Ndugu wanaJF poleni na majukumu.
Vijana wengi huwa tunaumiza sana vichwa tena mara pengine tunashindwa kufanya maamuzi sahihi. Nakumbuka kunawosia nilipewaga na mzee mmoja lakini ukiangalia inamashiko kiasi flani..
Huyo mzee aliniuliza niko na miaka mingapi wakati huo nataka kujenga kijinyumba...
Nashindwa kuelewa kauli za Mbowe.
Mbowe amelamba asali amekuwa kama bubu.
Siasa za kujenga ndio siasa gani sasa?
Mbowe: Tulikubaliana na Rais Samia kufanya siasa za kujenga nchi
https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/mbowe-tulikubaliana-na-rais-samia-kufanya-siasa-za-kujenga-nchi-3912844
Mradi wa ujenzi wa barabara za juu (Flyover) katika mkoa wa mjini magharibi kisiwani unguja, unatarajiwa kuanza hivi karibuni baada ya Serekali ya Mapinduzi Zanzibar kupitia katibu mkuu wa wizara ya ujenzi mawasiliano na uchukuzi wa Zanzibar Bi.Khadija Khamis Rajab kusaini mkataba na...
Ipo haja ya serekali yetu kuona umuhimu wa suala hili, kwa ni eneo ambalo lipo kilometre chache sana kutoka city center, linastahili kuwa upgraded n kufanana na maeneo ya upanga na kwingineko, pia ni eneo ambalo linaeweza kupangwa tukapata kariakoo 2,mpangilio wa ujenzi ufanywe kwa wenye...
Leo nimelikumbuka bunge la spika Sitta la mwaka 2005-2010.
Lilikuwa ni bunge la aina yake. Matukio mengi sana yalitokea katika bunge lile mpaka likagharimu nafasi ya hayati Sita kama Spika wa Bunge.
Ila leo, nimekumbuka zaidi matukio ya Zitto Kabwe.
Tukio la kwanza ni kuhusu ajali ya hayati...
UTANGULIZI
Taasisi ni vyombo vinavyoanzishwa kisheria na serikali na kupewa mamlaka ya kusimamia au kutekeleza majukumu maalum ili kuisaidia serikali katika utendaji. Ili maendeleo yawe na manufaa kwa wananchi, yanapaswa kuwa endelevu kwa kuhakikisha kuwa kunakuwepo misingi imara ya kiuchumi...
Habari wakuu, kwa mara ya kwanza nilijenga nyumba 2 in 1 mkoa wa Morogoro, kwakuwa lengo ilikuwa kuzipangisha maana sikuwa nimetulia kimaisha nilizizungushia uzio wa matofali na kuziwekea mageti ili kila mpangaji atoke na kuingia kwa geti lake.
Baada ya mwaka na nusu nilihamishwa mkoa mwingine...
Rais wa Ukraine Volodonyr Zelensky anafikiria kuvunja sanamu la Malkia wa zamani wa Dola la Urusi anayejulikana kama Catherine Mkuu au Catherine II huko katika jiji la Odessa. Badala ya sanamu hilo Zelensky atajenga sanamu lingine la muigizaji wa sinema za utupu (porn star) ambaye ni shoga wa...
China imeanza ujenzi wa mfumo mpya wa rada utakaokuwa na uwezo wa kufuatilia kwa kina masuala ya anga za juu kwa lengo la kulinda vizuri Dunia.
Mfumo huo mpya pia utaongeza uwezo wa ulinzi wa nchi hiyo dhidi ya sayari ndogo zilizo karibu na Dunia, na uwezo wake wa kutathmini mfumo wa Dunia na...
Wana JF
Kuna wakati fulani mtu alikuja na wazo la kujenga mabwawa kila wilaya lakini kiuhalisia kuna wilaya kubwa sana zinakaribia kuitwa mkoa kutokana na ukubwa wa eneo lakini wakazi wachache.
Naona hili linaweza kufeli na serikali isipate kinachokusudiwa. Ili kuwa na kilimo chenye tija...
Ntajikita zaid kwa wale waarabu na wahindi orijino tukiachana na hawa waliochanganywa changanywa.
hasa kwa waarabu, yaani hata uwe wa dini yao, uvae full set baraghashia + kanzu + kobazi na kujifunza hata lugha zao ili uendane nao huwa ni kazi sana upande wa familia ya kiarabu au wahindi...
Serikali imetenga zaidi ya Sh160 milioni kwa ajili ya kujenga kituo cha kukusanya maziwa Msomera ili kuhakikisha wawekezaji wanaenda kuwekeza.
Serikali inataka kuwa na vituo vya kukusanya maziwa na kituo kikubwa kwa Handeni kitakuwa Msomera.
Hii itasaidia wawekezaji zaidi kwenda Msomera na...
ASALAAM, NIMEMSIKILIZA ADEN RAGE leo asubuhi kwenye kipindi cha Sport cha Wasafi Media. Anasema kama Simba wana 20B kwenye account watumie hizi pesa kuchukua mkopo ili kuanza ujenzi wa HOSTEL ZA KISASA, GYM YA KISASA KIWANJA CHA KISASA ili hizi hela zinazochangishwa zitumike kuandaa mfano...
Niweke wazi kwanza sina chama nimekuwa nikipiga spana pande zote, na unaweza kucheki profile yangu kuthibitisha hilo.
So napenda hoja yangu isijadiliwe kishabiki bali objectively
Ni kuhusu vijana wa Chadema, hawa wapo wengi sana mtandaoni kuliko vijana wa vyama vingine, ACT, CUF, CCM n.k...
Habari wa nzengo (salaam kutoka Jijini Mwanza)
Mimi ni kijana mpambanaji. Nimekua katika hustles kwa muda mrefu sasa naona milango ya baraka inafunguka na mimi sitaki kuchezea nafasi. Mwisho wa mwezi uliopita nilibahatika kununua kiwanja kwa bei ya kugalaliza vibaya sana.
Size ya kiwanja ni...
Watanzania wengi tunamatatizo ya Ushamba hasa katika ujenzi wa nyumba, kiukweli sisi ambao tumekulia sana nchi za nje tunaona mambo ni tofauti sana.
Katika ujenzi wa nyumba hapa nchini, nyumba nyingi ni nzuri sana kwa nje na zimejengwa kwa gharama kubwa nje kuliko ndani, utadhani huko nje ya...
Lini mnatekeleza hii ahadi ndugu zangu wa huko ng'ambo. Au mlitufunga kamba?
HILI MLIAHIDI MIAKA MIWILI ILIYOPITA
======
Pia soma:
- Dr Shein: Tunaandaa rasimu ya kuwatambua Watanzania wanaoishi nje kisheria, tutajenga Daraja la Zanzibar - Bara
- Mdau wa Diaspora ajibu maswali kuhusu daraja...
Kiufupi mapenzi hayana Fomula Ni Bora kudeti na demu wa kawaida sura ya Baba kipindi ukiwa katika hard moment ili kusoma upepo wa. Maisha na kuitafuta Kesho iliyo Bora .
Sura ya Baba hawana gharama
Wako deep . katika mapenzi
Hata akikupiga chini hakuna kuumia
Hi itakusaidia kufocus vizuri...