Amani iwe nanyi nyote (BabaParoko)
Enzi hizo hadi mwanzoni mwa miaka ya 2000 ilikuwa kawaida kabisa Mzee wa kisukuma kwenda kumtafutia kijana wake binti wa kuoa. Mara zote walikuwa hawakosei mfano ni babu yangu kuwatafutia baba zangu wote wanawake wa kuoa na akalifanikisha wote akiwamo na baba...
Kumekuwa na uwekezaji mkubwa wa ufugaji wa samaki hasa katika Ziwa Victoria.
Hili ni jambo la kupongeza sana na mpaka Wachina wamejenga kiwanda cha vyakula vya hawa samaki.
Juzi nimepita katika eneo la Luchelele Mwanza palipo na mabwawa haya ya kufugia samaki na kushuhudia uvunaji wao...
Wakuu habari,hivi ni vyuo vikuu gani vizuri Kwa kozi ya pharmacy ngazi ya degree nchini Uganda nataka nimpeleke ndugu yangu akasome huko Uganda msaada wakubwa
Habari wana Jamii forums? Naomba kujua zaidi kuhusu biashara ambayo naweza kuanza kwa mtaji mdogo na ikakua na kufungua fursa zingine za kibiashara. Binafsi nimekuwa nikiwaza sana kuhusu stationery yenye electronics, car wash na grocery. Naombeni mawazo yenu hapa wakuu
biashara
forums
fursa
habari
jamii
jamii forums
kibiashara
kuanza
kufungua
kuhusu
kujua
mdogo
mtaji
mtaji mdogo
naomba
naweza
ushauri
ushauri wa biashara
Ni maeneo gani Morogoro mjini ninaweza kupata lodge/ guest zenye sifa zifuatazo;
Pawe pasafi sana
Gharama affordable
Isiwe na baa au makelele
Pawe na uzio na usalama pia
Uislamu unasisitiza uhuru wa dini na haki ya kila mtu kuchagua dini yake bila kulazimishwa. Hii inathibitishwa katika aya maarufu ya Qur'ani:
- Qur'ani 2:256 (Surat Al-Baqarah):
Aya hii inaonyesha kuwa Uislamu unaheshimu haki ya mtu binafsi kuchagua dini yake, na hakuna mtu anapaswa...
Huyu mfuasi wa Lissu hajui kilichotokea kwenye uchaguzi wa 2020 au kaamua kujifanya mwendawazimu? Kwa huu mdahalo wa jana hakuna mwenye nafuu kwenye hawa washiriki wanne. Wote nawapa alama 0/100. Yericko anastahili na viboko kabisa. Ntobi aliyesema CHADEMA imeanzishwa 2019 anastahili kuwekewa...
Kueleza umuhimu wa kuonesha heshima kwenye mazungumzo kuhusu utalii wa ndani ni jambo la maana. Ni kweli kuwa utalii wa ndani ni sehemu muhimu ya maisha yetu na ni suala la hiari kwa kila mtu kushiriki. Kwa hiyo, ni vyema kuheshimu maoni na jitihada za kila mtu katika kukuza utalii wa ndani bila...
Wahenga Wenzangu wanaweza kukumbuka vizuri taarifa mbalimbali tulizokuwa tukizisikia kumuhusu Idd Amin Dada.Kuna baadhi ambazo nani nilifanikiwa kuzisikia kama vile kusomba Walemavu ombaomba wote pale Kampala na kwenda kuwamwaga ziwa Victoria ili jiji libaki safi,kuwepo kwa vichwa vya Watu...
Hello wana jamii forum! Karibuni sana kwenye majadiliano yetu leo! Leo ningependa kuzungumzia hifadhi mbili maarufu sana hapa Tanzania, ambazo ni Serengeti National Park na Ngorongoro Conservation Area.
Serengeti National Park ni moja ya vivutio vikuu vya utalii hapa Tanzania na kimataifa pia...
game
hifadhi
hifadhi ya taifa
historia
kuhusu
kusikia
ndani
ngorongoro
ngorongoro crater
safari
serengeti
taifa
umewahi
utalii
utalii wa ndani
vivutio
wedding
Picha kwa hisani ya Google.
Kupooza uso/mdomo ni hali ya mdomo kusogea pembeni au kwenda upande mmoja (kitaalamu huitwa Facial nerve paralysis/Bell's Palsy) ambayo husababishwa na matatizo ya mishipa ya fahamu ya uso/mdomo (facial nerve) ambayo husimamia na kuendesha utendaji kazi wa misuli ya...
Kinachoendelea sasa kuhusu Ben Saanane ni masikitiko Sana .
Ni bora uchunguzi huru ufanyike ili kujua nani hasa alihusika na kupotea Kwa Ben Saanane .
Uchunguzi huu pia uende sambamba na kuchugunza shambulio la risasi dhidi ya Tundu Lissu.
Ikiwa Kama Mgufuli inatonekana alihusika basi...
Meditation (Kutafakari) ni nini?
Meditation, inayojulikana pia kama kutafakari kwa kina, ni zoezi la kiakili linalohusisha kuzingatia mawazo, pumzi, au hali fulani ili kufikia utulivu wa ndani, ufahamu wa hali ya juu, na uwazi wa mawazo.
Ni mazoea ya zamani yanayopatikana katika tamaduni...
Je, inawezekana kuanzisha na kuendesha biashara ya maudhui mtandaoni kama blogging au YouTube kama kina Millard Ayo, bila ada za awali (license fee) ? Kama vile mambo ya lecense za TCRA sijui BRELA, then nikaja kulipa baadae
Ikiwa kuna gharama, ni zipi zinaweza kulipwa baadaye baada ya kupata...
Je, inawezekana kuanzisha na kuendesha biashara ya maudhui mtandaoni kama blogging au YouTube kama kina Millard Ayo, bila ada za awali (license fee) ? Kama vile mambo ya lecense za TCRA sijui BRELA, then nikaja kulipa baadae
Ikiwa kuna gharama, ni zipi zinaweza kulipwa baadaye baada ya kupata...
Habari wanajamvi!
Hakika dunia imejaa mambo mengi tusiyoyafahamu. Leo katika pitapita zangu nimegundua ya kuwa kuna baadhi ya wanawake wana mzio wa mbegu za kiume,hili jambo limenishangaza sana.
Kwakuwa hili tatizo sijawahi kuona likijadiliwa hapa JF nikaona sio mbaya kushare nanyi...
1. Ikiwa Mungu ni mmoja na hana mfano, kwa nini Qur'an inatumia wingi wa "Sisi" katika baadhi ya aya zake? (mfano, Qur'an 15:9).
2.Qur'an inasema kwamba ni mwongozo kamili (Qur'an 16:89). Kwa nini kuna haja ya Hadith kuelezea baadhi ya maelezo ya dini?
Asante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.