Tabia ya kufunga funga Magari na kudai Tshs 50,000 hii hapa, jisomee.
Kwa wapenzi wa sheria, kuna kesi tamu hapa ya Vigu Trading Co. Ltd dhidi ya TANROADS, Yono, Inland Transporters Ltd (breakdown) na Mwanasheria Mkuu (kwa sababu ni kesi ya serikali)
Mshtaki lori lake liliharibika mbele kidogo...