Wakuu,
Alikiba huyu ni mkongwe kama tujuavyo. Kadri muda ulivyosogea watu walitabiri kifo chake cha kimziki, ingawaje wale alioanza nao kuimba wengi wamepotea.
Nimesikiliza hizi nyimbo mbili latest; Mahaba na On fire, niseme tu huyu mtu bado sana kupotea, sio leo wala kesho, hii on fire...