Tabora. Mahakama Kuu, Kanda ya Tabora nchini Tanzania, leo Ijumaa Septemba 30, 2022 imewahukumu kunyongwa hadi kufa watuhumiwa watano ambao ni wakazi wa Wilaya ya Igunga, Mkoa wa Tabora.
Ni baada ya kuwatia hatiani kwa kosa la kumuua mume wa mwenye Ualbino wakati akimtetea mkewe kukatwa mkono...