kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JOSEPHAT_07

    Je, LBL sio Matapeli kama Matapeli wengine?

    Nikampuni ambayo ukiweka pesa kidogo kuna pesa unalipwa mwaka mzima kilasiku. Kuna video ukazaa unatakiwa uzi view. Ila sijaielewa vizuri. Naomba maelezo kwa mwenye kuijua
  2. R

    Kwa mtazamo wenu, ni changamoto zipi zinazohusiana na liquid fund?

    Niliweka mil 7 mfuko wa liquid fund badae nikatoa laki 5 ikabaki 6.5m. Leo nimetoka kuongalia nimekuta 5.576m wakati jana ilikuwa 6.51m Tatizo nini?
  3. contask

    Usichokijua kuhusu Amazon

    Habari wakuu Baada ya uzi wangu wa utafiti ambao ulifutwa sasa nimekuja na uzi mpya Katika pitapita zangu za Amazon nikakutana na uwezo wa kucreate seller acount ambayo unaweza ukachukua plan ya individual account ambayo itakua inalipiwa 0.9USD kwa kila mauzo unayoyafanya NIkapitia price ya...
  4. milele amina

    TLS: Katiba ya Tanzania inasemaje kuhusu uteulizi wa aina hii?

    Katika muktadha wa siasa na utawala wa Tanzania, suala la uteuzi wa watu kutoka maeneo mbalimbali kuwa viongozi katika maeneo mengine linaweza kuleta maswali mengi kuhusu utaifa, utamaduni, na ushirikiano wa kikabila. Katika kesi hii, mtu aliyezaliwa Zanzibar na kuwa raia wa Zanzibar...
  5. Mshana Jr

    Je, wajua haya kuhusu Nyuki na asali?

    Je, unajua kwamba: - Kijiko kimoja cha asali kinatosha kuweka mtu hai kwa masaa 24 - Moja ya sarafu za kwanza ulimwenguni zilikuwa na ishara ya nyuki - Asali ina enzymes hai. Kijiko cha chuma huua enzymes hizi. Njia bora ya kutumia asali ni kijiko cha mbao, ikiwa sio, unaweza kutumia...
  6. Tlaatlaah

    Mivutano na migawanyiko ndani ya Chadema, viongozi watofautiana kuhusu maandamano yao yaliyopigwa marufuku na Polisi

    Baadhi wanaona kwamba dhima na malengo ya maandamano hayo ni kinyume na katiba ya nchi, lakini ni kunajisi katiba yao na misingi ya chama cha demokrasia na Maendeleo Chadema, kwasababu Chadema haijaundwa kuwaondoa viongozi walioko madarakani kidemokrasia.. Hata namna maandamano hayo...
  7. Abdul Said Naumanga

    TLS kuandaa kongamano la Kitaifa kuhusu matukio ya kutekwa na kupotea kwa raia nchini Tanzania

    Tanganyika Law Society (TLS) imeandaa kongamano la kitaifa litakalojadili ongezeko la matukio ya watu kupotea na kutekwa nchini Tanzania. Kongamano hili litafanyika tarehe 5 Oktoba 2024 saa 3:00 asubuhi maenoe ya Wakili House, Chato Street, Mikocheni A, Dar es Salaam...
  8. P

    Ufafanuzi kuhusu Famasi na radiology

    Habari wakuu Ninaomba ushauri Kwa mdogo wangu asome kozi ipi Kwa ngazi ya degree kati ya famasi na radiology,na ipi Ina nafasi nzuri Katika kujiajiri mwenyewe hata ukikosa nafasi ya ajira serikalini nilikuwa naomba ufafanuzi kidogo
  9. Lupweko

    Mtiririko wa tarehe zilizotajwa na mwanasheria wa Yanga kuhusu Kagoma unakataa, na ni aibu kwake na Klabu yake

    Hebu msikilizeni kwa umakini sana na mpigie mstari hizo tarehe, maana mimi naona tarehe zinarudi nyuma kuanzia mwezi wa nne kwenda mwezi wa tatu. Dakika mbili tu zimeharibu kila kitu. Anachosema: 1. Yanga walikubaliana na Singida kuwa watailipa Singida sh. 30M kwa awamu mbili, ambapo 15M...
  10. D

    Nipeni ushauri kuhusu printer

    Natafuta printer kwa ajili ya ofisi yangu ni ofisi ndogo inajitafuta lakini uwa tuna kazi za kuprint na kutoa copy kwa wastani wa karatasi 2000 za black and white na 100 za coloured kwa mwezi. Kuna mtu kanipa pendekezo la printer ya: HP LaserJet Pro MFPM 426 FDW anaiuza kwa laki 7 ila...
  11. C

    Tundu Lissu inabidi aingoze Chadema kutokana na hali ya siasa iliyopo

    Hii haina ubishi kwa siasa za kinyonge zilizopo ndani ya Chadema zinazoendeshwa na Mboe,inabidi amkabizi kijiti Tundu Lissu Siyo kwamba kwa ajili ya kufanya vurugu,hapana tunaitaji mtu atakayetutia ujasiri hata tunapouwawa,siyo kulialia na kuwakaribisha wauwaji kwenye misiba yetu na kutoa...
  12. Erythrocyte

    Tundu Lissu asema 4R za Rais Samia ni Uongo

    Akizungumza baada ya kuwasili nchini leo, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amedai kwamba hicho kinachoitwa 4R kinachonadiwa na Rais Samia na wapambe wake ni uongo mtupu. Hakuna cha 4R wala nini. Ujumbe wake huu hapa Soma Pia: Falsafa ya 4R za Samia na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
  13. Mturutumbi255

    Spinachi na Nguvu za Kiume: Ukweli na Dhana Potofu

    Nguvu za Kiume ni Nini? Nguvu za kiume, au uwezo wa mwanaume kudumisha na kufanikisha tendo la ndoa kwa ufanisi, inajumuisha mambo kadhaa kama vile hamu ya ngono (libido), uwezo wa kusimamisha uume, na utendaji wa jumla wa tendo la ndoa. Hali hii inategemea mambo mengi, ikiwa ni pamoja na afya...
  14. Mindyou

    Martin Masese: Tumezungumza na dereva, ni kweli hilo gari halina kamera!

    Kada na mwanachama wa CHADEMA, Martin Marnja Masese ametumia ukurasa wake wa Twitter kudokeza kuwa wakati wanaelekea kwenye mazishi ya mzee Ali Mohamed Kibao walikutana na dereva wa basi la Tashriff. Kwenye tweet hiyo, MMM alisema kuwa walikutana na Tashriff express eneo la Mbwewe mkoani Tanga...
  15. Roving Journalist

    Waziri Masauni: Tuache kushutumu, mwenye kielelezo kuhusu mauaji ya Ali Kibao awasilishe

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amesema Serikali haitavumilia ukiukwaji wa haki za Binadamu na hatua zitachukuliwa kwa yeyote atakayebaini kuhusika na tukio la mauaji ya Ali Mohamed Kibao. Amesema hayo wakati akitoa salamu za Serikali Jijini Tanga wakati wa Msiba wa...
  16. kruzostom

    Ushauri kuhusu kubadili kozi pale Kampala

    Nimepangiwa education pale Kampala lakini nataka kozi ya afya je, nikienda mapema naweza kufanikiwa labda kwa private? Naomba mtu mwenye uhakika hili ndo aweze kunifafanulia vizuri Kama vipi nifanye application upya yaan ushauri wa uhakika tuache kujibu kwa mazoea plz plz jamani
  17. Joseph mwakabelele

    Kozi ya Educational Technology inahusiana na nini hasa?

    Jamani mi nauliza hivi kozi ya Educational Technology inahusiana na nini hasa? Na mtu akisoma hii kozi anakuwa nani au fursa zake zinapatikanaje?
  18. R

    Mweye taarifa official atusaidie kuhusu oral Interview ya TABIBU DARAJA LA PILI (Clinical Officers) kuhairishwa

    Kuna habari zinasambaa kuwa interview ya tabibu daraja la II (Clinical Officers ) imehairishwa mpaka Ijumaa tarehe 13/9/2024. Mwenye uhakika na tarifa hiyo atusaidie with evidence.
  19. T

    Makanisa na misikiti mpaze sauti kuhusu utekaji na kuua watanzania wasio na hatia

    Hali ya usalama ya sasa si nzuri watu wanapotea mno makanisa nayo yamekuwa chawa hayasemi mpaka watu wanauawa No hii haiwezekani waumini wenu kupotezwa na nyiniyi mnachekelea utume wenu uko wapi. Au na nyinyi ni sehemu ya yanayofanyika!
Back
Top Bottom