P.L.O. Lumumba ni profesa wa Kenya anayejulikana kwa maoni yake makali kuhusu masuala ya kisiasa.
Katika mazungumzo kuhusu vita vya Israeli na Wapalestina, anasisitiza mengi muhimu kwa mataifa kwa ajili ya suluhu.
Fuatilia ili upate ufahamu mzuri kuhusu mzozo huu.👇🏿
Mzozo wa Israeli na...
Nimefika bank nikageuza gari na kupaki. Nikashuka na kwenda ATM Mlinzi akaniambia ni kosa kugeuza gari kabla ya kuingia Bank. Kwamba gari ikae mwelekeo wa bank, baada ya kupata huduma ndipo nigeuze gari. Sikuwa na muda wa kuhoji nilikuwa na haraka.
Naomba ufafanuzi mwenye kujua.
Habari wakuu,ninaomba msaada kwa wale wazoefu wa kuagiza vitu Aliexpress,nilinunua bidhaa tarehe 18/09/2024.Percel ikafka Dar es salaam Tanzania tarehe 28/09 mm nipo Mkoa wa Tabora nikajua itanifikia hadi huku maana mara ya mwisho nilitumia posta ilifka had huku.Cha ajabu kufikia tarehe 03/10...
Kwanza niwashukuru wale wate waliotoa mada na waliotoa maoni kwenye Kongamano lililopangwa na TLS. Ahsanteni sana.
Kipekee naungana na wazo la Dr. Lwaitama kuwa ni muda muafaka suala la Katiba mpya lianze na wakati wa kuandika katiba hiyo wasijumuishwe Vyama vya Siasa na jukumu hili waachiwe...
Wakuu wa Tech inakuaje....!?
Wakuu na amini tunatofautiana uwezo kimapato wapo wanaomudu gharama za kulipia AC nikiwa nacheki Youtube review za AC nakuta kwa 24Hrs ngoma imebeba Units kama 20 hivi hii ukizidisha na 300 ushee bei ya unit 1 mara 30 staki hata kujua jibu lake.
Kiukweli hizi fan...
Habari za leo;
Ingawa kuna controversial nyingi sana kuhusu mwanzo wa dunia na ulimwengu basi leo nimeamka na swali hili kuhusu wanyama au viumbe wengine.
Watu wengi na baadhi ya maandiko ya kisayansi na kiimani husema kwamba binatamu ana sehemu tatu zinzocontrol ubinadamu wake. Ambazo ni...
Nimeona clip ya mzanzibari aliyechoka kimawazo akitaka Zanzibar sasa iwe nchi ya kiilamu rasmi na iingie OIC, Nchi za umoja wa Kiislamu.
Jamaa huyu anasema Rais Samia muislamu, Rais Mwinyi mwislamu, waziri mkuu Mwislamu , waziri mambo ya ndani mzanzibari mwislamu, waziri wa mambo ya nje...
Kuwa tajiri mara nyingi kunategemea mchanganyiko wa mambo, na bahati huweza kuwa na nafasi, ingawa kwa kawaida siyo kipengele pekee cha utajiri. Watu wengi wenye mafanikio wanakiri kuwa bahati—kama vile kuzaliwa katika mazingira mazuri, kukutana na fursa zinazofaa, au kufaidika na...
Je, Wewe ni Mwenye Roho Nzuri Sana Mpaka Unaumia Kwenye Mapenzi? Hebu Tuongee Ukweli Mchungu!
Unajua ule usemi, "Moyo wa dhahabu"? Umewahi kuusikia? Au labda wewe mwenyewe umewahi kuitwa hivyo? Ni sifa nzuri sana kuwa na moyo wa dhahabu, kuwa mtu mwenye upendo, kujali, na huruma kwa wengine...
Najua polisi makao makuu mpo humu na mnapitia haya hawa wanasheria wamepanga kukutana na vyombo vya habari vya nje na ndani kuwaaminisha watu kuwa Rais Samia ndio anahusika na kuteka watu .
Wanataka kuchafua image ya taifa letu lenye amani na utulivu mkubwa kwa kesi mbili tatu za kupotea kwa...
Nasikitika Sana kuona "maelekezo" ya Tangazo hilo kuhusu Watumishi kuhama kuwafuata wenzi wao likiwabagua Wenza ambao sio waajiriwa WA sekta binafsi au waajiriwa wa Serikali.
Eti ili uweze kuhamishiwa kwa mwenzi wako LAZIMA wote muwe Serikalini, sasa Mimi ambaye sio mwajiriwa ila mwenzi wangu...
Mshana Jr Rakim msaada wenu hapo naomba kujua hayo mawe yanafanya vipi kazi katika ulimwengu ule usioonekana
pia naomba kujua kuhusu mafuta ya essential kama lavenda au ylang-ylang
Money management ni moja ya life skills muhimu sana unayotakiwa kuiboresha, lakini bahati mbaya sio kitu ambacho kinafundishwa shuleni.
Wapo tayari kutufundisha Kiundani zaidi historia ya akina Vasco dagama Jinsi walivyoweza kufika afrika kusini kuliko kutufundisha namna ya kutengeneza...
Habari ya Sunday
Mimi nimekuwa nikijaribu kutafuta gari kwa ajili yaatumizi ya ngu na napendelea minivans. Nikawa natafuta mtu anayeuza hilp gari bongo ili ninunue. Lakini ñayapata mtandaoni hàya magari yanauzwa bei ndogo sana. Ni kama thamani yake inashuka haraka kuliko mfano Noah na Alphard...
Akihojiwa na Rick Media, Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki ambaye pia ni Meneja wa msanii nguli Diamond Platnumz, Mh. Hamis Taletale au kwa jina maarufu Babu Tale amekiri walipoenda kumtembelea msanii P.Diddy, alionesha viashiria ambavyo wao hawakujua maana yake.
Mojawapo ya tukio la ajabu ni...
Niliwaambia na nitawaambia kuwa shetani ndiye Mungu wa Dunia hii. Na ili akupe vya Dunia hii au akupe miliki yake lazima umsujudie. Wasanii wetu wanachotaka ni aidha pesa au umaarufu na hivyo vyote ibilisi anavyo. Ukimsujudia (kukubali amri zake) anakupa pesa nyingi na umaarufu anakupa.
Hawa...
Kuna muda ukiwafikiria kina Faizafoxy, Adimisago au Malaria 2 kuna picha inakujia kuhusu changamoto wanazokutana nazo waisrael .
Hawa watu wako rigid, ni wagumu kuwabadilisha hata kama msimamo wao utagharimu uhai
Habari za muda huu ndugu jamaa na marafiki.......
Wana ukumbi kila mtu anajua kero, visa,ubabe na wizi wa hii mitandao yetu tunayotumia kupata mawasiliano.....hivyo basi ni wajibu wetu kupeana mbinu na njia za kupunguziana makali......
Hili suala la kampuni ya starlink kutoka Marekani kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.