kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyani Ngabu

    Fikra duni za mbeba maboksi kuhusu mustakabali wa CHADEMA baada ya uchaguzi wao.

    Mbeba maboksi here I come with my two cents from a distance. Nianze kwa kuwatakia heri ya Krismasi kwenu waumini wa Kristo. Kwa wasio waumini, nanyi nawatakieni sikukuu njema na mapumziko mema. Nimekuwa nikiifuatilia hii mijadala ya uchaguzi wa ndani wa CHADEMA kwa juu juu tu. Sikuwa kabisa...
  2. selemangrace346

    Nahitaji kujua zaidi kuhusu kisiwa cha Mayotte

    Wadau wa JF habari?Hivi karibuni kumetokea kimbunga CHIDO katika bahari ya hindi na kuathiri maeneo mbalimbali ikiwemo kaskazini mwa msumbiji,Malawi,Zimbabwe na kisiwa cha Mayotte..katika kufuatilia zaidi nakutana na habari ya kuwa kisiwa cha mayotte ni eneo la Ufaransa na Rais wa Ufaransa...
  3. DR Mambo Jambo

    NATUBU: Kama Niliwahi Kukitukana Chama Changu cha CCM kuhusu kuwa na misingi Mibovu ya Kidemokrasia Naomba kwa Dhati kabisa Nisamehewe

    Demokrasia Imevuliwa Nguo, sura Mpya ya CHADEMA inaanika Changamoto kubwa Iliyokuwa ikifichwa na wengi ya Uongozi wa Milele imebaki wazi na Kuonekana.. Kilichotokea leo, pale FAM alipotangaza kugombea tena nafasi ya uenyekiti wa CHADEMA, kimeacha alama ya fedheha kwa yeyote anayependa siasa za...
  4. Trainee

    Ushauri kwa NMB kuhusu miamala na mikopo

    Nilichoona na kuamua kuzinduka ni kwamba ukiwa na hoja yoyote kwenda popote basi taarifa inafika vizuri, haraka na kwa uzito kupitia Jamiiforums kuliko njia zingine za kiprotokali zinazowekwa na wahusika Leo naomba NMB wachuje ushauri huu 1. Mtu akifanya miamala kwa nmb mkononi huwa mnatoa...
  5. Kalaga Baho Nongwa

    Nahitaji mwemyeji wa Morogoro anidadavulie kuhusu haya maeneo.

    Wakuu kwema? Mm sijambo Nilikuwa natafuta scientific reason ya kubadili mawazo yangu ya kupeleka biashara maeneo ya kusini na kuchagua eneo jipya la kupeleka biashara. Mpango wa biashara ni kucheza na minada mbalimbali utakaoanza kutekelezwa mwanzon mwa mwezi wa kwanza. Ninafikiria kupeleka...
  6. BIG STONE AND CONER STONE

    Hivi Hili ni mimi naliona kuhusu Dar au na wengne pia mnaona hivyo?

    Mada Fupi tu maana Kuna mambo mengi ya kufanya pia. Iko Hivi kuhusu Jiji la Dar es salaam Mm Naona wanawake wa Dar ni warembo sana. Sure cjui ni macho yangu au nn!. Kuna Saa unajitahidi hata usiangalie pembeni ukaze macho mbele kama Robot 😎 OK hivi Kuna mkoa mwingne unapiku Dar kwa wanawake...
  7. olekamaru

    Msaada wa taasisi mbalimbali zinazotoa misaada

    Wadau habari.mm ni mwenyekiti WA kitongoji aliyeshinda juzi kwenye Uchaguzi WA serikali za mitaa. Naombeni wadau mnielekeze taadisi mbali mbali za ndani na nje ya nchi ambao wanatoa misaada mbalimbali kwenye jamii mfano watoto yatima,walemavu,wazeee,elimu ya ujasiriamali na vinginevyo.asane
  8. K

    Maono- ndoto kuhusu Mbowe

    Nimepata maono ya ajabu sana ya kimungu kuhusu Mh Mbowe. Nimeotehswa Mbowe kavaa jezi namba 17 sijajua maana yake kwa undani lakini nimeona ni share hapa
  9. M

    Nilichogundua katika tafiti wangu kuhusu kinachoendelea chadema

    Baada ya kumsikiliza Lissu ktk mahojiano yake ya vybombo vya habari kabla na baada ya kuchukua fomu na kurudisha. Pia baada ya kumsikiliza Mbowe , Nimepitia faceboook, twitter ambayo X ya sasa, instagram, Jf kwa account maarufu za kisiasa, na mijadala mbali mbali Nimdgundua yafuatayo Wengi...
  10. T

    Nimepata mkopo Tsh 300,000. Naomba ushauri nini cha kufanya

    Sorry, za muda hu waungwana, nimepata mkopo mahali flani wa pesa taslim laki tatu, sijui na sielewei naifanyia nini,!! Maan marejesho kila baada ya wiki mbili kwa miezi sita, Naombeni ushauri 🙏
  11. U

    Putin asema Urusi ipo tayari kwa mazungumzo kuhusu Ukraine

    Putin pia amesema kuwa Urusi iko tayari kwa mazungumzo na maridhiano kuhusu Ukraine, lakini inahitaji upande wa pili uwe tayari pia. Aidha, alionyesha utayari wa kukutana "wakati wowote" na Rais Mteule wa Marekani, Donald Trump, ambaye ameahidi kufanikisha mkataba wa amani wa Ukraine mara baada...
  12. MSAGA SUMU

    Pre GE2025 Baada ya uchaguzi, Lissu tunaomba umpeleke Mbowe Takukuru kuhusu fuko la Abdul?

    Fuko la Abdul kila lilikopita mitaa ya Chadema lilipokelewa kwa mikono miwili isipokuwa kwa gwiji la upinzani Afrika. Lissu ndio mtanzania pekee hapo Chadema aliletewa mfuko umejaa mamilioni kama sio mabilioni sebuleni kwake na akaamua kuyakataa. Na ushahidi wa cctv upo. Baada ya uchaguzi...
  13. Bams

    Mengi Yanasemwa Kuhusu Mbowe, Lakini Kuyaamini Mpaka Nitakapoona Amechukua Fomu.

    Mbowe aliahidi kuwa mwaka 2023 ungekuwa mwaka wake wa mwisho kuiongoza CHADEMA kama mwenyekiti wa chama. Wengi kama si wote, tuliunga mkono uamuzi wake huo maana kuwa kiongozi haimaanishi kukaa kwenye uongozi kwa miaka nenda rudi, bali kuwa na uwezo wa kuwatengeneza watu wengine kuwa viongozi...
  14. Nehemia Kilave

    Je haya maswali ya hayati Magufuli kwa polisi kuhusu kutekwa kwa Mo dewji yalijibiwa ?

    https://youtu.be/DH4p2T6eIcI?si=SoYq_5G1ZgUb8z9f
  15. Poppy Hatonn

    Mchengerwa: Maelekezo ya Makonda kuhusu Wananchi kumtembeza Diwani kwenye matope sio maelekezo ya Serikali

    Waziri Mchengerwa amethibitisha kwamba yeye ni mwanasheria. Ameiletea sifa kubwa taaluma yake ya Sheria. Baada ya Makonda kuwapomgeza wananchi waliokuwa wanawadhalilisha viongozi wao, Mchengerwa amesema wananchi wakatazwe kujichukua sheria mkononi. ==================== "Sasa niliona ile...
  16. LIKUD

    Je utabiri huu wa mwaka 2004, kuhusu Mazinge kuokoka unakaribia kutimia

    Mwaka 2004 kuna mtu mmoja ( Mkristu) aliniambia ameoteshwa kwamba Mazinge ameokoka. Amekuwa mchungaji mkubwa sana na kanisa kubwa sana Tanzania. I told him " Sundu Meru". ( Wajaluo wakina popoma wa Bunda vijijini wanajua nini maana ya " Sundu Meru") Huyu jamaa tulikuwa tunabishana sana...
  17. Roving Journalist

    Waziri Kabudi: Tutazungumza na NSSF kuhusu hatma ya mafao ya uzeeni ya Waandishi wa Habari

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palagamba Kabudi amesema kuna umuhimu mkubwa wa kuangalia suala la mafao ya Uzeeni ya Wanahabari kutokana na baadhi yao kupitia changamoto ya kiuchumi wanapozeeka. Amesema hayo katika Mkutano wake na Wadau wa Sekta ya Habari na Utangazaji...
  18. sergio 5

    Njoo tudanganyane kuhusu makomando wa Tanzania

    Watanzania tulio wengi ni wajuaji wa vitu tusivyo vijua njooni TUDANGANYANE KUHUSU makomandoo wa JWTZ Story yeyote ya mtaani uliyoisikia kuhusu wao Note:motto wao ni PAIN IS MY MEDICINE
  19. Waufukweni

    TANZIA Mwili wa Ulomi, Mfanyabiashara aliyedaiwa kupotea wakutwa mochwari Mwananyamala

    Mfanyabiashara Daisle Simon Ulomi, aliyepotea tangu Desemba 11, 2024 amekutwa amekufa na mwili wake kukutwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala, jijini Dar es Salaam. Ulomi aliyekuwa akifanya biashara za fedha za mitandao ya simu maeneo yaa Sinza Kijiweni na Mwenge alipotea tangu 11...
  20. T

    Namuomba Bashungwa asome hapa kuhusu kero za vitambulisho vya NIDA!!

    Nimemsikililiza waziri Bashungwa alipokuwa anatoa maelekezo kuhusu vitambulisho vya NIDA. Kwa bahati mbaya hawa mawaziri wetu hawajishughulishi sana kutafuta majibu ya kero halisi za wananchi wa kawaida kabisa. Kuna changamoto nyingi sana kwenye michakato ya vitambulisho vya NIDA 1. Ni...
Back
Top Bottom