kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Richard

    Hatimaye Ushauri wangu kuhusu upinzani kujitambua umesikika. Tundu Lissu ndiye kiongozi sahihi wa upinzani. Vyombo vya usalama vimuache afanye siasa

    Bila kupiga chenga naingia kwenye mada na leo nazungumzia kujitambua kwa wanachama na wapenzi wa CHADEMA. Mara kadhaa nimekuwa hapa JF nikiuponda upinzani khasa CHADEMA kwamba wapo kuisindikiza CCM kwenye siasa tangia mwaka 1992 upinzani ulipozaliwa rasmi kwa maana ya vyama vingi vya siasa...
  2. Mhafidhina07

    Kila Nafsi itaonja Umauti,vipi kuhusu mwili unaendelea kuishi?

    Kitabu kitakatifu cha Quran Kinatanabaisha kuwa binadamu na viumbe vyengine ni nafsi na lazima vionje(kupitia/mchakato wa kifo). Swali langu linakuja vipi kuhusu mwili je,haufi?au ndiyo unazaliwa upya baada ya miaka kadhaa(aacording to indian Holly books). Unapokufa sawa mwili unaachana na...
  3. M

    Kuna wanawake huwaambii kitu kuhusu P2. Wanatumia Kama msosi mara Kwa mara

    MADHARA YAKUTUMIA P2 mara kwa mara Dr mwasola ✏️ P2. Emmergency Contraceptive Pills' ni vidonge maalum vinavyotengenezwa kwa lengo la kutumika kwa dharura kuzuwia mimba isiyotarajiwa ✍️P2 ni kifupi na Postinor-2, ni dawa inayotumika kwa dharula tu. Vidonge vya P2 havitakiwi kutumika kama njia...
  4. U

    Wizara ya afya na watalam wa afya ya mlaji mnatowa elimu gani kuhusu hili?

    Kuna habari nilizisikia zamani na sasa pia nazisikia kuwa wafugaji wa nguruwe wanawapa nguruwe wao ARV ili wanenepe.Naomba kufahamu hii haina madhara kwa mlaji?Ninyi wahusika mmewahi kufatilia hili kujuwa ukweli na kuchukuwa hatuwa?
  5. Waufukweni

    John Mnyika ajibu kuhusu Freeman Mbowe kutangaza nia ya Uenyekiti CHADEMA

    Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika, amejibu juu ya Mhe. Freeman Mbowe kama atachukua fomu ya Uenyekiti wa Chama hicho, wakati alipokuwa akizungumza na wanahabari Jijini Dar es Salaam, ambapo alikuwa akiwatangazia wanachama juu ya uchaguzi wa viongozi wa Chama na Mabaraza kwa ngazi ya Taifa...
  6. Mlalamikaji daily

    MwanaYanga akilalamika kuhusu kuongezewa muda muonyeshe hii picha halafu kaa kimya

    Picha inajieleza Waonyeshe hii halafu usiongee kitu
  7. Waufukweni

    Video: Mashabiki wa CS Sfaxien wapigana wenyewe kwa wenyewe wakivutana kuhusu wachezaji

    Hali ilibadilika ghafla Mashabiki wa CS SFAXIEN wakaanza kupigana wenyewe kwa wenyewe na hii inatokana baadhi ya mashibiki wa Timu hiyo wakitaka kuwapiga wachezaji wao ma wengine kuwazuia. Tazama namna shabiki wa CS SFAXIEN alivyompiga kichwa shabiki mwenzake baada ya kuanzisha vurugu za...
  8. Full charge

    Msaada kuhusu fixed account

    Habari za muda huu wakuu, Mimi ni kijana kama vijana wengine wapambanaji,ila changamoto nayopata kuhusu uhifadhi wa pesa ni kubwa mno. Nimefungua akaunti benki kadhaa ila nikipata shida kidogo naenda kutoa pesa achilia mbali makato yao hii hali inanifanya pia nitimize malengo kwa muda mrefu...
  9. S

    Serikali na CCM wamejua mambo mengi sana kwa muda mfupi tu kuhusu yanayoendelea ndani ya Chadema

    Kwanza imebainika kuwa Mbowe ndio anatafuta hela, anakozitafuta wapi hatujui, serikali ifuatilie Pili, Chadema inalalamika uchaguzi nchini sio huru na wa haki, tutaona ndani ya chadema kama Tundu Lissu hataibiwa kura zake ama nyani haoni kundule na hapa mkiibiana kura tusisikie tena mkilalamika...
  10. Stability

    Yoda na Infropreneuer njoeni hapa niwaelekeze kitu kuhusu upingaji wenu wa ulimwengu wa kiroho

    Yoda Infropreneur Kwanza Infropreneur unapokuwa unafanya debate au open dialogue usipende kuweka hisia mbele, weka intuition mbele, maana una bwaja bwaja sana. Ni kweli seeing is believing kwamba mnahitaji uhakika wa shetani physically, Mungu physically na uchawi physically ndio kweli muamini...
  11. J

    JamiiForums kwa kushirikiana na StarTV inafanya mjadala kuhusu hali ya siasa Nchini na utawala wa sheria

    Fuatilia moja kwa moja mjadala unaofanywa na JamiiForums kwa kushirikiana na StarTV kuhusu hali ya siasa Nchini, na utawala wa sheria kuanzia saa 3:30 Usiku mpaka saa 5:30 Usiku. Washiriki ni; 1: Wakili, Boniface Mwabukusi - Rais wa TLS. 2: Ado Shaibu - Katibu Mkuu ACT WAZALENDO. 3: Benson...
  12. The ice breaker

    Huu ndio ukweli kuhusu Dini

    Dini zote ni utapeli tu, ukristu uliletwa na wakristu kutoka Ulaya na wale wakujiita wamisionari, the same to Muslim under Arabs. Ukristu ni utamaduni wa kigeni kutoka Ulaya, na Islam ni tamaduni mpya kutoka Kwa waarabu, lengo la kuja Hawa wahuni afrika, ni kuchukua Malighafi, watumwa na mambo...
  13. Manfried

    Naomba nitoe ushauri huu kwa serikali kuhusu wasanii wa Tanzania.

    Please Moderator msiunganishe huu uzi maana mtakuwa mmefeli big time. First of all naipongeza serikali Kwa kufikiria wazo la kuwasaidia wasanii kuhusu kutibiwa magonjwa ya moyo Hili wazo sio baya Ila napendekeza mjaribu kuliboresha kwa kuhakikisha wasanii wote ambao wanajihusisha na sanaa...
  14. State Propaganda

    Utawala mpya wa Jawlani nchini Syria waiandikia barua UN Security Council wakilalama kuhusu Israel kuendelea kujitwalia maeneo ya ardhi yake zaidi

    Utawala mpya wa Syria ulio chini ya kikundi cha kigaidi cha kiislamu chenye itikadi kali kijulikanacho kama Hayat Tahrir al-Sham (HTS), unaoongozwa na gaidi kiongozi Abu Mohammed al-Jawlani, umeiandikia barua yenye malalamiko na manung'uniko mengi Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UN...
  15. B

    Jana nilifanya mazungumzo na Yesu Kristo na kumwomba ufafanuzi kuhusu amri zake kuu mbili za upendo. Na hapa nakuletea mazungumzo hayo kwa ufupi

    Wakuu, kwa kuwa katika muda huu, sisi wenye mamlaka ya kusimamia na kuandaa wataalamu wa baadae (walimu) tupo likizo. Ninaitumia likizo hii kwa kwenda shambani ili kuzalisha chakula. Wakuu, jana nilibahatika kukutana na Yesu ana kwa ana, nilikuwa natoka shambani narudi nyumbani majira ya mchana...
  16. Pang Fung Mi

    Mwanamke kama havai shanga siwezi kuwa na mahusiano nae, kabla ya yote nauliza kuhusu Shanga kama anazo

    Sina mengi ya kusema kichwa cha habari Kiko bayana karibu tuzungumze wengine mna mtazamo gani kuhusu wanawake hasa kuvaa shanga. Vibe langu limekaa kwenye shanga, obviously shanga huambatana na miuno kama yote Pang Fung Mi
  17. M

    Tunasubiria Tamko la Lema kuhusu Lissu

    Ni kawaida kabisa Bwana Lema huwa anakurupukaga na kutoa maoni yake hata kama ni ya ovyo haswa pale Kaka yake Mbowe anapoguswa kwa aina yoyote ile. Lema ni chawa namba moja wa Mzee Mbowe ila inashangaza hadi muda huu hatujaona taarifa yake kuhusu nafasi ya kudumu ya kaka yake ambayo Msomi Lissu...
  18. Rorscharch

    Ukweli Usiosemwa Kuhusu Uraibu (addiction): ni zaidi ya Dawa za Kulevya na Pombe

    Muhtasari Uraibu si suala la dawa za kulevya au pombe pekee; ni suluhisho lililokosewa kwa matatizo ya kina yanayotokana na hali ya kutokuwa na amani na nafsi. Kuelewa uraibu kunahitaji kutazama mizizi ya kihisia inayosababisha hali hiyo na siyo kuangalia tu dalili zake za nje. Mambo Muhimu ya...
  19. D

    Msaada kuhusu gmail

  20. Forrest Gump

    Ujuaji mwingi wa Waafrika kuhusu mambo ya imani ndio unafanya wao kuwa watumwa kwa watu wengine

    Mbona hatujapata sasa suluhisho la haya yote. Maana ujuzi halisia wa kitu ina maana hauwezi tena kuwa mtumwa wa kitu hicho. Unaweza kuta mtu anaandika kwa uhakika kuwa sababu ya magumu yako ni nyota yako imeharibiwa au dhambi zako lakini unashangaa kuna tajiri mmoja yupo ana dhambi zaidi yako...
Back
Top Bottom