Miaka 4 ya uongozi wa Rais Samia madarakani, Kiwango cha uwekezaji Kupitia Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) umeongezeka.
Kwa mwaka 2021 kulisajiliwa Miradi 256 ya uwekezaji yenye mtaji wa Dola bilioni 3.79.
Kwa mwaka 2022 kulisajiliwa Miradi 293 ya uwekezaji yenye thamani ya Mtaji wa Dola...
Wanabodi,
Leo ni Siku ya Wanawake Duniani, hivyo hizi ni salaam zangu za Siku ya Wanawake Duniani kwa wanawake wote wa Tanzania. Kwa Tanzania, Maadhimisho rasmi ya kitaifa yanafanyikia Uwanja wa Sheikh Amri Abedi, jijini Arusha, mgeni Rasmi akiwa ni Rais Samia.
Hili ni bandiko la swali, kwa...
Kikao cha Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Meatu, Mkoani Simiyu kilichofanyika Machi 5, 2025, kiliibua hali ya sintofahamu baada ya kutokea mzozo mkali kati ya Katibu wa CCM wilayani humo, Ndg. Naborth Manyonyi, na Katibu wa Itikadi, Siasa, na Uenezi wa wilaya hiyo, Ndg...
Katika hatua ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, wachoma nyama mkoani Arusha wameahidiwa kupewa majiko yanayotumia nishati safi kwa ajili ya kazi yao.
Hayo yamesemwa leo Ijumaa Machi 7, 2025 na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda wakati akikagua maandalizi ya nyama choma kuelekea...
Kuelekea uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro, kimetoa rai kwa wanawake kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi mbalimbali za uongozi.
Hayo yamebainishwa na Katibu wa CCM Wilaya ya Mvomero Florance Machicho wakati wa...
KIGOMA: MAMA lishe na walengwa wa kusaidia kaya masikini Manispaa ya Kigoma Ujiji wanatarajia kunufaika na ugawaji wa majiko banifu yaliyogaiwa na Mamlaka ya Nishati Vijijini (REA) kuhamasisha matumizi ya nishati safi na utunzaji mazingira
Makundi hayo yatanufaika na ruzuku ya 80% ya majiko...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema wapenzi (couple) itakayopendeza kesho katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake itapewa zawadi maalumu.
Makonda ameyasema hayo leo Ijumaa Machi 7, 2025 alipokuwa akikagua eneo ambalo nyama choma italiwa bure kwa wakazi wa Arusha kuelekea maadhimisho...
Taifa letu la Tanzania limepiga hatua kubwa sana katika Demokrasia toka Rais Dkt Samia alivyoingia madarakani 2021 Ameimarisha demokrasia nchini.
Ameimarisha uhuru wa kujieleza, maridhiano ya kisiasa, na uwajibikaji wa viongozi.
Amefungua milango kwa majadiliano ya...
Kuelekea maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kesho ambayo kitaifa yatafanyika mkoani Arusha, leo Ijumaa Machi 7, 2025 nyama choma italiwa bure.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda amesema Maandalizi ya kumpokea Rais Dkt Samia Suluhu Hassan yamekamilika na kueleza kuwa Rais Samia ni Mwanamke wa Mfano duniani hivyo wao kama Mkoa wanajivunia Rais Samia.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa...
Mbunge wa Jimbo la Kisesa, mkoani Simiyu, Luhaga Mpina, ameiomba Serikali kupitia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuridhia na kupitisha sheria kali, ikiwemo adhabu ya kunyongwa kwa mtu yeyote atakayebainika kufanya ubadhilifu wa mali za umma.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara...
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu amesema kuwa, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwasili mkoani humo Machi 9 mwaka huu ambapo atazindua mradi wa maji Same - Mwanga - Korogwe na badae atafanya mkutano wa hadhara na kuzungumza na wananchi katika viwanja vya CD Msuya wilayani...
Kamishina wa Jeshi la Polisi anayeshughulikia kamisheni ya operesheni na mafunzo CPA, Awadhi Juma amewaondoa hofu wananchi kuwa jeshi hilo litaendelea kuhakikisha usalama, amani na utulivu vinaendelea kuimarishwa sasa, wakati na baada ya uchaguzi na kamwe hawatakuwa na muhali na mtu yeyote...
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule, amewataka Wataalam wanaoshughulika na usimamizi wa miradi ya maendeleo hususan miundombinu ya barabara, kuhakikisha inakidhi vipaumbele vya Mkoa wa Dodoma hasa katika kuinua uchumi wa wananchi wa Mkoa huu.
Hayo yamebainishwa wakati wa kikao cha...
Maonesho ya aina yake ya mbio za magari yanatarajiwa kurindima wakati Rais Samia akiwasili jijini Arusha na hiyo itakuwa ni sehemu ya staili ya kipekee ambayo inapangwa kama sehemu ya mapokezi hayo.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special...
Umoja wa Wanawake UWT Wilayani Masasi Mkoani Mtwara wamefanya kongamano la kumpongeza Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh Dr. Samia Suluhu Hassani kwa kuteuliwa na mkutano mkuu maalumu uliofanyika jijini Dodoma kuwa mgombea wa urais mwaka 2025 ambapo wameahidi kumchagua ili ishinde kwa...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa March 06, 2025 amegawa mitungi ya gesi kwa zaidi ya wanawake 3000 ili kuunga mkono jitihada za Mheshimiwa Rais za matumizi ya nishati safi na utunzaji wa Mazingira.
Mitungi hiyo imeuzwa kwa bei ya ruzuku ya Shilingi...
Waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mh.Kassim Majali ametoa shilingi 4,000,000 kwa wanafunzi wa shule ya Msingi Nachingwea Girls iliyopo wilayani Nachingwea.
Majaliwa ametoa fedha hizo machi 6 alipotembelea shuleni hapo na kuongea na wanafunzi wa shule hiyo.
Aidha amesema kuwa shule...
Wakuu,
Mwaka 2022 Mahakama ilibatilisha kifungu cha 11 (1) (c) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi kinachoweka zuio kwa wafungwa wanaotumikia adhabu ya kunyongwa na wanaotumikia adhabu ya kifungo cha zaidi ya miezi 6 kujiandikisha ili kupiga kura.
Hivyo kwa kufuta kifungu hiki ilifanya wafungwa...
Yanga Princess wameibuka mabingwa wa Samia Women’s Super Cup 2025 baada ya kuichapa JKT Queens 3-0 kwenye mchezo wa fainali uliopigwa katika Uwanja wa Aga Khan.
Timu hiyo ilionesha ubora wake tangu hatua za awali, ikitinga fainali kwa ushindi mnono wa 7-0 dhidi ya Fountain Gate Princess katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.