kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. aise

    Yamekosekana maelezo ya kitaalamu na uhakika kuhusu hiki Chuma ambacho kimedondoka huko Kenya?

    Habari zenu wakuu. Kuna hiki Chuma kimedondoka kaunti ya Makueni huko Kenya. Mashuhuda wanasema kilikuwa na mshindo mithili ya Radi. Kuna maelezo yoyote ya kitaalamu yametolewa?
  2. Roving Journalist

    Bodi ya Mikopo yatoa ufafanuzi kuhusu Wanafunzi ambao hawajapata Fedha za Kujikimu "Boom"

    Pia soma: ~ Baadhi ya wanafunzi waliopata Samia scholarship UDSM wakumbana hali ngumu kufuatia kutopata fedha za kujikimu na ada ya masomo ~ Wanafunzi wa Chuo cha Takwimu Mashariki Mwa Afrika (EASTC) hatujapata malipo ya Fedha za Kujikimu wiki ya tatu sasa
  3. S

    MBOWE ALIONGEA JAMBO ZITO KUHUSU VIJANA

    Wakati Mhe. Mbowe anatia nia ya kugombea nafasi ya Uenyekiti Chadema alitamka jambo zito sana linalowahusu vijana wa sasa.Naungana na Mhe. Mbowe katika jambo hili kwa sababu ni kweli kabisa vijana hawa na hasa wa kizazi hiki wamekuwa na mawazo vichwani mwao kuwaona wazee hawana akili. Vijana...
  4. M

    Naomba kufahamishwa kuhusu gharama za special hire

    Wenye kufahamu gharama za kukodisha hizo gari coaster tokea dar mpaka moshi ,kwenda na kurudi.
  5. Mikopo Consultant

    Wanasiasa wa Tanzania wanaongeleaga kuhusu viwanda ila sijawahi wasikia wakiongelea na inteligensia ya kuvilinda viwanda

    Ukiwa Arusha mjini, mitaa ya Unga Limited, sasahivi yamebakia kuwa magodown, ila wazazi wetu wanatuambia miaka ya 70 na 80 kulikuwa na utitiri wa viwanda vingi sana. Na hiyo ni Arusha; ukienda na mikoa mingine kama Dar es salaam, Mwanza, Mbeya, Tanga na Morogoro, utakutana na similar story. Kwa...
  6. O

    Mambo 10 kuhusu mkeo yazingatie

    MAMBO 10 KUHUSU MKEO YAZINGATIE.. 1. Mkeo sio mkamilifu, msamehe. 2. Mkeo ndio uti wako wa mgongo, usiuvunje. 3. Mkeo ni tunu, mthamini. 4. Mkeo ni kito adimu, mtunze. 5. Mkeo ni rafiki yako bora, muweke karibu yako. 6. Mkeo ni furaha yako, mnawirishe. 7. Mkeo anatakiwa kuwa bora kabisa...
  7. S

    Msaada:Naombeni kujuzwa kuhusu payment getways .

    Habari makuu,hivi karibuni kuna mradi nilikua najaribu kutengeneza na kukwama katika kipengele cha namna clients wanaweza fanya nalipo. Ninichotaka kujunzwa ni payment getways zinazo oparate Tanzania na zina favour startups kny matter ya cost...
  8. Dialogist

    Kuhusu Mitandao Ya Simu

    Naomba kufahamishwa mtandao wa simu ambao upo stable katika streaming na price za data package zao. Nimejaribu kuingia kwenye account za insta za Airtel na Halotel, hakuna nilichoambulia zaidi ya matangazo ya zawadi za Faza Xmas. Likewise na kwenye website zao, hawajaandika gharama za package...
  9. eden kimario

    Usichokijua kuhusu pande kuu nne za dunia

    Nawasalimu wote mliopo humu ndani Kitu chochote ambacho Mungu anakitumia kwa mazuri na satani naye anakitumia kwa ubaya.. Umewahi kujifunza pande kuu nne za dunia na majina yake ya Kaskazini, Kusini, Mashariki, na Magharibi?. bila shaka utaniambia ndio. Sasa katika ulimwengu wa roho hizi pande...
  10. Ezra cypher

    Wazee wetu wenye miaka 50s 60s 70s wengi hawakujitambua kuhusu maisha.

    Huwa nashangaa MTU anakuambia amekaa DSM miaka 30+ Ila hana kiwanja hana shamba hana Nyumba. Mimi nakumbuka wakati nafika DSM mwaka 2005 kuna sehemu ulikuwa haununui kiwanja Ila ulikuwa unawahi . Mfano sehemu panaitwa kivule , Mbondole Yale maeneo wanakaa wakurya wale asilimia kubwa...
  11. Genius Man

    Majengo ya Kariakoo yanavyo jaza watu yanatia wasiwasi kuhusu uimara wake endapo litatokea tetemeko maeneo hayo watu wengi watakufa

    Nilitembelea maeneo ya kariakoo juzi nikaona mazingira yaliyopo yale majengo ya maghorofa yalivyo kwa kweli yanitia wasiwasi kuhusu uimara wake kwamba huwenda yakaja kudondoka zaidi na kuuwa watu ukiachana na umri wa majengo yale na jinsi yanavyo lemewa uzito na wingi wa watu wanao yatumia...
  12. R

    Lissu kuhusu mustakabali wako CDM, jifunze Kwa JK kuliko kufuata ya Lowwassa.

    Hellow!! Kuna wajinga humu wanakudanganya kuwa Eti ikitokea umeshindwa uenyekiti Kwa namna yoyote Ile kwamba ukiondoka CHADEMA utasomba umati wa wanachama wengi na kukiua CHADEMA! Hii Si Kweli, ni kujillisha upepo, wewe ni mtu mmoja, CHADEMA ni Taasisi. Ni vyema ukajifunza Kwa Jakaya Kikwete...
  13. econonist

    Kuna jambo watu hawalioni kuhusu uchaguzi wa CHADEMA.

    Kuna jambo nalitafakari kwa kina na ninadhani watu wengi hawajaliona Wala kulifikiria. Iwapo Lissu atafanyiwa figisu kwenye uchaguzi ndani ya CHADEMA na akatimkia ACT Nini kitatokea? Hili Jambo watu hawalioni. Lissu akihamia ACT ndio utakuwa mwisho wa CHADEMA kama chama kikuu Cha upinzani...
  14. Escrowseal1

    Ujumbe wangu mahsusi wa chrismas kwa serikali ya Tanzania hasa wizara husika kuhusu ajali za barabarani.

    Taifa linapoteza nguvu kazi kwa kasi ya mchongoko si kwa mapenzi ya Mungu bali kukosa maarifa. Ni mwendawazimu pekee anaweza kujiaminisha kuwa hizi ajali tunazozishuhudia ni mapenzi ya Mungu. Nchi serious ninazozijua kuruhusiwa kuingia barabarani na chombo cha moto ni mchakato very strict na...
  15. MEK_TZ

    Naomba Ushauri katika ufugaji wa nguruwe

    Habari ya leo wana JF matumaini yangu tu wazima kwa uweza wa muumba atutiaye nguvu na uzima. Naomba kurejesha ombi langu juu ya kupata msaada namna gani naweza fanikiwa katika ufugaji wa nguruwe. Niliwahi andika uzi juu ya kutaka ushauri wa biashara ipi itanifaa kupitia mtaji/kiasi nilicho...
  16. mwl. mziray

    Upi Ukweli kuhusu Uwekezaji wa FIC?

    Ndugu zangu, kwa siku za karibuni kumekua na watu mbalimbali katika taasisi za Umma na binafsi wakijihusisha na Uwekezaji katika kampuni ijulikanayo kama FIC ambapo wanaweka mitaji na mitaji hiyo inakua kila siku. Je Uwekezaji huu ni halali? Usalama wa fedha za Wananchi upo? Hii ni sehemu ya...
  17. OMOYOGWANE

    Mtazamo wangu kuhusu majini (mashetani/ mapepo). Uliza swali lolote nitakujibu

    Eeeh wakuu mpo? Ktk huu uzi nitazungumzia kuhusu majini kiimani na kisayansi kulingana na experience niliyonayo ila pia mtu yeyote anaruhusiwa kuchangia kulingana na kile anachokijua au alichoeahi kukiona Majini ni nini? Majini kiroho ni viumbe hai wanaoweza kuishi ndani ya mwili wa...
  18. LIKUD

    TAFSIRI kuhusu maamuzi mabovu yanayo fanywa na waamuzi kuipendelea Simba

    Ni kwamba tu Watanzania hatujui kusoma body language wala facial expression. Achilia mbali Telepathy Ni hivi hayo maamuzi mabovu yanayo fanywa na Marefa in favour of Simba ni ujumbe anapewa Injinia. " Kwamba, wewe Injinia si unajifanya hautoi hela kwa marefa, sasa wacha tukukomeshe" Incase...
  19. Roving Journalist

    SUWASA yafafanua hoja ya Mdau kuhusu uhaba wa maji Kata za Unyianga na Mtamaa Mkoani Singida

    MAELEZO KUHUSIANA NA HUDUMA YA MAJISAFI KWA KATA ZA MTAMAA NA UNYIANGA NA MANISPAA YA SINGIDA KWA UJUMLA Kata za Unyianga na Mtamaa ni mojawapo ya maeneo ambayo yana uhitaji wa kusogezewa huduma ya majisafi katika Manispaa ya Singida na Serikali inatambua hilo na imeshachukuwa hatua stahiki...
  20. Sanyambila

    Mjadala: Kwanini wanaume wengi hufa mapema? Wanawake tuhurumieni please...

    Habari ya Jumapili waungwana! Nimekuwa nikitafakari saana na ukisoma baadhi ya maandiko ya afya, uchumi na wanasaikolojia wote wanazungumzia LIFE EXPECTANCY YA MWANAUME YAANI kiwango cha muda wa kuishi wanaume ni kidogo duuu!! Ndipo nikarejea katika uhalisia, babu alishakufa bibi yupo, mwalimu...
Back
Top Bottom