kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    Pre GE2025 Salma Kikwete: Sitosahau nilipogombea Ubunge na kura zangu zikahesabiwa hadharani

    Wakuu, Mbunge wa Jimbo la Mchinga na mke wa Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Mama Salma Kikwete, amesema kuwa moja ya kumbukumbu asizoweza kusahau maishani mwake ni wakati wa kuhesabiwa kura hadharani alipogombea ubunge. Akizungumza leo Machi 5, 2025, katika kongamano la Maadhimisho ya Siku ya...
  2. upupu255

    Pre GE2025 Eric Shigongo atoa mitaji kwa akina Mama wa Jimbo la Buchosa

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ameendelea na zoezi la kutoa mitaji kwa akina mama wa Jimbo la Buchosa, ambapo leo alitoa shilingi milioni 2 kwa akina mama wa Kata ya Kalebezo. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na...
  3. upupu255

    Pre GE2025 ACT Wazalendo wafungua mashitaka dhidi ya Mkuu wa Wilaya kwa kukamata na kupiga Watu wakati wa Uandikishaji Wapiga Kura Zanzibar

    Chama cha ACT wazalendo kimeamua kuwashitaki viongozi wanaotumia vibaya madaraka yao kwa kukamata watu kinyume na sheria na kuwapiga pamoja na kuingia zoezi la uandikishaji wapga kura linaloendelea Zanzibar. Chini ya mpango huo wameanza kwa kufungua mashitaki dhidi ya mkuu wa wilaya ya...
  4. upupu255

    Pre GE2025 RC Lindi, Zainab Telack akagua Ujenzi wa Shule ya Bil 7.8

    Mkuu wa Mkoa wa Lindi Bi. Zainab Telack, ameiagiza Halmashauri ya Mtama mkoani Lindi, kuwa makini na usimamizi wa fedha za miradi ya ujenzi wa shule na miundombinu ya elimu. RC Zainab ametoa agizo hilo alipofanya ziara ya kutembelea na kukagua Ujenzi wa Shule na Miundombinu ya elimu, yenye...
  5. upupu255

    Pre GE2025 Juliana Shonza: Rais Samia ametufanyia Kazi nzuri, tumepata Hospitali ya Kisasa kwa Wanawake Songwe

    Mbunge wa Chang'ombe, Juliana Shonza, amesema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amefanya kazi nzuri kwa wananchi wa Wilaya ya Songwe kwa kujenga hospitali ya kisasa. Shonza alieleza kuwa hospitali hiyo ina wodi ya wanawake, vitanda vya kujifungulia, na vitanda vya wodini vya kisasa. "Wilaya ya...
  6. Waufukweni

    Pre GE2025 Tume ya Uchaguzi: Wapigakura milioni 34.7 wanatarajiwa kushiriki Uchaguzi mkuu Oktoba

    Akizungumza leo Machi 5, jijini Dar es Salaam katika Mkutano wa Tume na wadau wa Uchaguzi, Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Bw. Kailima Ramadhani Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imesema kuwa jumla ya wapigakura 34,746,638 wanatarajiwa kushiriki katika Uchaguzi Mkuu...
  7. upupu255

    Pre GE2025 Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura Dar es Salaam Kufanyika Machi 17-23, 2025. Wapiga Kura wapya 643,420 kuandishwa

    Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mkoani Dar es Salaam utafanyika kwa siku saba kuanzia tarehe 17 hadi 23 Machi, 2025 ambapo wapiga kura wapya 643,420 wanatarajiwa kuandikishwa. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs...
  8. upupu255

    Pre GE2025 Mbunge Sylvia Sigula azindua Kituo cha Mafunzo ya Ushonaji, Urembo, Mapambo na Ujasiriamali kwa Vijana wa Mkoa wa Rukwa

    Mbunge wa Viti Maalum Sylvia Sigula amezindua kituo cha mafunzo ya ushonaji, urembo, mapambo na ujasiliamali kwa Vijana wa Mkoa wa Rukwa lengo likiwa ni kutoa mafunzo na vitendea kazi kwa Vijana ili waweze kujiajiri ili kupunguza changamoto ya Ajira, kituo hicho kipo chini ya Taasisi ya Sigula...
  9. Waufukweni

    Pre GE2025 Tume ya Uchaguzi: Waliohukumiwa kifungo cha zaidi ya miezi sita jela, kuondolewa kwenye daftari la Wapiga Kura

    Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Kailima Ramadhani amesema kuwa mtu yeyote anayehukumiwa kifungo cha zaidi ya miezi sita jela, anapoteza sifa za kuwa kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Hatua hii inalenga kuhakikisha kuwa wapiga kura wanaostahili kushiriki...
  10. T

    Pre GE2025 Profesa Lipumba anadai hakutaka kuendelea na Uenyekiti baada ya miaka 25 ila wanachama walimlazimisha

    Mwenyekiti wa chama cha CUF, Prof Lipumba bhana alipokuwa akifanya mahojiano na Wasafi Tv ameeleza kuwa hakutaka kabisa kuendelea na suala la uenyekiti wa CUF Taifa baada ya kuongoza kwa miaka 25 lakini wananchama wakamlazimisha na kisha wakamchukulia fomu na wakairudisha kwa niaba yake. Soma...
  11. T

    Pre GE2025 Dkt. Slaa: Makosa yanayofanywa na serikali yanatupa nafasi ya kujulikana dunia nzima

    Aliyewahi kuwa katibu mkuu wa CHADEMA, Dkt Wilbroad Slaa ameeleza kuwa makosa yanayofanywa na serikali yanawapa wao (wapinzani) nafasi ya kutambulika dunia nzima, mathalani yeye kufungwa kwake kumpa nafasi ya kwenda kuzungumza na watu mbalimbali ulimwenguni na kujulikana hata na wasiokuwa...
  12. Stephano Mgendanyi

    Pre GE2025 Jacqueline Kainja Atumia Milioni 14.7 Kukarabati Ofisi ya CCM Wilaya ya Urambo Tabora

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Jacqueline Kainja Andrew tarehe 3 Machi, 2025 amekabidhi Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Urambo Mkoani Tabora baada ya kuikarabati kwa Shilingi 14,700,00 (Milioni 14.7) Mbunge Kainja amesema kuwa, ametimiza ahadi yake aliyoitoa mwaka 2023...
  13. T

    Pre GE2025 Umoja wa vijana wasio na ajira Tanzania (UYAM) umesema kuwa ukosefu wa ajira ndiyo chanzo cha vijana kujihusisha na ku- bet

    Umoja wa Vijana Wasio na Ajira Tanzania (UYAM) hii leo umesema ukosefu wa ajira kwa vijana umepelekea baadhi yao kujiingiza katika ubashiri huku wengine wakiuza miili yao kama njia ya kujipatia kipato. Lawrent Kayaya, Mwakilishi wa UYAM akizungumzia hilo
  14. T

    Pre GE2025 Ndolezi Petro: Viongozi wasiochaguliwa na Umma hawawajibiki ipasavyo

    Mwanachama wa ACT Wazalendo ambaye pia ni Waziri Kivuli Ofisi ya Waziri Mkuu- Bunge, Sera, Vijana, Kazi na Ajira, Ndolezi Petro amesema wanamuunga mtu yeyote anayekuja na hoja ya mabadiliko kwa sababu viongozi wasiochaguliwa na umma huwa hawawajibiki ipasavyo. Ndolezi ameyasema hayo katika...
  15. M

    Uchawa Promax? Mmarekani "afurahishwa" na ubunifu wa RC Makonda jijini Arusha

    Wakuu, Imefikia hatua sasa CCM wameanza kutumia wazungu kama machawa wao ili waonekane wananfanya kazi ========================================= Ryan Shirley kutoka Jimbo la Utah, Magharibi mwa Marekani ameeleza kufurahishwa na mabadiliko makubwa kwenye mandhari ya Jiji la Arusha...
  16. T

    Pre GE2025 Mwananchi mmoja huko Hai amesema akifa kabla ya uchaguzi mkuu 2025, kaburi lake lipige kura kisha apewe mbunge wa Hai wa sasa

    Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Levina Rajabu mkazi wa kata ya Bondeni katika mji mdogo wa Bomang’ombe wilaya ya Hai mkoa wa Kilimanjaro amesema endapo atafariki dunia kabla ya uchaguzi Mkuu wa hapo mwezi Oktoba basi kaburi lake lipige kura na hiyo kura apewe Saashisha Mafuwe mbunge wa...
  17. Waufukweni

    Pre GE2025 Mawaziri Aweso, Bashungwa wakicheza muziki stejini wakiwa na vikapu Kichwani

    Wakuu Mawaziri wakisakata rhumba :BRUHMM: Waziri wa Maji, Jumaa Aweso na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa wakicheza muziki Jukwaani huku wakiwa na vikapu kichwa wakati wa ziara ya Rais Samia Mkoani Tanga. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila...
  18. Waufukweni

    Pre GE2025 UVCCM Geita: Hakuna atakayezuia Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025

    Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi UVCCM Mkoa wa Geita imesema katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025 hakuna mtu ambaye atazuia wala kuleta vurugu katika uchaguzi huo huku Jumuiya hiyo ikiwaonya baadhi ya Viongozi wa vyama vya upinzani wanaotishia kuvuruga uchaguzi huo kuacha mara moja...
  19. T

    Pre GE2025 Lissu: UDSM na vyuo vikuu vingine vya Tanzania vimekuwa magereza ambako mijadala ya kisiasa imefungiwa

    "Mjadala juu ya urithi wa Baba wa Taifa kwenye katiba na siasa za Afrika Mashariki kwenye chuo kikuu chake cha kwanza. Wakati UDSM na vyuo vikuu vingine vya Tanzania vimekuwa magereza ambako mijadala ya kisiasa imefungiwa, Makerere, Chuo Kikuu cha , kimenialika kutoa mhadhara wa umma juu ya...
  20. Waufukweni

    Pre GE2025 Makalla: Wakurugenzi hawatasimamia Uchaguzi, ahoji hofu ya CHADEMA kuhusu Uchaguzi licha ya marekebisho ya mfumo

    Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, Amos Makalla ameshangaa hofu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ya kutotaka kushiriki uchaguzi mkuu kwa madai ya kufanyika mabadilko wakati Serikali imeshafanya marekebisho...
Back
Top Bottom