Kikundi cha 'Wanawake shujaa' wilaya ya Rungwe, mkoani Mbeya wamechangia fedha zaidi ya shilingi milioni moja za Kitanzania Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi wa mwaka huu (2025) kupitia Chama cha...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri, Wakuu wa Wilaya na viongozi wengine katika serikali za mitaa kutoa taarifa mapema kama wana mpango wa kugombea ubunge.
Msingi wa kauli ya Rais Samia ni kutaka nafasi zao zijazwe mapema na watu...
Wakuu,
Wenyeviti wa mitaa wa Jimbo la Temeke, Dar es Salaam, wameungana kwa pamoja kumuombea dua Rais Samia Suluhu Hassan kwa lengo la kumtakia afya njema, hekima na uongozi mwema ili aendelee kuiongoza nchi kwa amani na kuleta maendeleo.
Soma pia: Picha: Viongozi wa Dini wakiwa viwanja vya...
Wakuu,
Naona lile wazo la Mbunge wa Kilindi alilolitoa mwaka 2021 kwamba Jimbo la Kilindi ligawanywe mara mbili limeanza kufanyiwa kazi.
Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Kilindi mkoani Tanga lilipitisha mapendekezo ya kugawa jimbo la Kilindi kutoka jimbo moja lililopo kwa sasa na...
Mbunge wa Jimbo la Dodoma mjini na Waziri wa Madini Mhe. Anthony Peter Mavunde amegawa vifaa vya tehama vikiwemo kompyuta, printer Kwa shule zote za Serikali za jiji La Dodoma.
Sanjali na hayo, Mhe. Mavunde amegawa compyuta 41 kwa ofisi zote za kata katika jiji La Dodoma Pamoja na kuzindua...
Mama, Labda pengine wengine wanakuogopa. Au tuseme wanashindwa kukufikishia ujumbe. Lakini mimi, kwa unyenyekevu kabisa, nimeona kupitia safu hii niwe nakupenyezea yale ambayo yanasemwa huku mtaani lakini wasaidizi wako hawakufikishii ipasavyo.
Mama, kabla sijatiririka mengi kwanza nianze na...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amesema "Msimamo wetu upo wazi, bila mabadiliko hakutakuwa na uchaguzi na hatutashiriki uchaguzi"
Pia, Soma
John Heche: Tumeamua kuhakikisha kwamba uchaguzi haufanyiki. Tutawashirikisha Viongozi wa dini, mashirika ya kimataifa, balozi na NGO's...
Kikundi cha Wanawake SHUJAA Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya wamchangia Fedha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan zaidi ya Milioni Moja kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea Urais, ikiwa ni kumuunga mkono katika jitihada zake za uongozi.
Zoezi hilo limeongozwa na Dkt. Yasinta Mafwenga ambaye alikuwa...
Wakuu,
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Ruvuma Ndugu Oddo Mwisho amewataka baadhi ya viongozi kutowaondoa Madarakani Mabalozi kipindi hiki Cha uchaguzi Kwa madai ya kutokuwaunga mkono madiwani na wabunge au watia nia ambao wako karibu na viongozi wa kata
Amesema hayo wakati...
Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi UVCCM Mkoa wa Geita imelaani vikali baadhi ya kauli ambazo zimekuwa zikitolewa na baadhi ya Viongozi akiwemo Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini Mh. Costantine Kanyasu ya kubeza vijana kutokuwa na sifa ya kuwa Viongozi.
Tamko hilo la Vijana limekuja baada ya...
Wakuu,
Kwahiyo huduma ya maji tunapewa kama hisani, yaani tunabembeleza kupatiwa huduma bora na stahiki!
Kwamba kupata maji siku za sikukuu na weekend ni mpaka maelekezo yatoke kwa Rais?:BearLaugh::KEKLaugh:
Kwahivyo huo mradi hautakuwa unajitosheleza, maji yatakuwa yanakatika kama kawaida...
Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lisu wakati akihutubia wanawake wa CHADEMA Mlimani city kwenye siku ya wanawake duniani amelalamika kuwa kuna wanachadema na wengine ni wajumbe wa kamati kuu wanasema Lisu ni Mwenyekiti ambaye ni dikteta uchwara kutokana na msimamo wake wa no reform no election...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Mkoani Arusha, tarehe 08 Machi, 2025 amesema sherehe hizo zitakuwa zinafanyika Kimikoa lakini zitafanyika kitaifa kila baada ya Miaka mitano.
Hivyo, sherehe nyingine za aina hiyo...
Kiongozi wa ACT Wazalendo, Dorothy Semu, amesisitiza kuwa mwaka 2025 ni mwaka wa mageuzi na wanawake hawatarudi nyuma katika mapambano ya kudai haki zao. Akizungumza katika Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani jijini Dar es Salaam, Semu ameeleza kuwa hali ya kisiasa nchini...
Wakuu,
Mambo yameanza kuchangamka huko CHADEMA.
Akiwa anazungumza leo kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani, Mwenyekiti wa BZECHA ametangaza kwamba kwenye Uchaguzi ujao wa CHADEMA anategemea kuona kwenye zile nafasi sita za juu za kwenye chama basi mwanamke pia anakuwepo
"Tunategemea...
Wakuu,
Kumbe kuna watu uko CCM na wenyewe wanapendezwa na hii agenda ya CHADEMA ya No Reforms No Elections?
Akiwa anazungumza leo kwenye ukumbi wa Mlimani City wakati yuko kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake Dkt Slaa amesema kuwa kuna baadhi ya watu CCM wanaunga agenda ya CHADEMA ya No...
Wakuu,
Dkt Slaa akiwa anazungumza kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake yaliyoandaliwa na BAWACHA amesema kuwa Rais Samia kama atataka anaweza kumrudisha tena gerezani maana amejifunza mambo mengi sana akiwa huko.
"Na namwambia Samia anipeleke tena gerezani maana nina mengi ya kujifunza...
Wakuu,
Kama mnavyojua leo ni siku ya wanawake duniani na huko mitandaoni nimeona baadhi ya viongozi wa CCM wamevaa mavitenge yenye picha za Rais Samia.
Vitenge kama mnavyojua ni fabrics za wanawake. Nyie wana CCM wanaume ambao mmmeshonesha mashati ya vitenge mnataka mtutumie ujumbe gani?
Ni...
Rais Samia akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Machi 8, 2025 Arusha
https://www.youtube.com/live/1noAQDGD9e8?si=MT9ZfW_E_QbmTDZl
Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda akitoa salamu za mkoa
"Mhe. Rais, sherehe zetu zilihitimishwa jana na ulaji wa nyama... Nyama ya Mkoa wa Arusha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.