kujitafutia riziki. Serikali inaendelea kushirikiana na...
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayehusika na Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, ameyasema hayo leo katika Mkutano wa viongozi wa chama na jumuiya ngazi ya shina, Tawi, Kata na Wilaya, Ambapo amewataka watanzania kupuuza madai ya Chama cha Demokrasia na...
https://www.youtube.com/watch?v=jkX7xU7oW0A
Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini mkoani Kagera, Stephen Byabato, amesema ujenzi wa soko kuu la kisasa la Manispaa ya Bukoba ni miongoni mwa miradi minne iliyopo katika miradi mikubwa ya TACTIC, ambayo itagharimu zaidi ya shilingi bilioni 47, ambapo...
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amesema uchaguzi mkuu mwaka huu utafanyika kwa mujibu wa katiba na sheria kwani mabadiliko yameshafanyika, hivyo hakuna atakayezuia uchaguzi.
Makalla ameeleza hayo leo Machi 4, 2025 wakati...
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayehusika na Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, amewataka Watanzania kupuuza madai ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwamba uchaguzi hautafanyika bila mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi.
Akizungumza siku ya...
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayehusika na Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, amewataka Watanzania kupuuza madai ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwamba uchaguzi hautafanyika bila mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi.
Akizungumza siku ya...
Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, ameeleza kuwa baadhi ya viongozi serikalini wamekuwa wakitumia mizengwe dhidi ya watu wanaoibua ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Soko la Idarafuma kata ya Nyakafuru Wilaya ya Mbogwe Mkoani...
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amewataka wananchi wa Kijiji cha Kasumo wilayani Buhigwe mkoani Kigoma kuutambua na kuuthamini mchango wa Serikali katika maendeleo ya huduma za kijamii wilayani humo.
Makamu wa Rais amesema hayo alipotembelea ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Kahimba...
Mama umepigaje hapo? Zile timu 2 zitauawa kwadizaini hiyo. Yule wa Cuba pia anarudishwa chamani kuchukua nafasi ya ndugu marangi(kwa kiingereza marangi ni ma.....)
Pole sana kaka Gambo kumbe umeshtukia dakika za mwisho.
Makonda anajua kuendesha hisia za watu kwa namna atakavyo yeye, si unaona...
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), Deogratius Mahinyila, amesema kuwa Serikali inapaswa kutambua kwamba vijana wanaoikosoa hawataisha milele. "Watu wanaokupinga huwezi kuwamaliza"
Soma, Pia
Mwenyekiti BAVICHA, Deogratius Mahinyila anatoa tamko muda...
Wakuu,
Akiongea na wanawake wa mkoa wa Ruvuma katika kongamano la wanawake wa mkoa huo Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Ruvuma, Mhe Jacqueline ngonyani Msongozi amesema mwanamke kuwa na kipato sio kigezo cha kumvunjia heshima mume wako ni wajibu wa mwanamke kumuheshimu mwanaume hata kama...
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) Deogratius Mahinyila anazungumza na Vyombo vya Habari muda huu akizungumzia sakata la utekaji nchini huku akianza kueleza namna ambavyo Amani Manengelo, Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Mwanza, alivyotekwa na kupotea tangu...
"Msikate TAMAA kabisa , endeleeni kutuma pesa hata kama mnakutana na changamoto kama hizi. Mwisho wa uhuni umekaribia sana." - Godbless Lema
Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Tanzania ikiwa inaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, Mwanaharakati huru Cyprian Musiba amesema kuwa tafiti zinaonesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye pia ni mgombea wa urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), anaungwa mkono kwa asilimia 91 katika...
Wakuu
Costa Boy amesema hana mpango wa kuifuta tattoo aliyochora kwa upendo wake kwa Waziri Mkuu Majaliwa
==
Kuelekea Uchaguzi 2025: Vijana tunafanya nini kuongeza ushiriki wenye tija na kuwapata viongozi bora wasioendekeza uchawa?
Kijana mmoja maarufu kama Costa Boy, kutoka Kigoma ameibua...
Wakuu aliyekuwa mgombea wa nafasi ya mwenyekiti CHADEMA Taifa, Odero Odero alipofanya mahojiano na Edwin Odemba amegusia suala la wale wa kila jambo tunamshukuru mama, tunamshukuru Rais, yani hotuba anaijaza shukrani lukuki kuliko hoja za msingi.
====
“Leo hii Mbunge akisimama kuzungumuza...
Wakuu
Unaambiwa joto la ubunge Kinondoni linazidi kupanda! Wengi wanapanga kurusha karata zao, lakini kwenye mchuano wa wakali, majina yanayotajwa kwa nguvu ni pamoja na mbunge wa zamani Idd Mohamed Azzan anayetaka kurudi bungeni tena, kigogo wa siasa na biashara Tarimba Gulam Abbas, na sasa...
Kuna wakati, mambo mabaya hutokea yakiwa yamebeba dhamira njema. Watu wa imani wanalifahamu hili. Yawezekana ukawa unataka kusafiri kwa basi, usiku ukaugua ghafla, ukasikitika sana kwa sababu hutaweza kusafiri. Lakini basi hilo hilo ulilotaka kusafiri nalo likapata ajali. Wewe ukawa umesalimika...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Jumatatu, Machi 3, 2025 amefuturisha watoto yatima na watoto wenye mahitaji Maalum, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Pia, Rais Samia amepata fursa ya kuzungumza na watoto hao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.