kufa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ishu sio kufa, ishu nyumbani umejenga?

    Samaleko wana Jukwaa na Moderators kwa ujumla. Unapotokea msiba wa mtu maarufu hapa nchini kuanzia Viongozi, Wafanyabiashara na Wasanii kumekua na mtindo kwenye mitandao hii Jamii watu wakitaka kufahamu mazingira na nyumbani kwa mfiwa kuna Nyumba nzuri? Amejenga? Ni mtindo uliozuka baada ya...
  2. Kuna "jam" ya kufa mtu hapa Maseyu-Morogoro!

    Tumekuwa kwenye foleni ya magari toka Saa 7 mchana, Hadi muda huu wa saa 11 jioni, ndiyo foleni hiyo ya magari imeanza kufunguka. Tunaomba watu wa "traffic Police" watueleze tatizo lilikuwa nini? Kwa kuwa watu wengi wameathirika Sana Kwa kuchelewa kufika makwao Kwa zaidi ya massa 3
  3. Wakili: Deni la Membe kwa Musiba liko palepale

    Wakili Jonathan Mdeme, aliyekuwa akimwakilisha mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania, Bernard Membe (69) kwenye kesi dhidi ya mwanahabari Cyprian Musiba, amesema deni la waziri huyo wa zamani wa mambo ya nje kwa Musiba liko palepale na msimamizi wa mirathi ataendelea alipoishia. Membe ambaye...
  4. M

    Wote waliofurahia vifo vya mashujaa wa Afrika hawajawahi kufa bila fedheha

    Wako wapi waliofurahia kifo cha Samora Machel akina Peter W Botha? Walikufa kwa fedheha. Waliomuua Patrice Lumumba na wakafurahi akina Mobutu Sese Seko Waliomuua Thomas Sankara na kufurahia walishakufa kwa fedheha. Na hata waliofurahia kifo cha shujaa wa Tanzania watakufa kwa fedheha
  5. Mwanamke ni chanzo cha wanaume kufa mapema? Ona utafiti huu wa Afrika Kusini

    Habari wadau! Ninaomba wataalamu mtusaidie hapa hasa wa sociology, psychology, na wale by experience hivi kwanini 1. Wasomi WENGI wanakufa kwa pressure, BP, sukari , pumu n.k. Sisi wengine tuna KUFA kwa kuhara, malaria, typhoid, hukosa Choo n.k? 2. Wanaume waliooa mwanamke mmoja wanakufa...
  6. Ingekuwaje tungezijua siku zetu za kufa?

    Mauti ya mtu ni siri kubwa, na ni kitendawili kigumu kukitegua. Ingekuwaje tungejua tutakufa lini? Nasukumwa kuandika uzi huu baada ya kuondokewa na mpendwa wangu Dunstan Charles, msoma ramani mkongwe wa mbio za magari. Jana nimeonana naye muda kama huu, nilikuwa nataka anisaidie kuniendesha...
  7. Sio mbaya wanasimba wenzangu kombe letu la kufa kiume ni kubwa kulikuwa makombe yote

    Sisi wanasimba furaha yetu tulishazimaliza na kuwapongeza kwa mafanikio yetu ya msimu huu baada ya timu kutoka Morocco. Sisi kauli ni ile ile hatuwadai benchi la ufundi, hatuwadai wachezaji na hatuwadai viongozi hakika malengo yetu ya msimu tumefanikiwa. Tuna kombe la robo fainali, kombe la kufa...
  8. B

    Simba's hii ni skio la kufa

    Mbali na kupoteza mechi ya kimataifa kizembe na ku draw na Namungo lakini bado benchi la ufundi hawajifunzi na hata wachezaj hawaoneshi seriousness ya mechi zilizobaki. Wakiingia tu mikwaju ya penality basi wamekwisha. Yajayo yanagurahisha.
  9. L

    Mwili wote kufa ganzi plus kichefuchefu,husababishwa na nini?

    Mwili wote kufa ganzi plus kichefuchefu,husababishwa na nini?
  10. Akili yangu inawaza kufa kufa tu, nafikiri nina siku chache kwenye hii dunia

    Nimekuja kuamini pesa sio kila kitu kabisa kwenye haya maisha jamani nahisi kukata tamaa ya kuishi althrough i have money japo si nyingi ila inaniwezesha kupata chochote kile gari, nyumba nzuri na vitu vyote ambavyo mwanadamu ana wish kuvipata lakini roho ya kukata tamaa ya kuishi inaninyemelea...
  11. D

    Narudia tena, tusije kurudia kufanya kosa kama la 2015. Nchi ilikuwa inaenda kufa

    Kila kitu kilikuwa kinaenda ovyo kana kwamba tunaongozwa na darasa la saba au nursery kabisa. Hebu fikiria yafuatayo: 1. Uhuru wa habari ulikuwa umezimwa kama mshumaa ikabaki ni kumsifia tu mpaka kikaanziaha kipindi Cha kishindo Cha awamu ya tano. 2. CAG alivyoibua madudu tu akatumbuliwa...
  12. Mhubiri Paul MacKenzie alianzaje safari tata ya kuwashawishi watu kufunga hadi kufa?

    Ulianza kama ufichuzi ambao ungeyeyuka baada ya muda mfupi wa mihemko na lalama. Lakini kilichoanzia kati kati ya msitu eneo la Malindi Pwani ya Kenya wiki moja iliyopita sasa kinageuka kuwa donda ambalo kumbukumbu zake hazitafifia hivi karibuni. Kufukuliwa kwa makaburi ya kina kifupi ambayo...
  13. Yaani umedanganywa ufunge hadi kufa na ukafa kweli kisha nipoteze machozi yangu kukulilia?

    Wafuatao ndiyo Watu pekee ambao GENTAMYCINE nitawalilia kila Siku na siyo Wengine waliojitakia Kufa kwa Kukubali Kufa huku Wakijiona ambao mpaka sasa naambiwa Wamefikia 60. 1. Mwalimu Julius Nyerere 2. Kwame Nkurumah 3. Kamuzu Banda 4. Kenneth Kaunda 5. Samora Machael 6. Nelson Mandela 7...
  14. My Theory juu ya waumini kufungishwa saumu hadi kufa na mchungaji huko Kenya, its financially Motivated

    Utaahira aliowafanyia waumini wake huyu mchungaji wa huko Kilifi Kenya ukishawahi kufanywa Uganda na mtu anaeitwa Kibwetere. Financial gains are at the heart of these ludacris acts! Kibwetere aliwaambia waumini wake wakiandae kwenda mbinguni siku flani ya tarehe fulani, hivyo wauze kila kitu...
  15. Simulizi: Fated To die (Mwenye Hatma ya Kufa)

    FATED TO DIE (MWENYE HATMA YA KUFA) SEHEMU YA 01 “Baby, mambo ni mengi nashindwa hata kutulia” aliongea Salome akiwa ameshikilia simu yake, yalikuwa majira ya usiku na alikuwa akiongea na mpenzi wake ambaye kwa muda huo alikuwa maeneo ya mbali na nyumbani kwao. Baada ya kama nusu saa kupita...
  16. Update: Miili iliyofukuliwa ya Waumini waliofunga hadi kufa yafikia 83

    UPDATE: Miili zaidi imefukuliwa katika Makaburi yanayohusishwa na 'ibada ya njaa', na kufanya jumla ya vifo kufikia 83, huku idadi hiyo ikitarajiwa kuongezeka - Polisi wamekuwa wakizunguka msitu wa #Shakahola kwa takriban Siku 4 baada ya kupokea taarifa kuhusu dhehebu linaloongozwa na...
  17. Huu ndio Usalama wa mwanaume

    Habari vijana wenzangu pamoja na wanajukwaa Kwa ujumla.. Na tumai mko salama wote , Jambo kuu ni kwa wapenda sketi hasa vijana. Vijana Sasa hivi tunakumbwa na magonjwa mengi hasa yanayotokana na kufanya ngongo isiyo salama. Kuna Kila sababu wanaume kujali sana afya zetu Ili tudumu Kwa mda...
  18. Waislamu tumekatazwa kuwaudhi wanawake, Abunuwasi na Vitimbi vya wanawake

    Ilikua jioni moja tulivu, mwanamke mmoja alielekea kisimani kuteka Maji.. Alipokuwa Huko Kisimani Mara Akatokea Mwanaume Mmoja Na Kumuuliza Yule Mwanamke "samahani Dada yangu Hivi Unaweza Kunitajia visa vya mwanamke?". Yule mwanamke ghafla Akaanza Kulia Huku Anapiga Makelele Kwa Sauti Sana...
  19. W

    Kuna mtaalamu wa kuongea na wafu?

    Je, kuna mtaalamu yupi aliye Dar anaweza ongea na wapendwa waliotangulia mbele za haki?
  20. Mtu akiacha pombe ghafla anaweza kufa

    Habari wakuu. Nimekuja tena kuwatisha. Ipo hivi, watu wengi wanafikiri pombe huchochea utendaji wa akili, ukweli ni kuwa pombe hupunguza utendaji wa akili. kama ilivyo heroin. Ndiyo sababu mtu aliyekunywa pombe hawezi kufikiri wala kutenda mambo sawasawa. Inafanya hivyo kwa kuzuia sehemu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…