kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. milele amina

    TAKUKURU KILIMANJARO: Moshi, mkoani Kilimanjaro, kumekuwa na malalamiko kuhusu usimamizi wa makusanyo ya fedha kutoka kwa bajaji, LATRA NI MZIGO!

    Katika mji wa Moshi, mkoani Kilimanjaro, kumekuwa na malalamiko kuhusu usimamizi wa makusanyo ya fedha kutoka kwa bajaji. Vyombo vya usalama vinapaswa kufuatilia hali hii, kwani kuna madai kwamba wahusika wa LATRA wamejifanya kama vishoka. Wasimamizi hao wapo maeneo maalum, wakiwa wamevaa sare...
  2. milele amina

    Kampuni ya Tigo, kuhusu issue ya Lissu mnayo KESI ya kujibu: Someni hapa

    Tigo someni mifano mingi ya kesi zinazohusisha uhalifu, teknolojia, na uwajibikaji wa kampuni ambazo zilishughulikiwa kwa mafanikio. Hapa kuna baadhi ya mifano maarufu: 1. Kesi ya "Blackberry: Katika miaka ya 2010, kampuni ya Blackberry ilihusishwa na kesi kadhaa za uhalifu ambapo taarifa za...
  3. aBuwash

    Naomba ushauri kuhusu biashara yangu inakoelekea inaenda kukata roho sio muda

    Habarii wana JF natumai wote mko salama. Mimi ni mfanyabiashara wa mchele hapa Dar es Salaam Nauza jumla na rejareja. Ila nasikitika toka nifungue hiii baishara yangu nimepitia changamoto nying sana mpka leo na nimekuwa mtu ambaye sikatii tamaa nikijipa moyo kwamba ndo napata experience maana...
  4. kruzostom

    Naomba kujua mabadiliko yaletwayo na P2

    Nimekula tunda wakati mbaya wa hatari ya kupata mimba, nikaamua kutumia P2 Cha ajabu binti kawahi kuingia tena kwenye hedhi sasa si elewi, maana hata mwezi haujaisha Wazoefu mnaofahamu haya mnipunguzie hofu hapa nahemea mashine yaani
  5. K

    Rais Samia uliomba ripoti ya "haraka" kuhusu utekaji nchini! Haraka ni muda gani?

    Kumekuwa na utamaduni wa kudanganywa hata na uongozi wa juu. Mama Samia aliomba riport ya kutekwa tekwa kwa watu nchini. Cha ajabu hakuna mtu anaongelea ripoti na wengi kujisahaulisha. Isije ikawa tena tunadanganya danganywa na uongozi wa juu. Chunguzi nyingi za utekaji hazifanyiki maana...
  6. GENTAMYCINE

    Wana Yanga SC tunaomba Mwanasheria wetu Patrick Simon atuombe Radhi kuhusu Mchezaji wetu Yusuf Kagoma

    Mwanasheria alituambia Sisi wana Yanga SC (GENTAMYCINE) nimo kuwa Kagoma ni Yanga sasa mbona yuko Simba?
  7. Broadcast

    My confession: Justin Bieber kuhusu P-Diddy

    Orodha ya wasanii na watu maarufu waliopita kwa Diddy imezidi kuwa ndefu sana, lakini katika wote hao bwana Mdogo Justine Bieber hadithi yake inasikitisha zaidi, na inaumiza pia. Justin Bieber anadaiwa kuzungumzia wakati wake na Diddy, akisema, “Kabla ya kutembelea au kwenda kwenye sherehe...
  8. Eli Cohen

    Although ni watu special sana, ila kuna kitu hakiko sawa kuhusu wanawake

    🙎Species inayoweza kumuelewa mwanamke ni mwanamke mwenzake, ndio maana wanachukiana. 🙅 Ukitaka kupoteza demu, wewe kuwa nice boy uone, then uki react kama bad boy kutokana na ukaidi wao unaitwa muonevu. 🙎 Uwajibikaji wa makosa kwa mwanamke ni kama maji na mafuta. Siku zote kwao anaekosea ni...
  9. A

    KERO Stahiki kandamizi kuhusu kupunguzwa kwa wafanyakazi wa mgodi wa Almasi wa Mwadui (Williamson Diamonds Limited)

    Mnamo mwezi Agosti kuliibuka tetesi kwamba kutakuwa na kupunguzwa kwa wafanyakazi katika mgodi wa Williamson Diamonds Limited uliopo katika umiliki wa Petra Group kutokana na sababu za kushuka kwa bei ya almasi katika soko la dunia. Hata hivyo baada ya vikao kufanyika pamoja na voingozi wa...
  10. Roving Journalist

    TMDA yatoa tahadhari kuhusu taarifa ya Dawa za ARV'S kutumika kunenepesha mifugo

    TAHADHARI YA MATUMIZI HATARI YA DAWA ZA KUFUBAZA MAKALI YA VIRUSI VYA UKIMWI (ARV'S) KUNENEPESHA MIFUGO 1. Mamlaka imepata taarifa juu ya uwepo wa baadhi ya wafugaji wanaotumia vibaya dawa za kufubaza makali ya Virusi vya UKIMWI (ARV's) ili kunenepesha mifugo yao. 2. TMDA inapenda kukemea...
  11. Metronidazole 400mg

    Kuhusu MUTALE hamna mchezaji pale tumepigwa!!

    Hata apewe Karne kucheza ni mchezaji wa kawaida Sanaa, ball control na end product yake mbovu kabisa. Anacheza Kama ndio anajifunza mpira....BIG NO HAKIKA hapa TUMEPIGWA TENA!!!
  12. Pascal Mayalla

    Uwezo wa Watanzania Ma CEO Makampuni ya Kimataifa, Je Tunao?, Tuna Uwezo?. Big Up Helios Towers, Kuing’arisha Tanzania, Fursa kwa Watanzania!

    Wanabodi, Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na kwa maslahi ya taifa. Mara yangu ya kwanza kutinga New York, kutembelea Makao Makuu ya UN, nilitembezwa sehemu mbalimbali za UN, huku nikitambulishwa kwa staff wa UN ambao ni Watanzania, ukiondoa UN Radio, huko kuingine kote Watanzania ni wa...
  13. Eli Cohen

    Kwa asilimia kubwa sana baba yako aliyokuwa anayalaumu kuhusu mama yako alikuwa sahihi.

    Humu wote JF tulijua mama ndio alikuwa anaonewa lakini atukujua jinsi gani mama alimfanya baba kuwa paranoid kupelekea kugeuka kuwa simba nyumbani.
  14. SAYVILLE

    Acheni upotoshaji kuhusu ranking za CAF

    NItaelezea kwa ufupi sana hili suala. Kuna watu kwa sababu wametokea kupenda kudanganya mashabiki wao, wanadhani kila mtu ni wa kudanganya. Katika ranking ya miaka 5, hakuna point unazopata eti tu kwa kuingia makundi. Point zinaanza kuhesabika baada ya hatua ya makundi kuisha, pale ndiyo...
  15. L

    Viongozi Simba chukueni tahadhari kuhusu uwanja kwani Yanga hawaaminiki na hawapendi sisi tufuzu

    Msiamini saaaana mipango yenu bila kuchukua tahadhari, hawa wenzetu sio watu kabisa, hawapendi mafanikio yetu, wanataka mwaka huu washiriki kivyao ndio maana wameuacha uwanja, hawakuacha hv hv kwa namna navyowajua, unaweza kuta waganga wao wako kwa waarabu wanafukiza. Mkifanya Mąkosa ya kuamini...
  16. milele amina

    Kwanini Kwenye wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan, taarifa kuhusu wazazi wake hazionekani mara kwa mara?

    Kwenye wasifu wa Rais Samia Suluhu Hassan, taarifa kuhusu wazazi wake hazionekani mara kwa mara. Hii inafanya iwe vigumu kwa umma kujua ni watu wa aina gani waliomlea. Kawaida, mizizi ya kiongozi ni muhimu katika kuelewa maadili na mitazamo yake, lakini katika kesi hii, habari hizo...
  17. Mwalimu wa field

    Wanafunzi wa miaka hii ni changamoto

    Tujitahidi kuwalea watoto wetu kwenye misingi na maadili.
  18. Gemini AI

    Alichokisema Peter Kibatala kuhusu Boni Yai kunyimwa dhamana na kurudishwa Rumande

    Haya ndio Mashtaka yanayomkabili Boniface Jacob @ExMayorUbungo , wakili Peter Kibatala @PKibatala_ azungumza
  19. MK254

    Iran yalalamika kuhusu hii aina mpya ya mashambulizi ya Israel dhidi ya magaidi wa Hezbollah

    Iran ambayo ni mfadhili mkubwa wa magaidi ya waislamu, bila aibu yaanza kulalamika kwa kichapo kilichotembezwa na Israel kwa magaidi ya hezbollah.... ============================= Iran, an ally and sponsor of Hezbollah, on Wednesday accused Israel of “mass murder” over the previous day’s attack...
Back
Top Bottom