kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshana Jr

    Mambo 13 Ambayo Hukujua Kuhusu Los Angeles

    1. Los Angeles ni nyumbani kwa wakazi wengi zaidi wa Wenyeji wa Hawaii nje ya Hawaii, kutokana na uhamaji mwanzoni mwa karne ya 20. 2. Ishara ya Hollywood awali ilisomeka "Hollywoodland" na ilikusudiwa kukuza maendeleo ya makazi, sio tasnia ya filamu. 3. Hifadhi ya Griffith ya Los Angeles ni...
  2. mahindi hayaoti mjini

    Haya maneno yanayosambaa kuhusu SGR ni kweli au ni uzushi?

    Kutokana na mgao au ukosefu wa umeme mara kwa mara Kariakoo katika hizi siku za karibuni, kuna minon'gono inaendelea, je ni kweli? Au ni uzushi. Wanasema eti umeme wote unapelekwa kwenye SGR, Na ndio maana si ajabu kwa kariakoo siku hizi kukaa mpaka masaa 18 bila umeme. TANESCO
  3. M

    Mwenyekiti CHADEMA, Katavi: Kauli ya James Mbowe dhidi ya Lema inaashiria ukabila, ipingwe na kila mmoja anayependa ustawi wa demokrasia

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoa wa Katavi Rhoda Kunchela ameeleza kusikitishwa na kauli iliyotolewa na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CHADEMA kutoka jimbo la Hai, mkoani Kilimanjaro James Mbowe dhidi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini Godbless Lema...
  4. nesty hustler

    Utambuzi kuhusu biashara ya vifaa vya umeme(electrical and electronics devices)

    Habari wapendwa, Kwa majina naitwa EMMANUEL NESTORY SAGINI, ni mzaliwa wa songea manispaa pia ni muhitimu wa elimu ya ufundi stadi katika fani ya umeme wa majumba na viwanda, ngazi ya tatu ya cheti level three(III) 2023. Lengo la kuandika makala hii ni kuhitaji kufahamu je ni vitu gani...
  5. M

    Jipya la kijiweni kuhusu ndoa ya wake wengi

    Heshima kwenu Haya ni maneno yako yaliyopangwa vizuri kwa kutumia mtindo ule ule: Dogo, wasikusome! Hii dunia ya sasa usikariri. Manjegeka ni mengi, na mambo mabaya ni kibao. Mwanamke akisha kusoma tabia zako tu, anaanza kujihami mapemaaaaa. Mdogo wangu, dunia ya sasa si kila mwanamke ana...
  6. OKW BOBAN SUNZU

    Kuhusu Mbowe na COVID 19 kula deal, nimesikitika sana-sana

    Watu tunakomaa humu kumlaumu Tulia na Samia kwa kuiletea hasara serikali kwa uwepo wa kina Mdee bungeni, kumbe wale wabunge ni wake wa Kigaila na Salimu Mwalimu? Yaani hawa wasaidizi wa Mbowe ndio waandae ushahidi mahakamani wa kuwatoa wake zao bungeni? Pamoja na mambo mengi ya hovyo ya Mbowe...
  7. R

    Lissu ukitufafanunulia kuhusu ushirika wako na Mbowe katika kumsafisha Lowassa utaeleweka sana

    Hellow Tanganyika!! Katika mengi umejaribu kujitofautisha na mkt wako Ili kupata uungwaji mkono wananchi na wanachama,na umefanikiwa sana katika hili. Sasa Kuna kihunzi Cha mwisho Cha kukiruka Ili urudishe Imani ya wananchi iliyoondoka baada ya ujio wa Lowwassa, mliotuambia kuwa ni fisadi...
  8. ESCORT 1

    Uliwahi kusikia nini kuhusu madereva wa malori?

    Karibu utiririke…
  9. E

    Nahitaji elimu kuhusu biashara

    WAkuu hivi naomba kuuliza kama una milioni 30 inatosha kuchukua mzigo china ila pesa hiyo hiyo ndio yakufanyia clearance bandarini na kupakia mzigo kutoka china kuleta hapa na kama inatosha ni biashara gani italipa
  10. U

    Msaada kuhusu kipimo hiki cha matatizo yote ya mwilini

    Wanajf ninaomba anayekifahamu kipimo hiki anieleweshe!Ni kipimo nimeambiwa unalipia sh.30000,wewe ni kukaa na kusubiria majibu ndani ya dakika chache!Utaambiwa shida zako zote!Kwa kuwa ni suala la kiafya ninaomba wataalamu njooni mnielimishe kwani kama mnavyojua sasa hivi "afya" imegeuzwa ni...
  11. Gifted

    Msaada kwa wenye Ujuzi na uelewa kuhusu policy za warranty za electronic devices

    Habari za wakati huu wana Jf. Kuna issue imenitokea week iliyopita nimeenda kariakoo kununua Smart tv TCL inch 32 Tshs 380000; imejaribiwa ikawaka vizuri nikafanya malipo nikaondoka. Kufika nyumbani nimeiwasha nimeunganisha wifi nacheki video youtube ikazima yenyewe, Yaani taa nyekundu upande wa...
  12. Dialogist

    Wakuu nimepata Tashtwiti kuwauliza jambo hili kuhusu hawa Wachina. I smell something fishy in the future

    Wakuu Salaam, Leo asubuhi nikiwa jijini Dar es Salaam nimepanda gari (daladala) za kutoka Mbagala Charambe kwenda Mbezi Magufuli Bus Stand, ili nichukue Nyehunge ya Kurudi kwangu Nyamisati, na ndipo nikaona kitu cha kunishangaza kidogo, sio sana. Nilijikuta ndani ya daladala tuliyopanda kwa...
  13. milele amina

    Uzinduzi wa nishati safi unaofanywa na wanasiasa unaleta maswali muhimu kuhusu usimamizi na utekelezaji wa miradi hii

    Uzinduzi wa nishati safi unaofanywa na wanasiasa unaleta maswali muhimu kuhusu usimamizi na utekelezaji wa miradi hii. Utangulizi: Hapa kuna ufafanuzi wa maswali yako: 1. Wanasiasa walisomea wapi kazi ya nishati safi? Wanasiasa wengi hawana ujuzi wa kitaaluma katika nishati safi, lakini...
  14. F

    Waziri unajisifia kuhusu ajira za Walimu wakati nafasi zipo 14,000 kati ya 200,000 walioomba, huoni aibu Waziri Simbachawene?

    Waziri Simbachawene unapaswa uone aibu, unatangaza nafasi 14,000 tu za Walimu wakati waombaji wapo Walimu 200,000? Huoni haya, hawa 186,000 wataenda wapi? YAANI MNACHUKUA ASILIMIA 7 TU YA WALIOOMBA? Wengine wataenda wapi? Hii kada mwajiri mkubwa ni Serikali, pamoja na wizara ya afya, hao...
  15. fredick

    Je, naweza kupata mkopo nikitaka kusoma Diploma?

    Habari za sahivi wana JamiiForums, Naomba kujua kama umesoma veta hadi level 3, sasa unataka kwenda diploma je unaweza pewa mkopo, na kwa njia zipi? Msaada tafadhali
  16. Peter Mwaihola

    Utu uzima umebadili mtazamo wangu kuhusu mafanikio

    Nikiwa chini ya miaka 20 nilikuwa nawaza sana mambo makubwa makubwa umasikini na shida niliona kama vitu vya kupita. Nilikuwa najiuliza na kushangaa sana inakuwaje mtu anaishi mpaka anafika miaka 30 hana nyumba, hajaoa hata hawazi kununua gari? Huo ni uzembe bwana nilijijibu mwenyewe. Sikuwahi...
  17. A

    DOKEZO Hili la majina yanayofanana kwenye nyaraka zote usaili wa Walimu, ni mpango wa Serikali kujipatia pesa

    KUHUSU USAILI WA WALIMU Inasemekana kuwa wanatakiwa kuwa na documents zenye majina yanayofanana. Hii inamaanisha kuwa vyeti vya taaluma na vile visivyo vya taaluma vifanane majina. Yaani kama cheti Cha kuzaliwa kina majina full pasipo initial na vya taaluma view vivyo hivyo. Sasa concern yangu...
  18. Bird Watcher

    Mkutano Wa Wakuu Wa Nchi Kuhusu Mambo ya Nishati

    Wakuu Tanzania tunategemewa kuwa host wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi unaenda kwa jina la Africa Heads of State Energy Summit utakaofanyika January 27 - 28, 2025 Dar es Salaam, Tanzania Tungependa Kujua Utaratibu ambao Wizara ya Nishati inatumia Kuinvite delegates na stakeholders mbalimbali...
  19. tutafikatu

    Jamii ibadilishe mtazamo kuhusu madeni ya hospitali kwa wapendwa waliofariki

    Kumekuwa na mjadala mzito katika jamii yetu kuhusu tabia ya hospitali, iwe za umma au binafsi, kuzuia miili ya wapendwa wetu waliotutoka mpaka familia iweze kulipa madeni yaliyosalia. Wengi hulalamika wakisema kwamba mtu anapofariki, hana tena jukumu la deni, na kwa hiyo familia inapaswa...
  20. K

    YAHUSU MTAALA MPYA

    Jana usiku nilifuatilia mjadala wa Hoja yenye kichwa cha habari kinachohusu Mtaala Mpya katika Shule za Sekondari ambayo inasisitiza "Elimu Ujuzi". Nia ya mpango huu ni nzuri kabisa na nimponngezee Mhe. Rais na viongozi wote walioliona wazo hili. Wanafunzi wanatakiwa wawe na elimu ya ujuzi ili...
Back
Top Bottom