Huu ugonjwa ni hatari saana unaua na kukatisha matumaini ya baadhi ya watu ambao wanao ( ayo ni maneno ya watalaam wetu )
Lakini kutokana na ukweli kabisi halisi ugonjwa huu sio hatari saana kama watu wanavyoongelea ( ni ugonjwa kama magonjwa mengine tu ya kawaida )
Uhatari wa ugonjwa huu upo...
Ndugu wana jukwaa naomba kipekee niwaombe radhi wote na nitoe taarifa yangu ya kustaafi kujihusisha na ujumbe au maudhui ya aina yoyote yanayohusu Siasa za Tanzania.
Na sababu ya msingi ni kwamba bado jamii ya watanzania, Serikali na viongozi wake, vyama vyote vya siasa watu jawajakomaa...
Watanzania, tufike mahali tujiulize swali hli dogo tu:
Mikopo ya mitandaoni hutolewa kwa wateja kutumiwa hela kwenye simu zao na zaidi marejesho hutumwa kwa haya makampuni kwa kutumia lipa namba za mitandao ya simu. Sasa kama mpaka wanakuwa wamesajili lipa namba kwenye menu ya mitandao ya simu...
" Wanawake hawako na wewe kwa kukupenda . 100% , 90, wapo na wewe kwa kile ulichonacho. Ninapoanzisha mahusiano na mwanamke, kabla hata ya kumkiss kuna fomu maalamu nampa asaini ili kuonesha kuwa ameridhia mwenyewe. Sitaki hadithi kesho iwe tofauti.
Wanawake wengi huamini na kudhani kuwa...
Habari za Sasa hivi wakuu?
Mimi nimiongoni mwa watu wanao penda Sana kutazama movies hasa pale ninapo kuwa nime maliza majukumu yangu.
ifikapo jioni wakati huwa naangalia picha hasa za kizungu Tena zile za kihistoria
Sasa katika tazama tazama zangu movies Kuna picha niliona inaitwa the game...
Jk alikuwa na utaratibu mzuri sana kila mwaka husika anaajiri walimu au madaktari wote waliohitimu huo mwaka kiasi ambacho kulikuwa kuna scarcity ya watu mtaani na ikapelekea private sector lazima watoe mishahara mikubwa ili kumconnvince mtu asiende serikalini.
Sasa lilikuja likaharibu kila...
Tuweke kumbukumbu sawa yanga ashapigwa na simba
1.6-0
2.5-0
3.4-1
4.3-1
5.2-0
6.1-0
Yanga washakimbia kabla ya mechi mara mbili na moja kipindi cha pili wakaingia mitini hizi ni rekodi za simba kuinyanyasa yanga
Uto tunaitaka rekodi kama hii tuione!
Wadau naombeni ushauri wenu, ikiwa status ya HESLB ina onyesha hivi, je unatakiwa u upload passport size picha au laah, maana kuna mdau kaniambia kwamba hautakiwi u upload picha, hiyo sehemu ni wao wenyewe wata upload, ushauri tafadhali kwa wenye kujua kuhusu hili.
Kwema wakuu
KIla kitu kina mapungufu yake na mazuri yake hapa nataka kueleza mapungufu zaidi.
1.Haina real time kabisa mpaka u refresh ndo uweze kuona message na notifications.
2. Kwenye recently post zina jirudia rudia hata kama tayari umeshaisoma yaani inabdi ukiisoma itoke ila cha...
Katika siku za hivi karibuni, kumezuka taarifa za kupotosha kuhusu ununuzi wa magari na Chama Cha Mapinduzi (CCM), zikidai kuwa CCM imenunua magari kwa bei ya juu sana. Taarifa hizo zimeambatanishwa na picha ambazo zimebadilishwa na kuwekewa maandishi ya uongo kwa lengo la kuichafua CCM.
Picha...
Leo Oktoba 16 ni Siku ya Chakula Duniani, licha ya umuhimu wa chakula kwa afya ya Binadamu, kuna dhana Potofu nyingi kuhusu chakula katika Jamii
Kama mdau wa JamiiCheck.com, tujuze ni dhana gani umewahi kuisikia kuhusa chakula ambayo unahisi ni Potofu?
Luka 8:17 - Hakuna siri ambayo haitafichuliwa, wala hakuna jambo lililo fichika ambalo halitajulikana na kuwekwa wazi
Tuzungumzie huu ndio ukweli ambao hakuna mtu anayetaka kuuzungumza juu yake, vipi ikiwa binadamu hapo mwanzo wa dunia hakukusudiwa kuwa hapa hii dunia? Sasa kabla haujafikiria...
Wenzangu naomba munisaidie Kuna huu ujumbe wa HESLB ukiangalia ALLOCATION za akaunti zetu za SIPA! Unamaana Gani pia utachukua MUDA Gani Hadi kukaaa sawa au kurudishwa katika Hali ya kawaida?
Habarini wana jamvi wote. Natumai wote tupo poa, tunajenga taifa. Naomba niende kwenye maada moja kwa moja.
Mimi ni mkulima wa mazao ya muda mrefu na mfupi. Sasa mwaka jana nilifanikiwa kulima zao la papai.
Kuanzia kufulia miche mpaka kupanda shambani nilifanikiwa kwa asimilia nyingi tuu. Sasa...
Salamu kwa nyote mnaosoma uzi huu.
Baada ya kufikiria kwa kina basi haya ni maswali yangu matano kuhusu ubongo wa binadamu.
Swali 1: Kama binadamu amegundua computer, na haya mambo yote tunayoyaona kuhusu teknolojia, Je ni kitu gani kitakuja kuvumbuliwa na binadamu ambacho kitashinda uwezo...
Nafikir kama unaimiliki namba ya Nida au kitambulisho Cha NIDA hasa wale walioandikishwa wakati zoezi la utoaji wa NIDA linaanza utakubaliana na mimi mambo yafuatayo:
1.picha zetu sio halisia
2.kadi Zina makosa mengi Kama
A .majina yamekosewa Sana
B.Tarehe za kuzaliwa zimekosewa pia...
Ndugu zangu watanzania wenzangu nchi hii si moja, hakuna usawa ktk ujenzi wa miundo mbinu. Mwezi wa 8 nilisafiri kutokea Arusha kwenda Dodoma kupitia Kiteto.
Kiteto ni wilaya ndani ya mkoa wa Manyara. Ukitokea Arusha unapitia mji wa Orkesumet ambao ni makao makuu ya wilaya ya Simanjiro. Hilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.